WANAMGAMBO wa Al Shabaab wamedai kuwa wamemuua kwa kumfyatulia risasi mbunge maarufu mjini Mogadishu. Taarifa zinasema, Ahmed Mohamud Hayd (Mb) aliuawa baada ya kutoka hotelini ambapo katika tukio hilo, mlinzi wake pia aliuawa huku Katibu wa Bunge akibaki amejeruhiwa.
Kundi la Al-Shabaab, ambalo lina uhusiano na lile la al-Qaeda, limeapa kuendelea na mashambulizi zaidi katika kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa Ramadhani. Wanamgambo hao walipoteza ngome yao mjini Mogadishu na kuchukuliwa na Vikosi vya Umoja wa Afrika mwaka 2011, lakini wameendelea na mashambulizi ya mabomu na mauaji mjini humo.
Msemaji wa kundi hilo, Abdulaziz Abu Musab alisema kuwa kundi lake limemuua kama ilivyopangwa na kuwa wataendelea kuwafuatilia wabunge wengine ikiwa hawataachana na Bunge nchini humo. Al-Shabaab imekua ikipigania kuunda taifa la kiislamu nchini Somalia.
Dini gani inaruhusu kuua jamani, tena wanata haki kama waislam na wanasadiki kuua wenzao kwenye mfungo wa ramadhani!! Hata siwaelewi hawa watu, mimi nahisi hawana dini bali tu niwachochezi na kuwatia doa waislam wenzao
ReplyDeletehawa wanajua dini yao ni ya kishetani ndio maana wanataka wote mwende kwa shetani wee fuatilia huyo allah wanayemuabudu ni nani pia tafuta historia ya mtume mohamad
DeleteKweli kbs mdau hapo juu ukisoma quran vizur hamna sehemu iliyoandikwa uue au uhukumu ila wanachafua tu dini na ni washenzi na wapumbavu ndiyo maana wanafanya unyama wao kwa kusingizia dini wasiuchafue uislam kbs mbwa hao.
ReplyDeletesio hao tuu hata waislamu wa huku zanzibar wanaroho mbaya kama ya paka muulize mtu yeyote anayeisi Zanzibar atakuambia. hakuna kujenga makanisa huku ndugu yangu ukijenga yanapigwa moto. Ila neema ya Mungu tuu tuliyokuwa nayo sis wakristu ndio maana unatuona kama hakuna kitu
Deleteyaan kila machafuko ktk africa utackia kundi la waislam.....wana nn hawa wa2? m2 km hataki dn yko c umuache!!! watz tunaiga na kufuata imani tucyoijua chanzo na lengo lake!!!! mungu atunusuru na kutusamehe......
ReplyDeleteAmina yeye yule jana na leo na hata milele
Delete