Vicky Kamata Afunguka Kuhusu Ndoa yake Baada ya Kudaiwa Kuzuiliwa Kufungwa


Mwanamuziki wa zamani na mbunge Vicky Kamata baada ya ndoa yake kudaiwa kuzuiliwa kufungwa kutokana na kudaiwa mwanaume aliyetaka kufunga naye ndoa ana ndoa nyingine, amefunguka kwa kudai kuwa hizo zilikuwa ni habari za kutungwa na hazikuwa na ukweli wowote.
Vicky ameiambia amplifaya ya Clouds fm jana kuwa maneno mengi ambayo yalikuwa yanazungumzwa kuhusu ndoa yake kutofungwa yalikuwa yametengenezwa na watu.
Kweli ni maradhi kama ambavyo ilitangazwa wakati huo, lakini pamoja na hayo mimi bado nasema mungu alikuwa hajapanga ,alikuwa hajaruhusu kuwa tarehe 24 mwezi wa tano iwe siku wa kufunga ndoa.

“Mimi kama binadamu na mwenzangu tulipanga lakini mungu alipanga vinginevyo , kwaiyo siku zote mapenzi ya mungu huwaga yanatimia siyo mapenzi ya binadamu.

“Ni kweli alishawai kufunga ndoa lakini ninachofahamu mimi ni kwamba waliachana kihalali kabisa kwa divorce ya mahakama ya Kinondoni mwaka 2012 na mimi siyo mtoto mdogo kwamba ninaweza mpaka nikafikia hatua hiyo bila kuwa nimemchunguza huyo mtu.

“Kuhusu swala la kwamba alikuwa na mke wake , mke wake alikwenda kuzuia Kanisani sijui alikuja Bungeni, yale yalikuwa tu ni maneno ambayo yalitengenezwa na baadhi ya watu kwa interest zao ,lakini siyo kwamba nilikuwa nimeingilia ndoa ya mtu hata kidogo, kwa sababu ata huyo mke wa kwanza wa huyo aliyekuwa mchumba wangu aliongea na vyombo vya habari akasema mimi sijaenda Dodoma wala sijaenda kuzuia harusi.

“Kwaiyo maneno yaliyokuwa yamezagaa ,sijui mke wake amezuia yalikuwa ni maneno ya kutengenezwa na watu tu kwa nia zao wenyewe lakini siyo kweli.
“Kuhusu kwamba hajulikani alipo mimi hilo siwezi kumjibia, mimi nafahamu kwamba yupo na anaendelea na shughuli zake kama kawaida, kama ambavyo mimi naendelea na shughuli zangu kama kawaida, tunawasiliana, yani cha kufahamu tu kwamba ndoa haikufungwa basi.

“Hata kama kuna mkono wa binadamu katika jambo hilo mimi naamini mungu ndo mwenye mamlaka na Mungu ndiyo mwenye kupanga mambo, kwaiyo kama Mungu alikuwa anataka hiyo harusi ifugwe ata kama kungekuwa na binadamu mwingine hataki bado ingefungwa…

“Kwaiyo mimi sitaki kuamini sana kwamba kuna waheshimiwa wabunge wenzangu wamechangia kwa kiasi kikubwa kwamba ndoa ile isifungwe, mimi ninaamini ni mapenzi ya Mungu tu yametimizwa kwa staili hiyo” Alisema Vicky

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huna lolote Vicky hiyondoa ilizuiliwa na huyo jamaa alikudanganya tu manake ana mke na watoto wawili na wapo hapo ubungo kibangu karibu na jeshini.ulitaka kula vya watu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Vicky kamata bwana,anajaribu kuficha ukweli,Huyo Charles hajawahi kutoa talaka,na ameposa demu mwingine,kabla ya ndoa yako kufa.emerita kuficha ukweli,inaelekea Charles akijuomba papuchi utampa kiurahiniiiii,wanawake wengine bwana Ni vichwa vya mboo.

      Delete
  2. Vicky pole dada. Lichukue kama sehemu ya changamoto ya maisha ila lisemwalo lipo na kama halipo laja. Huwezi kujua Mungu kakuepushia nini. Kaa chini umwombe akufungulie njia iliyo sahihi kwani mume na mkewema hutoka kwa Mungu.

    ReplyDelete
  3. Vick turudishie pesa zetu tulizokuchangia kama harusi hamna.

    ReplyDelete
  4. Padri wa kanisa la mwenge alidai asingeweza kuifunga.ndoa hiyo kwa kuwa kuna documents mlishindwa kuwakilisha kwake mpaka siku ya harusi,ni zipi hizo?Je,mlianza lini mapenzi yenu la siyo yaliyoivuruga ndoa hiyo? Na kwanini jamaa zee kama hilo lilikuwa single kama halina matatizo? Je,ulivyotombwa na mar.moody mpakanjia nae hukujua ni.mume wa amina chifupa?

    ReplyDelete
  5. Upumzike salamaaa ujue hii ndio dunia nyodo achananazo.kilichokupata ni funzo.ishi kama mungu anavyokutaka uishi.achakuumiza wanawake wenzio.mambo yakukwapua waume zawatu acha namungu atakupa Wako.mikosi mnaitakaga wenyewe kwakuruka nawaume zawatu nakujiona mzuri wewe mshindi wewe.hamnaga adabu hata ukikwapua siujifiche basi uwe na adabu mkewe asijue.mnajionyesha sana mkiwa nawaume zawatu halafu badae mnalia ooo mungu nipe mume,ndio usubiri nauombe nakutubu kwa dhat utampata.tafuteni amani nawatu wote.mikosi mnainunua wenyewe bilakujua kwani mpaka urogwe.

    ReplyDelete
  6. malaya huyo kwanza yeye mheshimiwa anatakiwa ajiheshim sio kuandika habar za umalaya kwenye mtandao. na ndio maana hata baba wa taifa atakumbukwa sana katika usia wake kwa wanaoangalia itv alisema hivi hatuwezi kuwa na kiongozi muhuni muhuni. uhuni wake akafanye balabalan huko kwa wahuni wenzie.

    ReplyDelete
  7. Atakaye waonea huruma Vicky Kamata,Mchungaji Gwajima,Flora Mbasha,Mh.Kapuya na Kapten Komba kwenye hizi skendo zao umalaya basi ,naye ni malaya kama wao!

    ReplyDelete
  8. Vicky kamata unamapesa kibaoooo Si hayo mapesa yakuoe?

    ReplyDelete
  9. Charles kajificha,Mbona nilikuwa nampigia simu imezimwa?kazini alikuwa akanyagi,wadanganye wasiomjua Charles ,atakulia Hela yako ndoa sahauuuuu

    ReplyDelete
  10. Huyu mheshimiwa mi simpendi,sio yeye sipendi vitendo vyake

    ReplyDelete
  11. Mheshimiwa gani takataka hyo uheshimiwa wa ccm wa rushwa za ngono. Am out

    ReplyDelete
  12. bila kutoa kuma kwa kikwete angeupataje huo uheshimiwa akafie huko mbeleeeee

    ReplyDelete
  13. kachambeni mlale.fyuku nyie

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad