Katika hali isiyo ya kawaida, sababu tulishazoea kuona Diamond na Wema Sepetu wakiwa wana-make headlines kwenye mitandao ya huku Tzee, hii ya sasa hivi mpya, sahz ni hadi huko nchini Nigeria wakizidi kuzungumzia muonekano wa couple hao, hasa walivyotokea ndani ya tuzo za Mtv zilizofanyika siku chache tu zilizopita.
“BONUS!Best Dressed Pair: Diamond Platnumz & Wema Sepetu
Wema looks glamorous in that black dress and Diamond looks fab in his beige suite.They look fab in each other’s arm”-By Jaguda.com
Kupitia mtandao wa habari huko nchini Nigeria wa Jaguda(www.jaguda.com),, Diamond Platnumz na mpenzi wake Wema Sepetu, wametokea kupamba kwenye headlines ya mtandao huo kwenye sehemu ya fashio, ikizungumzia jinsi wawili hao walivyopendeza, siku hiyo ya tuzo za Mtv, haikuwa wao tu, habari hii ilikuwa inazungumzia zaidi utafiti liofanya na wadao huko nchini Nigeria kutaka kujua nani alitokelezea zaidi na nani aliboronga kwenye upande wa fashion siku hiyo, huku matokeo yakielezea jinsi wawili hao wakiwa wanakimbiza kwa jinsi walivyokuwa wamependeza zaidi katika event hiyo, na kuandikwa kuwa ndio Best Dressed Pair.”
Penda sana hii couple tunasubiri ndoa yenu muwafunge midomo
ReplyDeletekwl mmpndza penda thana nyie af mbak njia kuu michpuko co dili epuka ukmw
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeleteDiamond hilo pozi abadilishe!!
ReplyDeleteHajui zaidi ya hilo ndio shida ya kukopy na kupest
Deleteyani hilo pozi hata mangi wa dukan anamshinda
Deleteits true they look poa, but mbona diamond kasimama kama ana mguu mmoja mfupi? Wema na wewe make up walokupakaa haikukupendeza mbona kama sura imevimba, in case of pair mko fresh.
ReplyDeletewema nguo akiwa kwenye nguo ndefu anapendeza jamani,hata kwenye kili award yeye ndio alikuwa kapendeza,kweli kabisa.
ReplyDeleteI LOVE U GUYS TO DEATH LKN JAMAN MBONA WEMA MY NO ONE FUN ULIKUA HUNA FRAHA NIMEJARIBU KUPITIA PIC ZOTE ZA MTV LKN NAONA ZOTE HUNA FRAHA NINI MAMA NAI ACHAPA WEWE CHIBUU AUZI WEWE MAMAAA HAYA POOLEEE ...BUT U WAS SOO MWAAAAAAAAAAAAAAAAAAH IN DRESS...BOTH U AND DANGOTE SHEMEJIIII LAO
ReplyDeleteAlikua sawa tu mdau tatizo makeup ilimfanya akaonekana amepooza sa! Hata yy mwenyewe istagram amekiri makeup haikua vzr..
DeleteKuonekana kwenye kablog tayari kweka headlinw mnawapa vichwa wanajionq wqkubwa wakifika mbele wanaonekana mbulula tu!
ReplyDeleteAcha wivu we mbweha, ulitaka wawekwe kwenye bango la airport, roho mbaya Tu nyooooo fukara WA maendeleo
DeleteWema dimond wametokelezea mbaya.kukosa tuzo sio issue.issue mziki wa bongo kibongongo nahis music language keep it up dimond.
ReplyDeleteDiamond anapendeza akuvalia kiheshimiwa kama ivo lakuni uyo bibi kize anamfuja wakiwa pamoja diamond anainesha kama mjuuku wa wema .ok nice dress wema ameva lakini hajapendeza na diamond sasa ivi diamond atafute kichinchiri kimenyooka bado kinakoga maji ya nashuka .wema kamshikiliya mkono diamond mwanzo mpaka mwisho hajaonekana diamond kamshika wema hata pahala pamoja kwahiyo yote hayo ni mapenzi fake.
ReplyDeleteInakuhusu nn WW, mind your fucking buzness.inaonyesha wema anawanyima ucngz
DeleteIt is not a fucking business that is the truth you people don't want to agree .but diamond not match with wema she looks like diamond grand ma ok not grand ma like diamond big aunty it's ok.you people what you like from wema fake body fake colour fake voice fake hair everything is fake from her that you can not say she is beautiy the masayi girls are beautifully because there natural not fake go to sleep dear
Deletepozi la kunama diomond utafikiri unaumwa kiuno uache, simama tu kawaida bana he
ReplyDeletewema pendeza sana ,unanyota kali sana adi Naigeria wanasema best couple ever
ReplyDeleteyani diamond amekuwa marufu south africa. sijapata ona
ReplyDeletemambwa ya kitanzania wivu tu eti wema ni fake wewe ndo ulimzaa kumalamaako kubwa kama mdomo wako wewe ulishaweka picha yako yyt sehem yyt ikawa suppoted??????????????au ndo dem wako tu hua anakusupport achen wivu wa maendeleo wema na diamond eti they dont match mxuuuuuuuuuuuuuu we fisi kweli la polini..unataka wema amatch na baba ako ss amwache mama ako au?????????????ndo hivyo tena ni best dresser and best couple ktk mtv concert hutaki nenda ukafe huko na usiwe unafuata comment hapa..mana watanzania wengi hawana mana..diamond kwa sana wemachibuuu...
ReplyDeleteWema matusi yanini so lazima watu wote wakupende miguu membamba #freedomofspeech
Deletechukua tano mdau, hahaha eti hawamechi muweke mama ako basi amech nae, wivu tu
ReplyDeletewema matusi ya nini?huwezi pendwa na watu wote na hiyo kujipunguza akili ndio inaboa watu,acha uswahili bhana,
ReplyDeletemna uhakika kuwa wema au mmeishiwa point
ReplyDeletePelekeni basi mama zenu waka cover nafasi ya wema kwa dai maana mnavyo shupalia maisha yake ovyoo
ReplyDeleteApendeze asipendeze we haikuhusu picha domo lako kimya na sio kutua zigo lako la wivu kwa mtoto wa watu. yeye atabaki kuwa wema na wewe utabaki fukara mawazo
ReplyDeleteWEMA WEMA WEMA unaumiza watu akili, maana wako attention na chochote juu yako uzuri wanaongea nyuma yako sababu hawana hadhi ya kukuface thus why wanamaliza hasira zao humu hahahahahahahahahahhahahahhahahhahaha
ReplyDeleteweka yako minene basi.
ReplyDeletejelous sio mzuka jamani, kizur lazima kisifiwe. ni kweli wamependeza, kama hutaki kasage chupa unywe!!!!!! kama hawajapendeza tutasema lakini hapa frankly speaking, wamependeza na ndo walofunika kwenye tuzo za MTV
ReplyDeleteWEMA HAWEZI KUJIBU HAPA TUNAOJIBU NI WADAU NA WASHABIKI WAKE WA DAMU KM UNADHAN WEMA ANA MDA POLE ....KAMA KAWA WEMACHIBUUU FOREVER..WEWE HUNA HATA MASHABIKKI UMEKAZANIA ETI WEMA HAMATCH NA DAI MWEKE MAMA AKO SS AMWACHE BABA AKO ILI AKAMATCH NA DAI KWENDA KAFIE KWENU HUKO KIJIJINI
ReplyDelete