Watu watatu wakazi wa Mwananyamala Jijini Dar Es Salaam wamejeruhiwa katika tukio lililohusisha risasi za moto linalodaiwa kufanywa na polisi baada ya kukutwa wakikesha kwenye ngoma maarufu za Kigodoro, ambazo tayari zimekwishapigwa marufuku na jeshi la polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam.
Tukio hilo lilitokea majira ya saa kumi na nusu jioni katika eneo la shule ya msingi kisiwani ambapo mmoja wa majeruhi hao tayari amekwisahruhusiwa kurudi nyumbani na mwingine akiendelea na matibabu kwenye hospitali ya Mwananyamala.
Wakiwa kwenye ngoma hiyo maarufu Jijini Dar es Salaam ya Kigodoro, eneo la Kisiwani mwananyamala, mara gahfala polisi walivamia eneo hilo, na kusimamisha shughuli nzima kwa madai ya kucheza wakiwa hawana nguo, jambo ambalo ni kinyume na maadili.
Akizungumza kwa njia ya simu Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa kipolisi Kinondoni Kamishna msaidizi Camillius Wambura anathibitisha kutokea kwa tukio hilo.
Wajeruhiwa kwa Risasi za Moto Baada ya Kunaswa Wakicheza Ngoma za Vigodoro Wakiwa Utupu
17
June 20, 2014
Tags
safi sana mweee watu wengine wamezidi kutia aibu wenzao. ndo mini kucheza uchi!!!
ReplyDeleteYaani mtu kwa shida zake ameamua kucheza ili aingize kipato, anapigwa sisasi! Watu wanabaka watoto wadogo mitaani ila wako huru!? Africa kuna uonevu wa hali ya juu. Mbona hamjawapiga mafisadi hizo risasi??
ReplyDeleteacha kutetea ujinga, hicho anachokifanya hasharani ni sawa sasa?
ReplyDeleteHapo ni hadharani au ukumbini?? Watu na akili zao wanalipia kiingilio kuangalia matako! Wewe ndio uache kutetea ukhalifu...jiangalie wewe!
DeleteNgoma asiliyake
ReplyDeleteMdau 12:27 unaakili timamu wewe? unatetea upumbuvu, au wewe ni mmojawapo? kwa hiyo wewe umeona hiyo ni kazi? wewe unapajua kisiwani watoto wa kule wengi washapinda wakiongezewa na kigodoro? muuaji mkubwa bahati yako nimeokoka
ReplyDeleteUmeokoka my ass!! Alie okoka huwa anaingia udaku special!!?? Kila mtu anamaoni yake na niko huru kuosema maoni yangu. Wewe nani wakuwa hukumu watu??? Aliye wa umba hajawapa adhabu kali kama hiyo walio pewa , iweje mtu awapige risasi!?? Eti umeokoka hakuna mwanaadam anae weza kuoka hapa duniani, watu huwa wanaongoka na si kuokoka! Mbona kapuya hamkupiga risasi ya kwenye mboo yake?? Mbona hamkupiga Komba? Kama nyie kweli mnahasira na maadili! Wanafki wakubwa nyie , ooh kanga moko afadhali wamepigwa risasi, wateja wao si nyie hao hao..hangelikuwa hawapati wateja wala wasingekuwepo! Acheni unafki wa Tanzania, ndio maana mpaka viongozi wenu wanawaburuza kwa sababu wanajuwa wana nchi wao ni matobwe. Wameanza kupiga risasi kanga moko sindio? Mtauwana wenyewe kwa wenyewe mpaka mkome. Muuwaji ni wewe na uko wako wote nyambafu wahed
DeleteJambo likifanywa na wanawake siku zote ni baya halam. ila likifanywa na wanaume hataa ni halali, asa sisi wafrica, wanaume wamnejaa mashoga kila siku kusasambua wala hamsemi kitu, mafisadi wengi wanaume wala hamsemi kitu, wauza madawa yakulenya wanaume wanaongoza yote hayo hata yanarusiwa, jambo akfanya mwanamke kila kona kelele, na mtu na yetu nanyi shikeni yenu, kama tulivyoumbwa, wengine wanawake wengine wanaume,
ReplyDeleteAsante sana kwa kuligundua hilo ndugu yangu. Ni uonevu ulio kithiri!
Deletedaaaaaaaaa
ReplyDeleteWW mdada unayejitetea ni mbwa kabisa
ReplyDeleteMbwa huwa anamjuwa mbwa mwenzie, kwa hiyo na wewe ni mbwa tena kasoro mkia! Nyoooo Hebu kajikune huko maana unawashwa.
DeleteMbwa na Mbwa mwenzake. Muwaache. Wananchi wamechoka. Yote haya ni kwa ajili ya mafisadi wanafirisi nchi. Hii yote imesababishwa na umasikini. Sio kama wamependa. Wamejikuta eametokea kwenye mazingila kama haya ni dhiki tu hii. Anzeni na wale walifu. Climinal wanaoaribu nchi
Deleteni kweli wanawaonea jamani!!!!!
ReplyDeleteHata kama ni adhabu hiyo ni kubwa kwa nini wasiwacharaze hata bakora?mnaacha kuwapiga risasi wanaostahili mnawapiga dada za watu kwani waliwavuta kamba na wewe mzaxi utamruhusuje mtt wako akaangalie vigidoro
ReplyDeleteUpuuzi mtupu. ooo
ReplyDeleteWewe 2:51 ni mkundu!ni kosa gani ukifanya imeruhusiwa upigwe risasi?hata mwizi anakamatwa na kupelekwa mahakani,matako yako!
ReplyDelete