Alichokisema RAY C baada ya TID kumwagia matusi ya Nguoni

Siku za karibuni, Nyota wa muziki nchini Tanzania Ray C pamoja na TID waliingia kwenye headlines kutokana na kauli za kupishana katika mtandao wa Instagram.

TID alionekana kuja juu kutokana na comment iliyotolewa na Ray C instagram kwenye moja ya post zake.

Baada ya kukaa kimya akimuuguza mama yake hatimaye mwanadada Ray C amejibu kile kilichosemwa na TID.

Hii ndio kauli ya Ray C, Namnukuu “Hi everyone!!!Asanteni kwa maombi yenu!mama anaendelea vizuri Mungu ni Mwema.(na kuhusu @tidmnyama -Nimeona post yako,Asante kwa matusi yako ila sikuwa na nia mbaya tofauti na ulivyofikiria anyway Nakuombea kwa Mungu akuepushe na majanga ya dunia!ubarikiwe sana babaa.

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hongera sana Dada yetu Ray C. Kwani hilo ndilo jibu sahihi kwa mtu mjinga na mpumbavu.

    ReplyDelete
  2. Dada nimekupenda bure kwa jibu ulompa umekua kiukweli huyo mjinga umesahau yaliyompata Siku za nyuma ulikua no ujinga wake tulidhani atajirekebisga kumbe anakua kwenda chin I

    ReplyDelete
  3. Dada yangu Ray C,
    Always keep cool like that, upo kwenye mission ambayo si rahisi kwa namna yoyote ile, ILA uvumilivu na busara ndiyo mwenendo. Matokeo ya uvumilivu na busara huja taratibu lakini huwa ni ya kudumu na mafanikio makubwa.
    Ushauri Nasaha ni wito wa aina yake, keep God intact always. He will guide you to achieve great things in this land Tanzania, na nina hakika utawasaidia vijana na Watanzania wengi.
    One thing dada, usitumie media or social networks kutoa ushauri nasaha au kumkaribisha mtu kuonja kitu tofauti katika shida anayoipitia. The secrecy in ushauri nasaha ni privacy kwani kila shida au tatizo la mtu linahitaji urafiki na confidentiality kwa ajili ya ku-kick start the journey to knowing oneself, accepting oneself, recovery and living healthy.
    Dada yangu kila jema,
    Mimi Mshauri Nasaha.

    ReplyDelete
  4. pole dada Ray c kwa vikwazo unavyokutana navyo ila piga moyo konde usichoke dada

    ReplyDelete
  5. safi kabisa kiuno bila mfupa, tunaomba usiache kumtafuta Recho ili umsaidie. Mungu azidi kuwa na wewe

    ReplyDelete
  6. Anonymous 9:1AM nikupongeze kwa ushauri nasaha, big up! kweli wewe unabusara japo sikufaham, ulivyozungumza sina la kuongeza ila ni kweli Ray C mdogo wangu sasa umekuwa mama, Hongera maana jibu ulilotoa ni tosha kuonyesha ustaarab ila next time usimshauri mtu kupitia media au social network mumy kwani sio vyema kibinadam, nadhan nikisema hivi umeelewa maana yake. anyway gudday dada.
    Endelea kupigana, kaza buti.

    ReplyDelete
  7. Ray C,
    Bwana azidi kukubariki. Endelea kumuombea huyo ndugu yetu. Akipata nuru atajua ametenda kosa. Hongera sana. Umepevuka sana

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad