Zanzibar Kimenuka Tena , Bomu Lalipuka Karibu na Msikiti na Kuua


Mtu 1 amefariki na wengine kujeruhiwa baada ya kitu kinachosadikiwa kuwa bomu, kurushwa karibu na msikiti, darajani Zanzibar. 

Kuna taarifa ya kutokea mlipuko na mlio mkubwa mithili ya bomu umetokea maeneo ya Darajani karibu na msikiti na kujeruhi Wahadhiri waliokuwepo katika msikiti wa Darajani mara baada ya kumalizika Sala ya Isha.

Mlipuko huo unasemekana umetokea baada gari ambalo lililopita mbio na kurusha kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu kwenye gari ambalo wangelitumia wahadhiri waliokuwa katika Muhaadhara ndani ya Msikiti

Kuna taarifa kwamba mtu mmoja mpaka sasa amepoteza maisha.
Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hatari jaman sisi tunaoogopa vita tunaogopa hata kutembea huko mjini

    ReplyDelete
  2. mipango ya lobing hiyo imeanza ili jamaa (amerika)waje kama vile huko nigeria

    ReplyDelete
  3. Sas km kweli 2naogopa bx 2pingen kuja kuvunjika kwa serikali ya kitaifa.maana ikivunjika aman itatoweka.me ni ccm damu lakn cko tayar umoja wa kitaifa uvunjike maana saiv raia 2naish vzr 2xwafate wanasiasa

    ReplyDelete
  4. Khawaarij kilabu nnaaar!!!, Kaatalahumullahu annaa yu U fakuuun!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad