Wema Amchana Aliyemzushia Kuwa na Ujauzito wa Diamond

Miss Tanzania 2006 pia Actress mwanadada mwenye   nyota ya ajabu ambaye anakimbiza  hapa Tzee Wema Sepetu a.k.a Mrs .Nasibu Abdul alias Daimond Platinum  amemtaja mtu ambaye alimzushia kwamba anaujauzito kwenye mtandao mmoja wa kijamii uiitwao Instagram kuwa ni shabani amri ambaye anapatikana kwa jina ili(@shabani amri5)

Halafu usione nakaa kimya mkaona labda siumii kizazi ulinipa wewe?….. mpaka uniamrishe nizae…Sina kizazi sasa …kama unaweza nipe  nizae..Dah! nawavumilia tu …mi pia binadamu nina moyo…unahisi kwa akili yako sitaki mtoto  ama nini? …Zaa zaa zaa …kama wewe umebarikiwa  kuzaa hongera..Im tired of this kuzaa bullshit….!!!Leave me  and my Life alone “ aliandika wema kwenye ukurasa wake wa Instagram.

Post a Comment

30 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wema Uwe na mimba"" Usiwe na Mimba Inatuhusu nini sisi????? Chezea Mimba""" Aaaah haaaaaa!!!

    ReplyDelete
  2. Na wewe nyamaza ,utajibu wangapi?

    ReplyDelete
  3. Wema u are beautiful dada.. i think its time for u to stay quite and don't argue with people in media.after all hizi stories za kila siku zinakufanya uishi bila amani.let them talk

    ReplyDelete
  4. U let them line up but do what u think is good, big up n lov u

    ReplyDelete
  5. uchoki kila siku wewe tu.

    ReplyDelete
  6. NYOTA INAYONG'AA nyie mjazeni ujinga tuu anang'aa bili futute? Nafac alonayo lait angejjiitambua angetoka sn kimaisha.. Yupo yupo tu umalaya ndo unamuweka mjini kizazi kishapinduliwa hicho! Life style yako imeshaanza kukukost.

    ReplyDelete
    Replies
    1. nyota imeng'aa sana mpaka mama ake wamemchafuasasa wamemtoa na picha ya uchi.mamboyenu na ya team makorokocho hovyoo mnaingilia mpaka wazazi.wema nawewe pumzika mitandaoni kutwa kuchafuana tu.hovyosana

      Delete
  7. chezeeeeeeaaaaaa kuzaaaa ww..ushuuuuuuuuzi

    ReplyDelete
  8. Jamaniii Ni kweli Wema Hana kizazi?basi kwa Domo anapoteza muda wake,duuuu

    ReplyDelete
  9. Weye mwenyewe una unda scandal unatowa pesa itolewe kwenye magazeti kisha unajidayi umekadirika huna kazi tizama wenziyo wamefika wapi kilasiku ukiona jina la kidoti anabiashara tizama wastara kafunguwa car wash weue umekaliya scandal tuu unaisabu wanaume umeisha lala nao kama ndiyo sifa ulianziya kwa marehemu kanumba , h baba, climent diamond na wengine tuu

    ReplyDelete
  10. Nyota inayong'aa wapi we mwandishi? Pumbavu mkubwa unajua nyota inayong'aa wewe?

    ReplyDelete
  11. Huyo Kicheche kachoooookaaa. Ana problems chungu mzima. Kwanza yuko unemployed.Pili ni very low class. Yaani ni trash fulani hivi. Halafu kitu kingine kinachomsumbua Kicheche huyo ni kwa sababu hana education kwa hiyo inamfanya awe na lack of skills na pia anakosa initiatives. As a result anakalia maisha ya hovyo hovyo. Maneno meeengiii vitendo hakuna. Yaani she has a life of none direction. Anategemea Wanaume ndio wambebe bebe. Halafu Wanaume wenyewe ni aina ya Domo. Wale ambao ni very local. Hawezi pata mwanaume mwenye standards. Kwa hiyo matokeo yake anaishia na Ukicheche.......Sasa swali la kujiuliza, hiyo Title ya Miss Tanzania aliipataje pataje. Kwa sababu kwa hicho ndicho kinachosumbua watu. Hakupashwa kupata hiyo Title ya Miss Tanzania. Na kwa kweli bila hiyo Title hakuna mtu angesumbuka kumjua wala kumuongelea. Pengine angekuwa huko kwenye mavumbi na michanga na kuteka maji mtoni. Kama wale wanawake wengine wa pale vijijini.

    ReplyDelete
  12. Hii ni kwa wale wanao Host ile Miss Tanzania pageant. Kwa kweli inabidi wawe very keen katika kupata wale contestants. Inabidi wawachunguze sana. From Head to Toe. Waanzie kwa kuwaangalia right from their personality to their moral perspective. Wasiishie kuwaangalia Uzuri wa nje pekee. Au namna wanavyoongea hivyo viingereza vyao fake fake. Inatakiwa wawachunguze hasa. Kwani bila hivyo ndio matokeo yake wanatuletea hawa vikaragosi kama vile Kicheche (Wema Sepetu). Sasa unaona jinsi gani huyo Kicheche anavyo misuse hiyo Title. Mpaka kila mtu anabaki anashangaaa. Kwa hiyo ana take advantage ya kujiona yuko mtu fame sana ya kuwa kila mtu anamhangaikia wakati ukweli wenyewe ni so fake na amebakia na Ukicheche wake.

    ReplyDelete
  13. Halafu Kicheche pliiiiizzz give us a break. Kila siku ya Mungu unakuja hapa na vistory vyako fake visivyokuwa na kichwa wala miguuu. Go and have a life you loser..............

    ReplyDelete
  14. Pole pencil maneno yanakutoka kama kiwete coz ya kuachwa. Vumilia ndio ukubwa huo.

    ReplyDelete
  15. tumuweke ktk maombi huenda akabadilika

    ReplyDelete
  16. nyie mnao sema kicheche ni mama zenu ndo vicheche...kwani kuzaa ni lazima si majaliwa??,hamna lolote yes wema ni nyota inayo ng'aa bila kuzima miaka nenda rudi wengi tunampenda nyie roho zinawauma mnaona mkeshe kwenye blogs mpate kuongea usenge wenu..na bado wema nyota haishuki ng'ooo itazidi kung'aa milele mpaka mungu aamue kumshusha wivu na roho mbaya ndo inayo wasumbue nyie fisi..hamna loloteee wema sepetu milele kama hampendi sageni chupa mnyweeee

    ReplyDelete
  17. Ah wp tupa kuleeeeeeee

    ReplyDelete
  18. We anony 8:53 umevurugwa, huna jipya unatetea ujinga Wema ana kazi gani ya maana zaidi ya kuuza papuchi hapa mjini, elimu hana kazi nzuri hana kabakia kuishi kwa kutegemea kuhongwa na kina domo wasiojitambua. Acha aelezwe ukweli ili abadilike tumechokaaaaa.....Kila cku Wema who z she? !!!! Kwendraaaaa

    ReplyDelete
  19. Usipanic boya wee sema huna kizazii (in mkude simba's voice)

    ReplyDelete
  20. Kila siku sikendo za diamond na wema wakati mtaani kuna vitu vyingi vya kusema.....

    ReplyDelete
  21. huwa nachoka nikikumbuka alivotutangazia eti kanunua nyumba ya mil 400 kimbe kapangishiwa na clement

    ReplyDelete
  22. Huyu Kicheche yuko so desperate. Yuko so miserable mpaka basi tena. Yaani hajijui, yupo yupo. Ni attention seeker, wakati anajua haitamfikisha popote mpaka anatia na kichefu chefu.....lools

    ReplyDelete
  23. Wapo mamic wanaojielewa baada ya umic maisha yao yanaeleweka km Faraja Kota,Jaklin(mama wawil) Happimes Magese akina Kidoti nawengine wengi! Ss hili kapu la nyege ziczokwisha halifikirii future!mkitaka kujua ni bwege kitendo cha kutangaza kanunua nyumba! Hahaha malaya mbovu unamiliki nguo na viatu tu?!

    ReplyDelete
  24. hv nyie wadau! huyu wema ni binti au jimama?

    ReplyDelete
  25. seriously u got nothing new instead of being hardworking ur always In da news blabbing shit chapa kazi kama kanumba,n kama wajidanganya mzuri soorrryy everyday kwazaliwa wazuri so be seriouse n forcus wid life n try n be a nice rolemodel to the upcoming generation not scandles n alot of show off. u aint even a wife nor a mother material u should mend urself before tym lives u.

    ReplyDelete
  26. nyie woteeee mnao mtukana wema kwamba anahongwa bora yeye anae hongwa kuliko wengine wanao honga kama kuhongwa ni rahisi mbona nyie tangu muanza kugongwa mnagongwa bureee???hata hela ya sabuni hampewi..mmekalia wema wema sasa mama zenu tangu wameanza kuhongwa hawakupanga hata chumba cha 10000 kwa mwezi..hapo jiulizen nyie huwa ham hongwi??au mnakopwa?????poleni jamani ugumu wa maisha na vyi english vyenu vya asante nyerere ambavyo haviwaingizii hata sent hasira zisiishie kwa wema tatizo mnakopwa sana wadada mpaka mkisikia wema kahongwa chupi zinapwaya ....mxuuuuuuuuuuuuuu sijaona mtu wa maana humu ni haters tuu hamna kazi kilicho baki ni kuvizia habar kwenye blogs mpate kumtukana mtoto wa watu....hihihihihi joto hasira na dhiki zenu..wakosa kazi na english zenu za chooni pelekeni huko huko kuandika bloken nyingiiiii hata sent hamna mpyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee..wema wakomeshe waliozoea kukopwaaa

    ReplyDelete
  27. nyie woteeee mnao mtukana wema kwamba anahongwa bora yeye anae hongwa kuliko wengine wanao honga kama kuhongwa ni rahisi mbona nyie tangu muanza kugongwa mnagongwa bureee???hata hela ya sabuni hampewi..mmekalia wema wema sasa mama zenu tangu wameanza kuhongwa hawakupanga hata chumba cha 10000 kwa mwezi..hapo jiulizen nyie huwa ham hongwi??au mnakopwa?????poleni jamani ugumu wa maisha na vyi english vyenu vya asante nyerere ambavyo haviwaingizii hata sent hasira zisiishie kwa wema tatizo mnakopwa sana wadada mpaka mkisikia wema kahongwa chupi zinapwaya ....mxuuuuuuuuuuuuuu sijaona mtu wa maana humu ni haters tuu hamna kazi kilicho baki ni kuvizia habar kwenye blogs mpate kumtukana mtoto wa watu....hihihihihi joto hasira na dhiki zenu..wakosa kazi na english zenu za chooni pelekeni huko huko kuandika bloken nyingiiiii hata sent hamna mpyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee..wema wakomeshe waliozoea kukopwaaa

    ReplyDelete
  28. Kwi kwi kwiiiiiiiiiiiiiiiiiiii heheeeeeee we hapojuu kahongwa nini kwamfano??eti kahongwa putuuuu vile alivovichukua clement unavihesabia??atafilimbwasana chezea wanaume wabongo kashazeeka

    ReplyDelete
  29. aya wanaalakati wema. malaya tu ana lolote?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad