Wema Sepetu, Aunt Ezekiel, Shilole na Ney wa mitego walipotajwa bungeni.

Kutoka Dodoma 104.4 kabla ya kujadiliwa kwa bajeti ya wizara ya afya na ustawi wa jamii ilianza sehemu ya maswali na majibu kuanzia saa tatu asubuhi mpaka saa nne.
Naibu waziri wa habari utamaduni na michezo Juma Nkamia ndio alijibu swali la Catherine Magige kuhusiana na udhalilishaji wa Wanawake unaofanywa kwenye kumbi mbalimbali za starehe Tanzania.

Waziri Nkamia alisema ‘nakubalia kabisa kwamba kumbi za starehe zimekua zikitoa burudani na ajira kwa vijana hapa nchini lakini ndani ya kumbi hizo kumekua na vitendo vinavyofanyika kinyume na maadili ikiwemo udhalilishaji wa Wanawake’
‘Katika kukomesha hali hiyo serikali kupitia baraza la sanaa BASATA wamefanya vikao kadhaa na wamiliki wa bendi, maafisa utamaduni, wakuu wa polisi, wamiliki wa kumbi na wanaojihusisha na uchezeshaji wa mtindo wa kanga moja ili kujadili ukiukwaji wa maadili kwenye sanaa’

Kwenye sentensi ya tatu Waziri anasema ‘Pia serikali imeacha kutoa usajili kwa vikundi kama cha kanga moko kwa kuwa uchezaji wake unakwenda kinyume na maadili ya Tanzania na kutoa onyo kwa wamiliki wa kumbi, Wasanii na hata asasi zinazojihusisha na sanaa ambazo hazifati maadili’
Anasema ‘Wasanii waliopewa Onyo ni Ney wa Mitego, Shilole, Wema Sepetu, Aunt Ezekiel na kwa upande wa kumbi ni Mama’s and Papa’s lakini pia maonyesho ya urembo ya Miss Utalii yalifungiwa ambapo pia Serikali imeunda kamati ya kitaifa ya kuzuia ukatili na unyanyasaji dhidi ya Wanawake/Wasichana watoto’

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mbona wanaonyanyacka china kwa kunyang'anywa passport kisha wanauzwa kinyume na matakwa yao. Mbona hamtoi tamko kwamba nao wananyanyacka

    ReplyDelete
  2. what does this mean to us

    ReplyDelete
    Replies
    1. sasa cc inatusaidia nn mbona hatukumuelewa uyo anayejiita wazir

      Delete
  3. Utumbo na upuuzi mtupu mmamaee

    ReplyDelete
    Replies
    1. Bar hakuna maadili Aachen I wacheze uchi hiyo ndiyo raga ya bar

      Delete
  4. mamito upo
    ston age au ice age? Kwahy cc wanaume ndo tnawavalxha vmin na kuwa bambia kw lzima? Je vi2o vy polx hamna? Jarbu kwa na mawaz naunach kiongea.

    ReplyDelete
  5. Hujui kuandika rudi shule.

    ReplyDelete
  6. Kumbe Wema anataka miguu mibaya hv?!

    ReplyDelete
  7. anaacha kuongea vya maana anaongelea wasanii. hana akili

    ReplyDelete
  8. loading......

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad