Venessa Mdee Afunguka Kwanini Aliacha Kufanya Kipindi cha The One Show, Amtaja Marehemu George Tyson
5Udaku SpecialJune 01, 2014
Venessa Mdee hajawai kusema sababu ya kuacha kufanya The One show ambayo alianza hadi ku-shoot. Hivi sasa amesema sababu hiyo akimhusisha George Tyson kama mtu aliyempa moyo kwenye maamuzi yake
sio wanawake tu,ni wote hawa wanaojiita ma superstar wa bongo.kingereza chenyewe hawajui.angalia wakiwa wanahojiwa,movie za Kiswahili wanaweka kingereza chao cha maimuna.
Hapo ni kiswanglish kwa kwenda mbele.Utadhani hao wanao jiita masuperstar wote ni wahaya.Maana wahaya bwana,ooh infakiti mimi ni mastas mbiri tu,mara oh maza wangu ana tudigrii tuwiri twa businesi administration, mjomba angu ni profesa Canada na watoto wake wote watano ni madokita,mdogo wangu ni injinia anajenga daraja la kwenda zanzibar!
shukrani
ReplyDeleteivi ni wanawake pekeao ndo wanajua kingereza Tanzania hii? maana kila wakiongea au kupost lazima wachanganye luga
ReplyDeletesio wanawake tu,ni wote hawa wanaojiita ma superstar wa bongo.kingereza chenyewe hawajui.angalia wakiwa wanahojiwa,movie za Kiswahili wanaweka kingereza chao cha maimuna.
ReplyDeleteHapo ni kiswanglish kwa kwenda mbele.Utadhani hao wanao jiita masuperstar wote ni wahaya.Maana wahaya bwana,ooh infakiti mimi ni mastas mbiri tu,mara oh maza wangu ana tudigrii tuwiri twa businesi administration, mjomba angu ni profesa Canada na watoto wake wote watano ni madokita,mdogo wangu ni injinia anajenga daraja la kwenda zanzibar!
ReplyDeletehuyu kiingereza anajua sana hata kuzaliwa amezaliwa mtoni
ReplyDelete