Wafahamu Mastaa wa Bongo Waliotoka Familia Bora Zenye Uwezo

Hakuna mtu asiyejua maana ya watoto wa kishua
basi kama yupo basi maana halisi ya neno hili ni
wale watoto waliozaliwa kwenye familia
zinazojiweza au unaweza kuita familia Bora. Mara
nyingi wasanii wengi huwa wanatokea maisha
duni na kupigana na maisha hadi kufikia walipo
sasa. Kipindi Diamond akiacha shule kwa kukosa
pesa ya kumsomesha nana elimu yake kuishia
A’level , Hawa wengine walikua wapo shule
wakisoma na kuishi vizuri.
Hawa ndo baadhi ya watoto wakishua
ambao kwasasa ni celebrities…

Vanessa Mdee

Vanessa Hau Mdee au unaweza kumuita Vee au
Vee Money alizaliwa mjini Arusha mwaka 1988.
Vanessa mdee alikuzwa na baba yake Sammy
Mdee (kwasasa ni marehemu )ambaye alikua ni
mtu mzito kwenye nchi hii na mama yake sophia.
Akiwa na umri mdogo Vanessa aliweza kusafiri
nchi mbalimbali duniani. Vanessa Mdee alikulia
miji ya New York , Paris , Nairobi na Arusha.

Nisher

Nisher ni mtoto wa Mtumishi wa Mungu Mh Nabii
GeorDavie anayeongoza huduma ya Ngurumo ya
Upako yenye makao yake jijini Arusha. Nisher
amekulia katika maisha mazuri na hadi ni
wakishua bado. Baba yake aliweza kumsaidia
Nisher kufungua studio yenye thamani kama ya
milioni 15 ili mtoto wake aendeleze kipaji
alichonacho.

Jokate Mwengelo

Huyu unaweza kumuita mtoto wa Oysterbay
kwani ndio alipokulia huku baba yake akifanya
kazi serikalini. Kumbuka Jokate alizaliwa
washington DC nchini Marekani ambapo wazazi
wake walikua wakifanya kazi huko. Alipomaliza
high school katika shule ya Loyola ndipo
alipogombania Miss Tanzania mwaka 2006 na
kushika nafasi ya 2.

Lucci

Jina lake halisi anaitwa Luciano Tsere au
unaweza kumuita Lucci ambaye ni producer
maarufu nchini. lucci amezaliwa tarehe 30
September mwaka 1985 Lusaka Zambia, akiwa ni
mzaliwa wa nne, wa mwisho kuzaliwa na akiwa
mtoto wa kiume pekee kwenye familia yao. Lucci
naye kama jokate amekulia Obey kwenye familia
bora ambapo kwasasa mzee wake ni balozi wa
Tanzania.

Wema Sepetu

Wema Sepetu ni msichana anayetoka kwenye
Familia ya kibalozi akiwa ni mtoto wa mwisho
katika familia ya wasichana wanne wa Balozi
Isaack Sepetu Ibrahimu (marehemu).Wema
sepetu alizaliwa mnamo mwaka 1988 katika
hospitali ya ST. Andrew’s jijini Dar es Salaam na
ni mtoto wa mwisho kuzaliwa huku
akisoma elimu yake ya primary na sekondari
katika shule ya ACADEMIC INTERNATIONAL
iliyopo jijini Dar es Salaam kabla ya kwenda
Nchini Malaysia kusomea mambo ya biashara za
kimataifa katka chuo cha Limkokwing University.

Post a Comment

21 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mnatubia ili itusaidie nn?
    Tunachangamoto nying za kueleza ili watu wajue njia za kuzitatuaa.... mnatueleza kitu ambachoo hakina faidaa...... tujaribu kuwa tunafanya vitu vya kutuinua kiakil na kitalumaaa

    ReplyDelete
  2. Uandishi wa habari uliosomewa Tabata au Kariakoo ndio huu. Mwandishi tuwekee profile yako ili tuku-judge nayo maana haya unayoandika yanareflect na shule yako...

    ReplyDelete
  3. Uandishi wa habari uliosomewa Tabata au Kariakoo ndio huu. Mwandishi tuwekee profile yako ili tuku-judge nayo maana haya unayoandika yanareflect na shule yako...

    ReplyDelete
  4. kama umekosa chakuandika usituwekee upunbavu wewe boya

    ReplyDelete
  5. du noma xana wwe mwandish. kwa hyo imexaidia nn xaxa cc 2jue?, kama vpi 2pa kuleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

    ReplyDelete
  6. acha kula bhang mbich mwandish, hvi ulivyo toka kula bhang ndo ukapachika hhi habar au?

    ReplyDelete
  7. Huyu meta uzi ni ms.....nge. Kwendraaaaa ma issues zako za kisenge km unawashwa sema wanaume wakukune nyambafffff

    ReplyDelete
  8. amezidi kukopi habari katoa kwa blog ya lemutuz kaweka umu wkt lemutuz akili yake chizi chizi

    ReplyDelete
  9. Huyo mwandishi inaonyesha chuo alichosoma alifeli hana alijualo kenge maji huyo

    ReplyDelete
  10. Pole sana Paula na Wema.

    ReplyDelete
  11. Haaaa anma tofauti na uswazi

    ReplyDelete
  12. hahahahaaaaa....huo wote ni ushamba tu kuutoka kwenye familia ya kishua na isiyo ya kishua yote ni sawa kwani kuna mtu anayetumia pumzi ya mwingine kupumlia aaalaaah!

    ReplyDelete
  13. iyo inasaidiya nini na kwanini ametowa izo habari anamjulisha nani na nani anataka kujuwa history ya wema na wenzake itasaidiya nini kama wametoka katika familiya kubwa na bora niyakwao wenyewe kama mimi japo sikutoka kwenye familiya kubwa iyi yangu ndogo nijivuniya iyoiyo lakini miye ni bora kuliko hawo wa familiya kubwa .nani huyo muandika habari arudi shule. kumbe wema kasomeya biashara basi ndiyo mana kapasi keenye biashara ya ngono kumbe ana degree in business ungilichukuwa hata IT computer ingilikuwacha busy all the time labda usingifikiri ngono kila wakati but still you have chance to change the subject from business to IT

    ReplyDelete
  14. wanaotoka kwenye family zenye uwezo wapo kibao msitustulie nyege apa...

    ReplyDelete
  15. Mbona mm hamnitaji?

    ReplyDelete
  16. diamond na ukata wake wazamani kajitahidi mpaka kaja kula watoto wote wakishua ambao hata ingekuwa vipi kama angebaki vilevile asingewapata!! pesa bwana!!!

    ReplyDelete
  17. hayo ni maisha yao tatadhali toa ushaur nin kifenyike kwa watot wa familia maskini

    ReplyDelete
  18. yan watu bwana kwa hyo katika kutajwa kaonekana wema tu,mana comment zote zimelalia kwa wema.hahahha kweli binadamu mmmh.jpo mwandishi alichoandika wala hatukutaka kukujiua sijui kawaza nn.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad