William Malecela " Issue ya Flora Mbasha na Mumewe ni Another Time Bom in The Waiting Kama Nguza na Wanawe'

ANOTHER TIME BOM IN THE WAITING HII CINEMA ILIANZA KAMA MCHEZO MCHEZO LAKINI KAMA UNAISOMA KWA MAKINI SASA IT IS SLOWLY TURNING UGLY TENA POLE POLE NA HUKU WANANCHI TUKIANGALIA KWA MACHO YETU, NA TUKISIKIA KWA MASIKIO YETU HATUJUI UKWELI WA NDANI WA TATIZO LA FLORA NA MUMEWE LAKINI KUNA NENO MOJA KATIKA ISHU YAO YA FLORA MBASHA KUWA KIMADA WA MCHUNGAJI GWAJIMA HUKU AKIWA BADO MKE HALALI WA MBASHA HALINA UBISHI JUU YA UKWELI WAKE, USHAHIDI MWINGI WA MTAANI TAYARI UMESHATOLEWA NA GWAJIMA MWENYEWE AMESHINDWA MPAKA LEO KUKANUSHA, KAMA KINACHOSEMWA NI KWELI NA UKWELI NI KWAMBA MBASHA ANAKARIBIA KWENDA KUOZA JELA KAMA NGUZA NA WANAWE KWA SABABU AMBAZO NI TATA!!

- SASA HAYA YOTE YANATOKEA MBELE YA MACHO YETU NA MASIKIO YETU HII JAMII,  SIJASIKIA MWANAUME YOYOTE MWENYE NGUVU KATIKA JAMII YETU AKIJITOKEZA KUSEMA LOLOTE ON THIS ISHU NA SISI WANAUME WENGINE WOTE TUMENYAMZA KIMYAA ILA AKIFUNGWA MAISHA JELA SASA UTAONA MAKELELE WAKATI KUMBE KAMA NI MAKELELE YA DHULUMA YANATAKIWA KUPIGWA SASA, USHAHIDI MWINGI WA MTAANI UNAONYESHA KAMBA FLORA MBASHA NDIYE MCHAWI HAPA KWA SABABU PIA ALIWAHI KUMSINGIZIA MCHUMBA WAKE WA KWANZA KUWA ANA UKIMWI, NA THE FACT KWAMBA MDOGO WAKE ANAYEDAIWA KUBAKWA HAPA TAYARI AMEWAHI KUTENGENEZA VIDEO YA NGONO NA MRISHO NGASSA WA YANGA NA IPO MITANDAONI NI DALILI TOSHA KWAMBA HII KESI INA UTATANISHI SANA, SIO SIRI FLORA ANA NGUVU YA PESA KULIKO MUMEWE NA HASA UKIZINGATIA KWAMBA ANA GWAJIMA WITH HER NA NGUVU YA PESA NIMEIONA JUZI MBASHA ALIPOPELEKWA RUMANDE, NOW PEOPLE THIS IS ANOTHER TIME BOMB IN THE WAITING KAMA KWELI SISI NI WAPENDA HAKI BASI WAKATI NI HUU KUMSAIDIA MBASHA, INGAWA BINAFSI NAOMBA KUSEMA UKWELI WANGU I DON'T LIKE BOTH OF THEM THE MAZAFANTAZAZZ I MEAN FLORA NA MUMEWE KWA SABABU NAWAONA NI WASANII WA AJABU SANA WALIOISHI KISANII KWA MUDA MREFU SANA KWA KUWADANGANYA MASIKINI NA KUCHUKUA HELA ZAO ZA SADAKA MPAKA MUNGU ALIPOAMUA KUWAFICHUA USANII WAO HIVI KARIBUNI NA THIS KESI HATA MBASHA SIAMINI KWAMBA HE IS A REAL MAN KWA SABABU ANGEKUWA HE SHOULD HAVE FIND A SOLUTION LOONG TIME AGO KWA SABABU INAELEKEA WALIKUWA NA MATATIZO KWA MUDA MREFU SANA LAKINI MBASHA HANA PESA SO ALIKUWA AKITEGEMEA PESA ZA FLORA NDIO MAANA WAMEDUMU MUDA MREFU AND YES I SAY THIS KWA SABABU HAKUNA A REAL MAN DUNIANI ANAYEWEZA KUMUONA MKE WAKE WA NDOA ANAISHI NA GWAJIMA LAKINI BADO AKAMVUMILIA THE MAZAFANTAZZ I SAY NO WAY!! NDIO MAANA NAWAITA WOTE WAWILI WASANII WA AJABU INFACT INGEKUWA UWEZO WANGU NINGEWAWEKA JELA KWA HATA MWEZI MMOJA TU KWA KUDANGANYA UMMA KWAMBA NI WATU WA MUNGU SANA THE MAZAFANTAZZ THEY ARE NOT HAWA WOTE WAWILI THEY BELONG IN JAIL!!, LAKINI FOR THE SAKE OF THIS SUBJECT NASEMA HIVI HII KESI HAIKO SAWA AS OF USHAHIDI WOTE WA MTAANI ULIOTOLEWA SO FAR!! NI UAMUZI WETU WANANCHI KUMSAIDIA MBASHA AU KUNYAMAZA MPAKA AFUNGWE MAISHA NDIO TUANZE KULIA LIA DHULUMA!!, JAMANI ASUBUHI NJEMA SANA!! - LE MUTUZ SYSTEM

Post a Comment

22 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Upo ukweli katika maneno yako Ila ni nani aanze kusema/kutetea? INAUMA SANA.

    ReplyDelete
  2. Uwa si mpendi alafu simuelewi huyu kaka lakini leo nimemkubali kwa kuweka hili wazi, na kama jamii itakubali yule bwana awekwe ndani wote tukijua hatakiwi basi itabidi tuanze kuhoji sheria za nchi hii mara mbili, au kuweka mashaka na system yetu ya justice

    ReplyDelete
  3. Kukaa kote marekani huyu bonge nyanya hakujifunza kingereza

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwenda zako mbwa wewe we unajua kiingereza?LEMUTUZ nimekupenda bureeeeeeeeee,na hoja yako,una akili sana,our future prime minister

      Delete
    2. Unaliwa wewe.

      Delete
  4. huo ndio ukweli wananchi inabidi tutetee haki zetu amasivyo wenye pesa wanatumaliza kwani ni kweli wakiona mwanamme umepata mke mwema watatumia pesa namwisho wasiku kama mlisha zaa watoto watateseka kama wa nguza wanavyoteseka kwani mwenye pesa hanahuruma hata akiona amesababisha mateso ya watoto wako hatajali basi hii ipigiwe kelele jamani kwani huyo binti hajabagwa kwani nigwiji wa huo mchezo tunaiomba hata serikali iingilie kati watu wengi wako jela lakini wengine hawana makosa bali walisingiziwa tu

    ReplyDelete
  5. William umenena ni kweli kabisa km ni kucmama kulitetea hili tuanze sasa mbasha arudi kwenye udreva tax wake aanze maisha mapya ya bila pesa na bila frola wanawake wachache wanaokuwa na pesa zaid ya wanaume zao wanaweza wakawa na nidhamu ya ndoa

    ReplyDelete
  6. Anonymous.11.08 hujaona kizuri alichopost huyo bonge nyanya ila kukosoa kingereza tu?

    ReplyDelete
  7. anonymous, 11:08 hana uwezo wa kuchambua hoya ja bonge ndo maana kaamua kuruka kwenye kingereza kma kakosea hukupaswa kucomment ila kusisistiza wkenye mada aliyo rusha.

    ReplyDelete
  8. foolish kabisa ww bonge,kama kweli unataka kumsaidia mbasha c umtafutie wakili c kutuleta propaganda,ww ulikua wa kwanza kumkanda kapuya kubaka eti leo unamtetea mbasha acheni sheria ifuate mkondo wake

    ReplyDelete
  9. if its true plz watanzania tuliangalie hili kwa jicho la mbali, lisemwalo lipo na kama alipo laja... tumsaidie mbasha hata km ukweli anao mwenyewe ila asiogope mahakama aeleze anachofaham in & out. inasikitisha sana hasa ukizingatia eti kuwa watu wa karibu na mungu... mhh...

    ReplyDelete
  10. Eee mwenyezi mungu msaidie mja wako.

    ReplyDelete
  11. Inaongelewa. Kwamba pesa hazimhusu emanueli mbasha wakati waletafuta pamoja na mkewe hizi sheria zimekaaje pesa ukiingiza mwanaume wakati upo na mkeo ni zenu wote wanaume tumeshakua wajinga

    ReplyDelete
  12. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  13. We malecela bwege tu....huyo emma mbasha hatoki....mpaka sauti yake imerekodiwa akiomba msamaha kwa huyo shemeji yake....kuhusu mgono na ngassa hiyo ilikuwa kwa ridhaa yake hakulazimishwa ndo maana ngassa anakamua mpaka leo.....kuwa malaya sio kigezo cha kubakwa na,kila anaetaka....

    ReplyDelete
  14. Bonge, be more reflective and look at both sides. You are expressing the pain of Emmanuel, how about the pain of the lady raped? If there is innocence on either side, let justice takes its course.

    ReplyDelete
  15. HIVI NYIE MNAOTETEA MLIKUWEPO MPAKA MSEMEANASINGIZIWA?KWA KUWA ALIENDA KWA DOKTA NA KESI IKO MAHAKAMANI MAJIBU YATAPATIKANA SIYO KUSEMEA TU WENGINE KWA KUSIKIA UKABEBA UHUSIKA.
    MTENDEWA ANA MAJIBU YOOTE.
    MSISHABIKIE UZINZI WA MCHUNGAJIA NA MKE WA MTU KAMA HAMNA USHAHIDI KUWA MULIWAONA WAKII DO USIONE JEPESI KWA.MWENZEKO KWA KUWA NI YEYE NA UKAHUKUMU. NAHISI WACHANGAAJI WENGI HUMU ITAKUWA WANAJITAMBUA NA IMAN ZAO HATA KAMA WANABEEP WENGINE, HAKUNA USHAHIDI TULIA

    ReplyDelete
  16. Watanzania acheni ushabiki!mnajifanya siasa mnajua na sheria mnajua.Sasa mtu kama ww unayewaambia wananchi wasinyamaze kimya itakuwa kama kesi ya babu seya.Sasa unataka wananchi wafanyaje ?uliisoma kesi ya babu seya au ulienda mahakamani?uliwasikia wenyewe waliongea nn sku ya magereza embu search ni juzi tu.Ww unadhani mahakamani inachukua ushahidi wa mtaani ?muombe mbasha akuweke shahiidi wake basi,dont speak if you dont have evidence.Mpaka abakwe mwanao ndio unajua sheria inakuwaje!tuache majungu na ushabiki usio na maana,let justice be done

    ReplyDelete
  17. Watanzania acheni ushabiki!mnajifanya siasa mnajua na sheria mnajua.Sasa mtu kama ww unayewaambia wananchi wasinyamaze kimya itakuwa kama kesi ya babu seya.Sasa unataka wananchi wafanyaje ?uliisoma kesi ya babu seya au ulienda mahakamani?uliwasikia wenyewe waliongea nn sku ya magereza embu search ni juzi tu.Ww unadhani mahakamani inachukua ushahidi wa mtaani ?muombe mbasha akuweke shahiidi wake basi,dont speak if you dont have evidence.Mpaka abakwe mwanao ndio unajua sheria inakuwaje!tuache majungu na ushabiki usio na maana,let justice be done

    ReplyDelete
  18. William kasome japo cheti cha sheria kita kushape kdogo utakuwa critical analytical thinker na gentleman. Kwann unakuwa bias kusikiliza upande mmoja?unatoa maamuzi ya upande mmoja?habari za kapuya unajua wewe,habari za wema,za babu seya kwanza kesi ikiwa mahakamani aitakiwi kujadili hi i ni kwako na wengine wote wenye mambo kama yako.Kama una ushahidi katolee mahakamani

    ReplyDelete
  19. Kiukweli mi namuona huyu lepensiz ni mburula tuu..............if u could be wise unsingekua bias, ukweli wanaujua florah na mumewe asa ww unataka kudandia tren kwa mbele let justices take place km kaonewa atachiliwa na km kabaka atahukumiwa......whaterv u do in thos world ur reward is waiting for u.....siku zote kwenye ukweli uongo hujitenga then time will tell ......

    ReplyDelete
  20. Kwan mbasha na flora ni nani kwenye hii nchi kiwango cha kuandika magazetin na kwenye mtandao mpaka kero,hii nchi INA issue muhimu za kuzifuatilia cyo ngono,kwn mshiko wa mbasha na flora nani anawawekea mpaka mjue huyu hana hela na huyu hana.ima na flora malizen mambo yenu achen kutumia mitandao kuchafuana huo ni ujinga,mlipotongoza na kukubaliana hamkutushirikisha malizen mambo yenu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad