Usibadilike TEMPORARILY kwa sababu unataka uonekane Wife/Husband Material ili umu-impress mtu halafu mkifika ndani unarudia rangi-rangi zako zilezile ambazo ndio NATURAL YOU
Muache akupende kwa Ulevi wako,Kwa Umbea wako,Kwa Kutoa kwako udenda ukilala,Kwa kuwa mchafu na kutofua Boxer,Kwa kunuka kikwapa cha njano,Kwa Umaharage ya Mbeya wako,Kwa sababu kama akikupenda KAMA ULIVYO LEO hata mkiingia ndani ATAKUPENDA TU kwa sababu alijua aina ya mtu anayeingia naye ndoani na ameshajipanga kisaikolojia kuvumilia harufu ha Boxer zako...Ukimuimpress kwamba hunywi kwa miezi mi3 akakuoa halafu HAMAD anakuta chupa za Ndovu stoo PATACHIMBIKA
Zimwi likujualo halikuli likakwisha,Muonyeshe rangi zako halisi akupende kwa Uhalisi wako lasivyo utaolewa leo SAWA na bajeti ya milioni 96 lakini Jiandae kuwa mjane baada ya Miezi 6 kwa karatasi ya Talaka ya Sh 50 Steshenari.
BE YOURSELF.
By Seth
uctulazimishe kubadilika wkt kuna usemi usemao tabia ya mtu haijifichi
ReplyDeleteMdau hujaelewa mada isome tena
ReplyDeletehahahaa kuna mtu kapanic wakati hajaelewa mada...i love this...wabongo very poor kwenye reading and understanding....pole sana..SOMA TENA BROTHER...niliandika hii nikiwa na akili...na ww soma ukiwa na akili...Wasalaam...SETH GIOVANNI(Author)
ReplyDeleteHajaelewa mada wp ww?? Kati ya mada hii nayo unaiita mada,,, upuzi mtupu.. unang'ang'ania tu oooh Boxer hazifuliwi,, mara Boxer zinaharufu... c bure unamsema bwanaako hapa...
DeleteSoma ukiwa umetulia. Sio uko juujuu km kapu la sadaka
ReplyDeleteSoma tena baba hujaelewa
ReplyDeletejamani hapo c ndo mficha makucha akiwekwa ndani anayakunjua ama cvyo?
ReplyDeleteGiovanni mwalimu aliyekufundisha inaonekana alipata sana tabu kichwa chako kigumu kaka una ubongo wa mende(najubaby)
ReplyDeletembona mimi cpo ivo, cna tabia izo ulizoorodhesha hapo juu.... We giovanni umetumwa
ReplyDelete