WEMA Anasa Mimba ya DIAMOND…Diamond Apagawa Kwa Furaha


‘Beautiful  Onyinye’  na  kipenzi  cha  Diamond, Wema  Sepetu  sasa  ni  mjamzito. Baada  ya  misukosuko  ya  muda  mrefu  ikiwemo  kuporwa  na  wasichana  wenzake  penzi  lake  la  Diamond, sasa  Wema  amepata  kile  alichokuwa  akikililia  kwa  muda  mrefu….

Chanzo  cha  habari  hii  kutoka  kwa  marafiki  wa  Diamond  kimedai  kuwa  Wema  amenasa  ujauzito  na  kugundulika  hivyo  walipokuwa  Afrika  Kusini  kwenye   tuzo  za  MTV-MAMA na  kumfanya  Diamond  achanganyikiwe  kwa  furaha….

Kwa  mujibu  wa  chanzo  hicho, inadaiwa  kuwa  Diamond  kwa  sasa  kawa  kama  mtu  aliyepagawa  kwa  furaha  kutokana  na  taarifa  hizo  njema  na  tayari  ameshaanza  maandalizi  ya  kijacho  chake….

Kugundulika  kwa  ujauzito  wa  Wema  ni  baada  ya  kuanza  kujisikia  vibaya  walipokuwa  Afrika  Kusini  ikiwemo  kichefuchefu  na  kizunguzungu  alipokuwa  hotelini  alipofikia  na  kulazimika  kwenda  hospitali  kwa  uchunguzi  zaidi….

Inasemekana  kuwa  Wema  alisindikizwa  na  Aunt  Ezekiel  kwenda  hospitalini  waliyekuwa  naye  huko  Afrika  Kusini  kumpa  sapoti  Diamond  na  madaktari  ndiyo  waliomjuza  kuwa  anakiumbe  tumboni  cha  wiki 7

Taarifa  za  madaktari  hao  zilimfanya  Wema  awe  kama  mwehu  aliyepagawa  na  kurudi  hotelini  kwa  mumewe  Diamond  huku  akiwa  na  tabasamu  ambalo  hapo  awali  Diamond  hakuwahi  kuliona….
Inasemekana  kuwa  mpaka  sasa  siyo  Diamond  wala  Wema  aliyewaambia   wazazi  wake  kuhusiana  na  mimba  hiyo  zaidi  ya  watu  wa  karibu  wa  wawili  hao  waliowasindikiza  Afrika  Kusini.

Post a Comment

41 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hizo ni uongo aisee..how comes msichana anafika wiki saba bila kujua ana mimba..hiyo si miezi miwili..ina maana alikuwa anaingia period huku ana mimba..coz kukosa period moja mwanamke lazima ajiulize sababu..la sivyo Diamond kaingizwa town hapo..chezea mtonyo wewe..watu wako kimpango mkakati ni balaa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mdau hapo mtu kuwa na mimba sio kwamba ndio lazima period zikate mimi mke wangu alijigundua ni mjamzito na mimba ikiwa na miezi mitatu tena baada ya kuona ananenepa kwa kasi na anachoka sana sababu alikuwa anapata period kama kama kawaida hadi kafikisha miezi 4 ndio period ikakata soo sio wanawake wote lazima wakiwa wajawazito lazima period ikate kila mtu ana maumbile yake naomba nikusaidie kwa hili tu

      Delete
    2. Mweleze uyo. Ashakariri kila kitu wizi

      Delete
    3. Anony 2:3 una nini? Mimi hapa niligunduwa naujauzito tayari miezi 5 tena baada ya kwenda kwenye appointment ya kila mwaka.kazi everything nilikuwa nafanya kama kawa.

      Delete
  2. Hata penny na yeye alituambia hivi hivi baadae kimyaaaaaa

    ReplyDelete
  3. Neo azae sasa hizo mimba alizotoa zatosha,we luv u wema,ata ukiachwa na diamond we zaa,siku hi zi wazaa kwa upendo wako sio ili kumfurahisha mwanaume ukilitambua hili utajua nini wafanya

    ReplyDelete
  4. Mungu amsaidie na iwe kweli,maana hakuna furaha duniani zaidi ya kuwa na mtoto,hata kama utamlea peke yako,

    ReplyDelete
  5. Ni vema mwaya nawe upate furaha ya kuitwa mama. Mbona vichaa wanazaa usjali uwezo wa kulea unao

    ReplyDelete
  6. In shaa Allah iwe kheri na Awe mwana.wa.kheri ataye.leta furaha ya rabb. My sister mimba yake ya pili kujulikana tayari ni mtoto tumboni miezi 6. Tulikuwa madukani mizunguko ya kuangalia nguo za watoto za eid mara akasikia kisunzi aona dunia yazunguka nikamsaidia kuketi chini jasho lamtoka nikakodi bajaji mpaka hospitali. Katika pimwa pimwa mjamzito kumbe na pressure ipo juu. Tena miezi 6 mimba. Wema masafari ya ndege pumzika mama sasa

    ReplyDelete
  7. Diamond yende akapime DNA mara atatwishwa mzigo siyo wake

    ReplyDelete
  8. hongera wema,mtoto nizawadi kubwa kutoka kwamungu atakama mambo yapoenda vizuri kwenye mahusiana uliyonayo usiogope mlee mwanao,japokwasasa nafikiri mtakaasawa kulingana namengi mliyoyapitia hongera sana.

    ReplyDelete
  9. huyu wema anakuwa mja mzito kila siku hata tumechoka sasa
    uzushi mwingi...aseme mwenyewe kwa mtandao tuaminu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Muongooooooooo Hana mimba Huyo ,alijishauaga kwenye insta oohoo tumbo limekuwa,watu wakaanza kumpa hongera,

      Delete
  10. mkipata mtoto itapendez sana

    ReplyDelete
  11. Kumbe jamaa huwa anachapa kavukavu, du!!!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sasa unataka achape mbichimbichi?

      Delete
  12. ongera mwaya dadaangu eee mungu akubariki.

    ReplyDelete
  13. Sasa huyu Kicheche naye kaishakuja na story ya mimba. Mtu utajuaje kama anamimba kweli ama hana. Kicheche kama hatabiriki. Sasa ni kazi kwa Domo kwenda kupima DNA ili kuhakikisha ni ya kwake. Kwa maana utamuamini vipi huyu Kicheche na Ukicheche wake. Mwanamke ngono imemtawala sijui kama nini. Mara leo kwa Clement sijui Ali Kiba sijui msumeno gani yaani haeleweki. Domo kapime DNA usijiwe bambikiwa mwana asio wako na mimba zenyewe hizi za kujitokeza baada ya miezi kadhaa. Shauri yako........

    ReplyDelete
    Replies
    1. Penny wivu utakuua. Vipi wewe ile yako iliyopotelea hewani???? Acha majungu muogope Mungu..

      Delete
  14. jamani muachene azae na yy si mwanamke........Wema ebu zaa...ukiwa na mtoto akili itakaa sawa..waangalie wasichana wenzako waliokwisha kuwa na watoto....

    ReplyDelete
  15. Tatizo sio kuzaa. Ila je hiyo mimba ni ya Domooo???? Maana mtu mwenyewe Kicheche sasa utamuamini kivipi???? Kalaghabao Domo na ubwezi wako.....

    ReplyDelete
    Replies
    1. Huyu sio penny kweli?kapaniki kishenzi Duuuu ,Acha movie iendelee

      Delete
  16. Karibu kwenye club ZA mamazi!!! Pengine utabadilika mydia wema !!!!! Kuna labour Hapo Si Lele mama!'n mmmh

    ReplyDelete
  17. mwenyezi mungu amjaalie huyo mtoto wao asiwe na akili za baba yake wala mama yake.allah amjaalie awe na akili za babu yake mzee sepetu.....ISHALLAH

    ReplyDelete
  18. Jaman pen atakufa kwa hir

    ReplyDelete
  19. Mama wema yuko wapi na kuapiza aramuuwa diamond sasa unaletewa kijuku sura ya NASIB utatupa

    ReplyDelete
  20. kila l akheri wema, ila hofu yangu, domo plus domo=?

    ReplyDelete
  21. Dogo Nasib, piga mahesabu vizuri, mimba ina wiki 7, na wewe hv karibuni haukuwepo nae, mh DNA plz

    ReplyDelete
  22. Jamani hata mahawara nao wakipata mimba bado jamii inashangilia duh...je angekuwa mke wake? Hapo ni Hawara tu. Mungu tusaidie na hizi imani potofu...lahaullah!

    ReplyDelete
  23. SWALI KWA LAJA HAPA MUMEWE KWANI WASHAOANA?KAMA BADO WANAFURAHI KUWA NA MTOTO NJEE YA NDOA?

    ReplyDelete
  24. kila kitu chenu matangazo,kwa nini kuwa na HIV hamtangazi?mastaa tuwajue kwa kila kitu.tupieni vipimo vyenu tujue

    ReplyDelete
    Replies
    1. Watangaze nawenyewe wanataka kuusambaza.ukitangaza sisoko litapwaya.mgeni kwetu ameingia mgeni mgenii

      Delete
    2. Mnalooo hilooo,povu lawatokaaaa,Wema Wema Wema sepetungaaaaaa Wema naimba

      Delete
  25. Mimba mbona kawaida. au una wasiwasi ulishatoa? kama uko poa uzuii mimba kwa kinga. una bwana na unasex mimba jambo la kawaida, na Afrika mimba huwa hazitangazwi, make tumbo litakuwa tu, uwezi kuficha jipu

    ReplyDelete
  26. Mkumbuken na mwenyez mungu'kama ni kwel huyo bint ana mimba itakuwa ya halali?coz hakuna ndoa hapo

    ReplyDelete
  27. mwezi wa rama unakuja alafu mimba mkafunge ndoa ili upike uji wa futari kihalali

    ReplyDelete
  28. haitatoka tena kama ile ya kwanza???? wema kiboko! ilianza kutoka yako wema ikafuata ya penny ntaona hii sasa.....mama kidoti big up mama salut kwako muheshimiwa!

    ReplyDelete
  29. kama kweli unamimba usije kuitoa.make sure unazaa and God ll bless u.am a medical doctor and that is ma advice to u.

    ReplyDelete
  30. Hayaaaaa Jamani mlioumia Wema kushika mimba,mwenyewe huku instagram kakanusha Hana mimba,msiumie bureee wapenzi Ni uzushi Wa magazeti.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad