Ali Kiba, Diamond Wafika Pabaya..Chanzo cha Ugomvi Wao Hiki Hapa

Na Sifael Paul
Hatimaye! Kwa mara ya kwanza staa ‘the big name’ wa Bongo Fleva ndani na nje ya Bongo, Ali Saleh Kiba ameibuka na kumlipua hasimu wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, hali inayotafsiriwa kwamba bifu lao sasa limefika pabaya ikidaiwa kwamba wanagombea nyota (ustaa).

Kupitia Kipindi cha The Sporah Show, usiku wa Jumanne wiki hii kwenye CloudsTV, Kiba alimchakaza Diamond ambapo alifunguka mengi ikiwemo chanzo cha ugomvi wao.
Kiba alizungumzia sosi iliyotengeneza bifu kati yake na Diamond ambapo aliulizwa kama ana namba ya simu ya msanii huyo ndipo akatiririka:

“Nilikuwa nayo kipindi fulani, nilipohisi amenikosea nikaona sina ulazima wa kuwa nayo.
“Kuna kipindi alinikosea kwa sababu nilisikia amesema kwamba tulirekodi wote ule Wimbo wa Single Boy, jambo ambalo halikuwa kweli. Halafu akasema mimi ndiyo nilimfuta.

“Diamond alinikosea kwa sababu kutokana na mimi ndiye nilifanya wimbo wake wa Lala Salama ambao upo kwenye album yake, akanifuta nikahisi amenikosea sana nilichoimba mimi akawa ameimba yeye, alichoniomba nifanye nilifanya kwa mapenzi yote na mimi namsapoti kila msanii wa Tanzania anayefanya vizuri, sikatai anaimba vizuri, sijui ukisema amekopi, mimi sijamaindi wala nini lakini usiseme kwa watu ukadanganya nikaonekana mimi sifai, siko hivyo mimi.

“Watu wengine ambao hawaelewi vizuri wanaweza wakamwamini Diamond, kila mtu ana mapenzi yake labda kuna wengine wanampenda Diamond wengine wanampenda Ali Kiba. Wanaweza wakawa wengine wanampenda Diamond wakaamini mimi nilimfuta kwenye wimbo wangu wa Single Boy lakini mimi wala, shahidi yangu ni produyuza Manecky (AM Records) kwani ndiye alitengeneza ule wimbo.

“Sikuwahi kwenda studio na Diamond, sikuwahi kufikiria kufanya wimbo naye. Ila alinipigia simu baada ya ule wimbo wa Single Boy kuvuja. Akaomba afanye na mimi, akanipa hadi idea (wazo) ya video, nikamwambia nimeshafanya na Jaydee (Judith Wambura).

Nikamwambia itapendeza zaidi tukifanya wimbo mwingine kwa sababu hii tukifanya mimi na wewe haita-make sense (haitaeleweka), inapendeza ikiwa single boy na single girl, hicho ndicho kitu nilimjibu.
“Baada ya kama wiki moja nikasikia kwenye mablog, nikapigiwa simu kwamba mimi nimemfuta Diamond kwenye ule wimbo wakati yeye ndiye aliyenifuta katika wimbo wake, shahidi prodyuza wangu KGT.

“Kutoka hapo nikaona hakuna tatizo lakini kwa kujua yeye alinifuta katika wimbo wake. Mimi siyo shabiki wa Diamond ni shabiki wa muziki mzuri. “Kuna watu wanasema kachukua kiti changu? Labda kama ni kiti ambacho nilikuwa nimekaa kina vumbi na ninachotakiwa ni kukipangusa tu na kukaa tena, labda yeye yuko siti nyingine ila ya nyuma.

“Niliambiwa alisema vitu vingi, mara nilikopa fedha benki ili nimalizie nyumba na mambo kama hayo so siwezi kufanya naye kazi.” Baada ya Kiba kumchakaza, kupitia ukurasa wake wa Instagram, Diamond naye alijibu mapigo bila kutaja jina la Kiba ambapo aliandika: “Tatizo lako wewe unawaza kushindana na mimi ili nishuke…Wakati mwenzako nawaza kushindana na watu wa mataifa mengine ili nilete sifa na heshima nchini kwetu.”

Hata hivyo, baada ya hayo yote kuliibuka madai kwamba mbali na ishu za muziki, mastaa wa kike wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Wema Isaac Sepetu wanahusishwa kwenye gogoro hilo kisa wivu wa kimapenzi hivyo ishu hiyo bado ni mbichi. Tusubiri mwisho WAKE!
GPL

Post a Comment

42 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Bifu cyo ishu cha muhimu kaeni chini mmalize tofauti zenu ili mziki wa kwetu ufike level za kimataifa

    ReplyDelete
  2. Na nyie magazeti mnakuza sana mambo!

    ReplyDelete
  3. Nonesense,Mimi nachefukaaaaa mkitaja jina la lulu Michael ,Yani simpendiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

    ReplyDelete
  4. Na nyie udaku wacheni kuyakuzaaaaa......watafuteni basi muwapatanishe na sio kuchoche ugomvi usowahusu na usio na faida kwenu....

    ReplyDelete
  5. Me mpaka sasa hata sioni 7bu ya kua na biff hapo!! Tatizo wasanii wengi wa bongo shule ndogo (japo sio wote wenye elimu ndogo wanafanya utumbo kwenye jamii)... em rudini class kwanza mstaarabike!!

    ReplyDelete
  6. Kimasomaso domo badilika. Kimasomaso domo badilika. Utakuja kuyashindwa cheza na Ali Kiba wewe.....Chiriku wa Africa. Domo utakesha sana kumfikia Ali mpaka utaota chawa mbweha weeeee Kimasomaso

    ReplyDelete
  7. Ali Kiba hakikisha unamkomesha huyo Domo na ukimasomaso wake mpaka ashindwe kwa Jina la Yesu. Ali Kiba tunakuaminia fanya vitu vyako. Waonyeshe wafitini ya kuwa kimya kingi kina mshindo mkuuuuuu lools

    ReplyDelete
  8. Kimasomaso mwanangu msimuone maso....weweeeee Ali Kiba. Kwa kweli umetufurahisha sana wapenzi wako. Hongera sana. Kuna deal kubwa tu na nzuri zinakuja. Domo tunajua anakosa usingizi kwa tamaaa zake za fisi. Domooooo humuwezi Ali Kiba.......nenda katambike mbweha weeeeeee

    ReplyDelete
  9. Ali Kibas' new hits are fkin' awesome. So perfect. It's a shame huyo domo anajikweza kweza wakati hana lolote.

    ReplyDelete
  10. Confirmed!! Jay Z and Queen Bey will perform in Dar es Salaam City on October / 11 / 2014!! For more info. go to www.ticketmaster.dar.com

    ReplyDelete
  11. Ally Kiba usimlaumu mtu wewe mwenyewe ulijipa likizo so kama umeamua kurudi we rudi tu ila sio umchafue mwenzio ili upate kick.Diamond atabaki kuwa yeye milele na wewe ni wewe. Kwanza mnaimba vitu tofauti sasa kinachokuuma ni nini?? Siku zote ulikua wapi hadi uongee leo?? We jipange upya bro. Diamond are forever.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nakupa 5 mdau....na Tunzo mbili keshatuletea Tanzania sasa na waseme amebebwa km ktk Tunzo ta Kili......Mdogo mdogo Bumbum!!! wataisoma japo kimya kimya!

      Delete
  12. Ali kiba anatafuta Kiki Kwani amjui?

    ReplyDelete
  13. kiba anaimba nyimbo kali kuliko domo zege..i lo ve kivba more...mtu usiposema kinyongo chako uwezi kuwa happy na kuendelea na shughuli zako nyengine.

    ReplyDelete
  14. Ujumbe kwa Wema, wewe ushaonywa Mara kibaoooooo,diamond Ni muhuni awezi tulia na mwanamke mmoja husikiiii la musa wala mnadi swala,hawa mafumbo uliyotoa kwenye page yako ya instagram Kama yanamuhusu diamond hatutaki kuyasikia kaa nayo moyoni bazazi weeee,

    ReplyDelete
    Replies
    1. Heheeeee Katoa mafumbo tena subiri kikitimia my baby itakuwa my self n I.tuache Li movie liendelee

      Delete
    2. Hajamtolea. Mafumbo baby yake,Ni fumbo limeandikwa kwa lugha ya wenyewe,mi nimeguess Tu kamtolea nani fumbo?

      Delete
  15. Haya mpeni hongera Diamond basi kwa kuchukuwa Tunzo mbili,Mnyonge mnyongeni lkn haki yake mpeni maana hizi sio za Kilimanjaro....or hakustahiki pia amebebwa? Big Up Dimond homa ya jiji...unawakosesha usingizi kwa mwendo wa viparaaaaaaaaa......Bumbum! we salute yu na tutaku suport hadi dakika ya mwisho...

    ReplyDelete
  16. I didnt know ali kibe now i know him because of diamond by the way i was born and raised in uk so dont take offence ali kiba ... diamond is very well known and I love his songs and he represent tz very well so we should give him respect when its due... stop hating people hate is a desease it will kill u lol

    ReplyDelete
    Replies
    1. and they are diying deep inside!

      Delete
  17. BULLSHIT MAYBE YOU STARTED LISTENING TO MUSIC YDAY ALI KIBA IS WELL KNOWN ARTIST DOMO ANA USWAHILI MWINGI HAUFAI WW MWANAMUME MARA Q CHILLA MARA KIBA MARA WAMSEMA WEMA VIBAYA KISHA WAMREGELEA WHO LOOKS STUPID GROW UP BUT I UNDERSTAND MAYBE VILE WAANZA SHIKA SHIKA WABABAIKA KIBA 4REAL WE LOVE YOU

    ReplyDelete
  18. atakae msifu domo amsifu sanaaaaaa but honestly alot of people prefer ali kiba songs here in kenya daily huyo diamond aimba mapenzi mapenzi hamna msg yoyoyte ali kiba is da man lots of love from kenya

    ReplyDelete
  19. ali kiba ana ustaarabu huoni akiongea ongea kama mwanamke lakini huyo domo mpaka kwa nyimbo atangaza domo mzuri kwa utangazaji kipindi kile amwaibisha wema kisha amregelea mzala wa dhabu mwangalie mwenzio kiba ameanza nyimbo lini and his as simple as he is and his loved na wewe wajijaza ma tatto mtoto wakiislamu kisha ati kioo cha jamii huna ladha yoyote diamond

    ReplyDelete
  20. watakao sema waseme but ukweli ni huu diamond hamwingii ali kiba kwa lolote domo ameanza kutamba juzijuzi kiba ni wa kitambo na bado asikika hahaha kimaso maso domoooooooooo upo

    ReplyDelete
  21. NYIE WENYE KUSEMA ATI DOMO KAPATA TUZO NYIE NDIO MULOMPA DOMO HANA TUZO ALOPATA URONGO NA KUTHIBITISHA GOOGLE MUONE NI MAFIKIZOLO ILOOOOOOOOOOOOOOOO KIMASO MASO. WACHENI URONGO MSIJIBEBE NA URONGO DOMO HANA TUZO ALOPATA IWAPI TUIONE UROOOOOOOOOOOOOOOOONGGGGOOOOOOOOOOOOOOOOO

    ReplyDelete
    Replies
    1. dah!! wewe utakuwa umeshakufa na chuki kwa kweli. mtu akifanya vizuri sifa yake apate. Ali na Diamond msibabaishwe na maneno ya watu, tuleteenk burudani tuburudike siye.

      Delete
  22. sio domo alopata tuzo wacheni kushabikia urongo na ujinga fanyeni uchunguzi sio yeye

    ReplyDelete
  23. kweli mdau sio domo ahhh nyie wacheni kutu danganya danganya kama mulivo tudanganya kipindi kile ati jina la domo liko kwa hollywood walk fame kumbe ni nominee loh sio yy

    ReplyDelete
  24. Domo anavo penda sifa ashinde tuzo asitangaze wala asiweke picha ahhhhhhh dats a fuckin lie

    ReplyDelete
  25. Ali kiba ukirudi kuwa famous na mapesa ya kumwaga lulu kanumba utamuona fastaaaaa,anakurudia,mtoto anapenda miteremko Huyu ndo maana wanamfira Jamani

    ReplyDelete
  26. Wema usimuamini lulu kanumba 90%ohooooo!!!!!Maana sass Hivi kacharukaaa na baby wako,Ooh mi Si mpendi mtu Ooh napenda kazi yake,hadithi nyingiiiiii

    ReplyDelete
  27. Domo uache ukimasomaso Kumanyoko zako nenda kwa Wema kichefuchefu akutundike dhambi za mauti. Achana na Ali Kiba humuweziii zingatia maandiko matakatifu hizo Award umezipata wakati Aki Kiba yuko likizo sasa likizo imekwisha mtoto karudi kazini umekwishney.....

    ReplyDelete
  28. Jamani acheni uchonganishi Kati ya Wema Na lulu,kwa taarifa yenu lulu anatoka na mkurugenzi Wa TmT,mumkome lulu,Hana ata wazo la kumsaliti Wema ,yeye Si hamissa mobetoo,Ni lulu Elizabeth Michael

    ReplyDelete
  29. Once upon a tym I loved Kiba but nowadays.....

    ReplyDelete
  30. Watu bwana mnampenda sana lulu amuweziongea mengine hadi lulu?

    ReplyDelete
  31. ALI KIBA IS THE MAN!! namheshimu domo lakini kwangu KIBA yuko juu!

    ReplyDelete
  32. lulu nawe nini kuma kama bakuri bado mkundu upo wazi moto mdogo ashakula vifilo mpakaaa sijui atazaaje may be kwa operation

    ReplyDelete
  33. No akizaa obviously mkundu utakuwa wazi kwahiyo wanachukuaga vitambaa na kuvisunda mkunduni

    ReplyDelete
  34. we alikiba umaarufu ni kama harufu au upepo ukipipta umepita, ulivuma wakati wako ss hv ni zamu ya mwenzako so ww kama unaweza piga kazi na c kujifanya kiti chako hakijakaliwa by the way cc washabiki ndio tunaoamua na co ww. remember, actions speak loudly than words. pumbaaaaaaaaav

    ReplyDelete
    Replies
    1. upo correct kabisa, kila kitu kinakwenda na muda wake hata bibi zetu nao walikuwa wasichana na walibamba lakini ni enzi hizo sio sasa bhana.

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad