Habari mpya kama sio njema ni kuwa Wema Sepetu na Kajala Masanja wamemaliza tofauti zao zilizotokana na ‘beef’ lao lilichukua week kibao sasa. Kwa mujibu wa taarifa mpya mitandaoni ni kuwa mastaa hao wawili ambao waliwahi kuwa mashosti wakubwa walimaliza ‘beef’ lao katika sherehe ya kibao kata cha mwandishi wa magazeti ya Globalpublishers anayeitwa Imelda Mtema.
Katika tukio hilo mastaa kibao walihudhuria akiwemo Aunty Ezekiel ambaye kwasasa amekuwa karibu zaidi na Wema Sepetu. Nae Wema Sepetu kupitia Instagram ame-share picha hiyo hapo juu akiwa na kina Kajala na kuandika "nawapenda sana hawa hapa..jana hiyo kwa kibaokata cha Imelda Mtema"
Wema Sepetu na Kajala Masanja Wamaliza Tofauti zao.
23
June 29, 2014
Tags
Wasanii tu hawa wema aliwai kuvamia global akawa anamtukana uyo Imelda mtema eti leo mashoga mh?
ReplyDeletekwa hiyo babuu,unatuambiaje,umesahau msemo wa wahenga,wagombanao ndio wapatanao.bora walivyopatana matusi yatapungua sasa huko instagram,
ReplyDeleteebu bwana udaku tuambie,hii habari hiliyopo huko instagram,kuwa ndoa ya dida chali tena,eti wanadai kamfumania mumewe,kama ni kweli me naona dida ndio mwenye matatizo,japokuwa watu wataangalia upande mmoja,lkn kwa mtu mwenye uelewa mzuri,dida siyo mwanamke wa kuoa kabisa,mwanamke mjuaji wa kazi gani,mrs kajua yote,
ReplyDeleteheee,makubwa,lkn kweli Dida kujifanya yeye ana hela,ukute huyo mwanaume kavumilia mengi sana,ndoa haitki mashauzi,ndoa kuheshimiana,sasa utaolewa mara ngapi,kwanza kujisifu una hela wkt unakaa nyumba ya kupanga,
ReplyDeleteDida tena km nikweli basi apumzike nandoa.mh wadau mnapondajee acje akamsamehe km florah mbasha
DeleteIlikumaliza tofauti zao kiukweli ukweli Lila upande uvunje timu zao kwani chanzo cha yote mitandaoni
ReplyDeleteApo mekap hazikukolea vizur,,, sura zao mbayaaaa
ReplyDeleteJamani hivi kibao kata ni nini?
ReplyDeleteNgoma flani yakukata viuno wanaume ambao si rizki wanaipenda kweli.yakishenz tu.bora walivyoelewana wenye midomo km mamba watulie
DeleteWadau ctaki kuamini juu ya dida na mumewe mtujuze basi.kama ni kweli basi dida anashidaa maana ni mme wa tatu.maana ndoa ni uvumilivu.
ReplyDeleteYani wema kumbe mswahili ivo kha! Kibao kata mambo ya uswaz sana loh mastar bongo zero puh...Afu kuhusu pic Aunty ndo katoka kizuri wengn misura mibaya maimatha mikorogo punguza mama unazidi kula kibaya zee zima ovyo...mfyuuuuuuuu
ReplyDeleteJamani wema kampokee baby wako kakuletea zawadi ya kithong kutoka Victoria Secret.
ReplyDeleteBreaking news jamani hawa wadada hawakomi na sembe haya Kuna mdada anaitwa Eliza au liz kipua amekatwa south Africa alikuwa anaishi huko na kuuza sembe anakaduka hapa American chips ka kanguo wadada badilikeni jamani
ReplyDeletehhahahhahhah unaona mtu anauza nguo anakuwa na hela nyingi eti biashara inamlipa kumbe wapi sembeeeeeeeeeeeeeee. pili tatizo kubwa la sasa wadada hata wakiolewa siku hizi wengi wanashindwa kudumu kwenye ndoa kutokana na kuwa wavivu sana pamoja na kupenda pesa za chapchap jiangalieni sana mabint wa tz hiii
ReplyDeleteHuyo Zamaradi wala hajapendeza na alivyo hana nyama km mzimu apishe kule mfyuuuuu
ReplyDeleteAaaaahh mdau eti kama mzimu hahahahaha umeua
Deleteaunt ajapendeza hata kidogo,wema ndo katokelezea,,huyo jalala nae atutolee ushuzi hapa.
ReplyDeleteWe nana achawivu kabisa madam Wako boss Wako hajapendeza chochote
ReplyDeletehayo mawig wamekua kama midoli
ReplyDeleteVibayaaaaa....khaaah
ReplyDeleteHuyo changu dida sasa anajifanya kapata mchongo big brother anajua kingereza? Maana kule sio China shost ukapata mkalimali mnaenda kuuza k na miku... mkasaidiwa kufanya shoping hahahah. Mume anaitaji malezi sio kuishia kupaka carolite tu na ushukuru mkorogo ww sijui ungefanya nn km sio kuiza vitumbua maana sio siri ni mbayaaaa halafu unagimbi na unavyopenda kuvaa viatu virefu vikubwa hakina size yako na kitembea km unapanda mlima.....
ReplyDeletemzimu wa usiku kkabisa ndo mana wanaume wanamwacha
ReplyDeleteWameka kama mizimu na hayo mawigi
ReplyDelete