Kama umemiss kuhusu kazi za Ali Kiba basi hii post inakuhusu. Ali Kiba baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu ahatimaye ametangaza kutoa wimbo mpya tarehe 25/7 ambapo zimebaki siku 3 kuanzia leo tarehe 22/7. Je Unahisi Itakuwa Kali Kushinda zile alizotoa Diamond Siku kadhaa?
mwandishi acha unafki bwana. 2ambie neno moja kwamba ally k anatoa nyimbo mpya" lakin mambo ya ku2ambia itakuwa bora kuliko ya diamond haihusiani kabisa. acheni uchonganishi! sisi mashabiki ndio 2tajua kama wimbo ni mdhuri ukishatoka. lakin mambo ya diamond hayahusiani.
ReplyDeleteDiamond ndo nani ali kiba atumii nguvu za giza bwana anatumia kipaji chake ushasikia alikiba ana mtia mama yake kila wiki??? Alikiba yupo juuu apana chezeya
ReplyDeleteAsante kiba
ReplyDeleteKiukweli nampenda Sana ally kiba na kazi zake Ni nzuri Sana, tulimmic sana. Ni ngumu kuringanisha kazi za kiba na mtu mwingine!
ReplyDeleteAli kiba yupo juu Sana,
ReplyDeleteUkojuukaka, achana na maneno ya watu.
ReplyDeletewewe huyo daimond na mama yake unamshikiaga mguu mbona wabongo wapana hivi inamaana mtu hawezi kufanikiwa mpk uchawi wacheni hizo kila mtu na wakati wake bana
ReplyDelete