Wenje: Uchumi wa Tanzania Unakua Kwenye Makaratasi na Mifuko ya Watawala

"Amesema ni muhimu mjadala huo wa kitaifa kwakua hali mbaya sana kiuchumi,misamaha ya kodi imekua mikubwa,wakubwahawalipi kodi wakati wauza vitumbua wanalipa kodi,uchumi unakua kwenye mifuko ya watawala.Hivyo tuwe na mjadala wa kitaifa wa uchumi tujadiliane na tupate muafaka wa uchumi wetu kwa pamoja"

Hivi huwa wabunge wanakatwa kodi kwenye mishahara yao? Wenje, tuanzie hapo kwanza.
Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wenje ni kweli kabsa point uliyosema fuck all the leaders in TZ

    ReplyDelete
  2. Kama mh.William Lukuvi aliweza kulinunua jumba kwa milion 700cash,akalibomoa kana kwamba anafyeka kichaka,akaotesha hapo jumba la kifahari la bilion na ushee,ni kwa nini hawa wakubwa wasidai uchumi unakua?

    ReplyDelete
  3. Namuomba Mungu ,rais ajaye.wa Tanzania awe.ni kutoka kabila la wasomali.

    ReplyDelete
  4. CMM kwa wantanzania ni sawa na mjomba aliyekulipia karo na kabla hujamaliza shule akaanza kukulawiti.

    ReplyDelete
  5. Ni kweli kabisa mdau yaani watawala wa nchi hii ni majanga!

    ReplyDelete
  6. Ni kweli kabisa mdau yaani watawala wa nchi hii ni majanga!

    ReplyDelete
  7. Viongoz wa ccm ndo wanatuumiza sana, pumbafuu zenu

    ReplyDelete
  8. hehehehe! 13% hadi 12% PAYE.mbona jua niletu hili mwaka huu!

    ReplyDelete
  9. Nchi zote za afrika zinafanana viongozi,wake hakuna utaifa,hakuna,hakuna,kila mtu ni mlafi,haridhiki,wana taka hela tu,kwa kuwadanganya wananchi wao,na kujidanganya wenyewe.
    Afrika tunashidwa kusimamia raslimali za nchi,,tunategemea hela kwa wahisani mpaka bungeni,ni sawa na kuoa mke anaye tuzwa na jirani,kweli ni aibu,.
    Tanzania hapatakuwa na mabadiliko kama wananchi hawataki mabadiliko,naimani ukoloni uliharibu akili Za waafrika hawajiamini,tunaingia mikataba kama ile ya kubadilishana nguo kwa kugawa mashamba,viongozi wa afrika tuamke,mali ghafi tumefanya bibi,hatasijui,ila watu wajitume hakuna mchina,au mzungu atakaye tusaidia kama wengi wanavyofikiria,tuna mali ya kutosha tuyasimamie vizuri,tutakufa bila kuwa na uhuru na heshima ya taifa?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad