Ali Kiba Leo Asubuhi Katoa Nyimbo Mbili Kwa Mpigo...Zidownload Hapa

Baada ya wapenzi wa muziki Tanzania kusubiri kwa muda mrefu sasa wamepata nafasi ya kujiburudisha na ngoma mpya kutoka kwa Alikiba. Tarehe 25 Julai, 2014 Alikiba ameachia single mbili mpya kwa wakati mmoja ziitwazo “Mwana” na “Kimasomaso”. Alikiba anajulikana ndani na nje ya Tanzania kwa hit zake kama Cinderella, Mapenzi yanarun dunia, Single boy, na Dushelele. Cinderela ndiyo wimbo ambao mpaka sasa umeweka rekodi ya kuuza copy nyingi katika Afrika Mashariki mwaka 2008. Mwaka 2012 Alikiba alishinda tuzo ya best Rhumba/ Zouk na wimbo wake wa “Dushelele” katika tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards. Alikiba anajulikana kwa uwezo wake mkubwa wa kuimba na utunzi wa nyimbo pamoja na kuwa mburudishaji mkali sana katika show zake za live na mpaka sasa ametembea nchi nyingi sana duniani kuburudisha wapenzi wa muziki. Sasa unaweza kupata nyimbo mbili mpya za Alikiba katika tovuti ya www.mkito.com

Kimasomaso – https://mkito.com/song/kimasomaso/2194
Mwana – https://mkito.com/song/mwana/2195

Post a Comment

19 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ali kiba bd huwezi fikia levo za diamond kaza sn

    ReplyDelete
  2. Kumbe mnaofirwa na domo mko wengi me nilidhani wema tu hivi we unaujua mziki mtv wanaoujua ndiyo maana hawakumpa huyo bwana wako domo kiba yuko juu ukubali ukatae ukweli ndiyo huo hupo hapo mburura wewe

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kiba juuu kk

      Delete
    2. Embu achana naye huyo!! kwanza inaonekana mziki wenyewe kaanza sikiliza baada ya kuja Dar wiki mbili zilizopita!

      Delete
  3. HIVI WE CHOKO UNAYESEMA ALIKIBA HAWEZI MFIKIA DOMO NI NANI?HUYO DOMO NDO HAWEZI KUMPATA ALLY K NA KWANZA DOMO KATOKA TANDALE JUZIJUZI TU UNATAKA KUMFANANISHA NA ALLY?NYAMAFU WEEEEEEEEEEEEEE

    ReplyDelete
  4. Kiukweli Ali KIba hajaniangusha,, huwezi fananisha mistari, message na sauti katika nyimbo yoyote ya Diamond!!!
    Keep it up Ali Kiba,, Upo vizuri kijana

    ReplyDelete
  5. Ali k ndo habar ya mujini jamaniiiiiiiiiiiiiiii, huyu kaka amebarikiwa sauti, domo atasubiri sana

    ReplyDelete
  6. Kiba ndio maana uwa napenda kazi yko Sana, kazi nzuri Sana hao wanaoponda wamezoea nyimbo za mapenzi ya Lala salama, Ni ya kit to. Nyimbo zako ukisikiliza kama unaakili nzuri utazipenda unajitahidi ujumbe unakuwa na maana Sana, tunajifunza kitu kupitia mziki Wako. C mziki WA domo akuna kitu Ni ujinga mtupu. Gud job kiba na mungu akusimamie katika kazi yko.

    ReplyDelete
  7. Ali k kaz nzur kaka mungu akusaidie ufanye vzur zaid na zaidi

    ReplyDelete
  8. Kama nyimbo ni hizo alizotoa basi level yake bado iko chini sana kwa Diamond...

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nakupa 5 mdauuuu....sijaona bado mabadiliko kwa kweli......KIBONGO BONGO TU BADO diamond ataendelea kuwaburuza...than Ally kiba na Diamond wanaimba mziki tofauty kabisa,kuwa compete ni kitu tofauty kabisaaa....Diamond homa ya jiji....

      Delete
  9. Hujielewi hata unasema nn ww lbrahim. Au we ni kilaza sana.

    ReplyDelete
  10. Mbali na nyimbo zake, ninachompendea huyu kaka ni ule 'UANAUME' wake halisi, maana hasuki nywele, havai hereni, havai cheni, havai kipini puani, hajachora tatoo .....ilimradi ukimwangalia amekaa kiislam kweli. Hongera sana bro........keep it up!!

    ReplyDelete
  11. Mwana imetisha hiyo nyingine mbaya
    huwezi kumlinganisha Alikiba na diamond ni vitu viwili tofauti kwa kuwa kiba ni wa kariakoo na diamond ni kutoka tandale.
    kwenye soko la mziki alikiba bado kwa diamond kwa kiasi kikubwa

    ReplyDelete
  12. jealousy is a terrible disease get well soon diamond fans and doesnt matter wid ur opinions ally kiba keep it up men

    ReplyDelete
  13. i love the song..i will use for my wedding.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wedding gani mjinga wewe. Huna mbele wala nyuma malaya mkubwa wee. Kazi kuuza sura tu. Nenda katombwe huko ukamalize nyege zako mxiuuuuuuuuuuuu

      Delete
  14. wimbo mkali sana, pi kimasomaso kaali

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad