Matokeo ya Usaili wa nafasi za Konstebo wa Uhamiaji yaliyotolewa katika magazeti ya tarehe 23 Julai, 2014 yameonesha kuwa katika Idara hiyo watanzania wengine mbali ya watoto au ndugu wa wafanyakazi wa Idara hiyo hawawezi kupata ajiya ndani ya Idara hiyo ya Serikali. Majina ya wengi walioitwa kazini ni watoto au ndugu wa wafanyakazi wa idara hiyo.
Abdulhaq Amin Mandemla – Mtoto wa afisa Uhamiaji Amin Mandemla
Alphonce Kishe – Mtoto wa Afisa Uhamiaji Aleluya Kishe
Asha Burhani Idd – Ndugu ya Afisa Uhamiaji Tatu Burhani Idd
Beatrice Temba – Ndugu wa Afisa Uhamiaji Joseph Kasike
Geofrey Justine Mhagama – Ndugu ya Afisa Uhamiaji Rose Mhagama
Iginga Daniel Mgendi – Mtoto wa Afisa Uhamiaji Daniel Mgendi
Issack Michael Makwinya – mtoto wa aliyekuwa Afisa Uhamiaji Makwinya
John Alfred Mungulu – mtoto wa Afisa Uhamiaji Alfred Mungulu
Joseph A. Milambo - mtoto wa Karani wa Uhamiaji Milambo
Michael J. Choma – mtoto wa Afisa Uhamiaji John Choma
Shimba H Zakayo – mtoto wa Afisa Uhamiaji Zakayo Mchele
Upendo E. Mgonja - mtoto wa Afisa Uhamiaji Mgonja
Vaileth A. Kidesu – mtoto wa Afisa Uhamiaji Adam Kidesu
Elizabeth Edward – Ndugu wa Afisa Uhamiaji Edward Martin
Ester Mahirane – Ndugu wa Afisa Uhamiaji Mahirane
Basil Lucian John – Ndugu wa Afisa Uhamiaji Dismas Lucian
Frank E Kajura- Ndugu wa Afisa Uhamiaji Kajura
Jacob P. Ulungi – Ndugu wa Afisa Uhamiaji Magnus Ulungi
Janeth John Milinga – Ndugu wa aliyekuwa Afisa Uhamiaji Milinga
Janeth R Lukuwi – Ndugu wa Afisa Uhamiaji Eliza Lukuwi
Joseph N. Yondani – Mtoto wa Afisa Uhamiaji Mary Yondani
Leila khatib Irovya - Mtoto wa Afisa Uhamiaji Abbas Irovya
Lucian F. Mlula – ndugu wa Afisa Uhamiaji Dismas Mlula
Neema Kasian Lukosi- Ndugu wa Afisa Uhamiaji Zubeda Abbas
Pendo D. Gambadu – ndugu wa Afisa Uhamiaji Gambadu
Paschalia E. Mwenda – ndugu wa Martin Edward mwenda
Theresia Ernest Kalunde – Mtoto wa Ernest Kalunde
Veronica G Vitalis – Mtoto wa aliyekuwa Afisa Uhamiaji Vitalis Mlay
Victor G. Mlay- Mtoto wa aliyekuwa Afisa Uhamiaji Vitalis Mlay
Catherine J. Mapunda- mtoto wa Afisa Lucy Mapunda
Hii ni sampuli tu yaani nimeorodhesha moja ya tatu tu kwani zaidi ya asilimia tisini ni watoto na ndugu wa Maafisa Uhamiaji.
Nadhani ingekuwa vyema wasingekuwa wanatangaza nafasi hizi bali wawe wanagawiana ndani kwa ndani.
Alamsiki.
tushazoea kaka c watoto wamasikini hatuna chetu dawa ni kujiajiri ukitaka kuajiriwa utasubiri sana
ReplyDeleteN dio ilivyo hasa idara nyeti, bungeni, jeshini, usalama hadi uwaziri ni mwendo wa kurithisishana (usultani.com)
ReplyDeleteonly ze have
ReplyDelete