Alichokisema WEMA siku ya birthday ya Mama DIAMOND PLATINUMZ

Mara kadhaa mama Wema Sepetu alikaririwa akisema hamkubali Diamond kuwa katika uhusiano na mwanae. Na kwa upande mwingine habari  zilidai mama Diamond hamkubali Wema bali anamkubali VJ Penny.

Sasa basi  jana ilikuwa  ni birthday ya mama Diamond ambapo Wema ameweka picha katika mtandao mmoja wa kijamii akiwa  amekumbatiana  na  mama  Diamond  kuonyesha  kuwa  hakuna  ugomvi  tena  kati  yao…..

Picha  hizo  ziliambatana  na  ujumbe  huu:

Today is this amazing woman’s birthday…naanzaje kutokumpenda na kumtakia kila lenye kheri mama’ngu kipenzi …Mungu akutangulie mummy….akuweke na azidi kukufungulia milango ya baraka mzaa chema wangu…..love you mama’ke

Quote Of The Day:

We can't help everyone, but everyone can help someone.
Post Sponsored By Kenyangossip.com

Post a Comment

45 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. achana nae huyo mama anatombana na mtoto wake we unajisumbua bule2 mwenzio anakuonea wivu ndio maana alikuwa anakuambia humfai mwanae. mke mwenzio huyo.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Unauhakika umewahi wasika miguu...thibitisha kma kweli kuwa hofu ya mungu kma wewe humthamini mamako unadiriki hata kumlala ni wewe na laana zako..mheshimu mama wa mwenzio mama ni mtu wa muhimu sana...sipendi mtu amdharau mama coz mimi ni mama najua uchungu wa kuzaa na malezi sifurahii mama akitukanwa

      Delete
    2. Muogope Mungu,Muogope Mungu,Muogope Mungu,Muogope Mungu wewe! Una ushahidi na ulichokiandika?wewe unaweza kulala na mzazi wako?uliokotwa wewe?kwa nini umekosa hekima hivi?Yatakukuta ya kukukuta usije ukasema umelogwa,itakuwa ni laana.Umekosea sana.

      Delete
    3. Huyu mtu kumbe ndiye anaandikaga matusi akitumia ANONYMOUS, hili umemtukana vibaya huyu mama, kisheria unajinai ya kujibu, kidini unayo dhambi utachomwa tu, kikabira umetengwa, na kesho utaumbuka wewe utafumaniwa ukijamiana na mama yako au binti yako; hii laana ikizidi na mbwa wa jirani.

      Delete
  2. watanzania tujifunze kuwa heshimu mama ztu...mnatukana had wamama wa wenzenu mna laana...wema wauwe mama...ukipenda boga upende na ua lake....wacha waongee mpaka wapasuke

    ReplyDelete
  3. Ulaaniwe wewe mwenye kumtukana mama.

    ReplyDelete
  4. Unawazimu ww unaesema dai anatoka na mamake!tutolee laana zako huko umelaniwa na ukoo wenu mvuta bang mkubwa ww!bang zimekulewesha unalopoka tu kama umetoka kufumaniwa!muache dai wetu kibaka wa karikoo ww!tena ukome ukomaee!

    ReplyDelete
  5. Mimi Ni team Wema ,ulaaaniwe wewe uliyemtukana mama Wa dai,kizazi chako chooote kilaaniwe,uishi maisha ya uzuni wewe na kizazi chako,kwa maisha yako yoteeeeeee,Mungu sikiliza hii dua.Amen!!!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ameeeeen!amenikera sn kwa kwel!

      Delete
    2. Bibilia inasema, alaanie na alaniwe. nyie muelimisheni tu na nahisi kashaelewa.
      asanten

      Delete
  6. huyo anaeongea kua dai analala na mama yake alaaniweee milele...tena hata apate ajari afe hapo alipoo...mbwa mkubwaa wema twende mamaa achana na maneno ya wakosajiii

    ReplyDelete
  7. Ni wivu tuuuu awawatunzi wazazi wao Leo wameaibika,diamond forever,esma platinum we love you,you are so cute.bless you,wewe ndo dada Wa ukweee Wa Naseeb sio mi kina Halima kimwana,sura nzitoooo,lineneee ka tembo,Lina roho mbaya Kama likaanga sumu.anaetembea na Naseeb Ni Halima kimwana.

    ReplyDelete
  8. kumaamaaae wote mnaekandia coment ya mdau wa kwanza juu.. nyie mnafirwa nin? kumamaaae sana wote mnaesema mdau alaaaniwe. anaetakiwa kulaniw ni domo kwa dhamb yake hyo na nyie mnaemtetea wote mnatombana na wazazi wenu¤ kumamaaaaae zenu kila mkikoment kwa mabaya. kukandia usemi wa mdau wa kwanza. wa2 wana ushahd mikundu nyie.

    ReplyDelete
    Replies
    1. pyeeee hakna aliyekusupport. no ulaaniwe ss kibiriti ngoma wewe

      Delete
  9. Aaaaaaahhhhh sasa anonymous 2:01PM umeshaharibu uhondo wa hii story. Wazazi wa mtu mwingine huwa hawatukanwi bana. Hilo kwa kweli ni kosa. Especially kwa Mama yake Domo ambaye ni Mama mmoja mnyonge aliyemlea Domo bila msaada wa Mtu yeyote. Huyo Mama kwa kweli ni Mama wa kuheshimiwa sana. Tunajua ya kuwa hana Elimu lakini kwa kile alichokifanya cha kumlea na kumfikisha hapo alipo huyo Domo hatuna budi kumshukuru na kumheshimu. Kwani sio Wazazi wengi wa aina yake wanaweza kukifanya kile alichokifanya yeye. Kwa kweli tumshukuru na kumuombea Mungu ampe uhai miaka mingine 1000.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ujue waislam awanaga mambo ya kizungu Kama wakristu,ukiwa karibu na mzazi wako,Leo umembebea pochi,Kesho umembusu shavuni,waislam unawachanganya awajui mambo hayo,watakuambia unatembea na mama yako,waislam Jamani wako nyuma sanaaaa kisayansi na technology

      Delete
    2. Koma we kumanina zako uislam umeingiaje hapa? Kwani huyo anonymous ya kwanza aliandika jina la kiislam hapo? Au unakurupuka tu

      Delete
  10. Na hata ukiziangalia hizo picha kwa undani. Utaona huyo Mama jinsi alivyokuwa mnyonge. Yaani ni kama kucheka hacheki wala kulia halii. Na Kicheche mcheza Kigodoro amelazimisha mno kwa huyo Mama. Na kwa kweli huyo Mama yake Domo haonyeshi ile furaha ya kukaa karibu na huyo Kicheche. Yaani kwa kweli namuonea huruma sana huyo Mama. Hastahili hata kidogo kile ambacho Kicheche mcheza Kigodoro anachomfanyia. Inakuwa kama anamdhalilisha.

    ReplyDelete
    Replies
    1. kicheche analazimisha kupendwa na mama domo,pata picha mtu humpendi halafu analazimisha umpende,matokeo ndio haya kama picha inavyojionyesha.

      Delete
    2. Kwa kweli huyo Mama kutokua na Elimu wala unyonge wake isiwe ndio sababu ya yeye kutukanwa ama kudhalilishwa. Ni mtu wa kumuonea huruma tu kwa jinsi Kicheche anavyomlazisha mapenzi. Kicheche mwache Mama wa watu HAKUPENDI.

      Delete
  11. Huyu nae tushamchoka Hana tusi lingine ye anachojua Ni KICHECHE tuuu,poromosha tusi KICHECHE isha expire.

    ReplyDelete
  12. Haaaaaaaaaa,ni kweli mama ni kama anajilazimisha kucheka.

    ReplyDelete
  13. KICHECHE mwanzo mwishoooooo tushachoka na messeji zako au tafuta tusi jingine zito,KICHECHE Mbona jepesi?

    ReplyDelete
  14. Heshima kwa mama inahitajika acheni kumtusi mama wa watu jamani,assume ni ww unaambiwa unalala na ur mama laana co lazima akupe alo kuzaa pia tumuogope Mungu jamaani,na hapo hakuna uuislamu wala ukristo tuwen wastaarabu.

    ReplyDelete
  15. Wema acha kumdhalilisha mama WA watu, upendo WA kweli aupimwi kwa kuweka picha kweny mitandao huo Ni unafki, Anza kufikiria kabla ya kufanya ujinga Wako, umeona madhara yake mama WA watu wanamtusi sabb ya ujinga Wako! Domo kemea vikali kitendo cha huyo mcheza kigodoro kuweka picha ya mama yako kweny mitandao. Wema acha ujinga unataka na mama Dai afanyiwe kama mama yako?? Unakuwa mwili wema kua na akili jamaniiii! Kuna faida gani unapata kwenye mitandao zaidi ya matuc? Kubwa zima jinga!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Joto Hasira

      Delete
    2. Penny kacharuka na Halima kimwana,jotooooo hasiraaaa,

      Delete
    3. 2tolee ushuz wako kule n joto hasira

      Delete
  16. Anonymous 2.01PM mbona na wewe unafirana na baba yako mzazi watu atusemi au unataka tukutaje jina mshenzy wewe?....lpumbafu leo umenikoroga vuzi hadi linatetemeka

    ReplyDelete
  17. Anonymous 6:10 unajilous za waziwazi teampenyy huyoooooooooooooooooooooooo

    ReplyDelete
  18. Namuomba Allah sw awalinde mama zetu....ktk mfungo mtukufu huu inafikia hatua Kijana wa kiume anamtukana mama yetu ambaye yupo kwenye mfungo.....Allah kwa uwezo wako walinde mama zetu na maadui Hawa.....inshaallah....unayo hukumu..

    ReplyDelete
  19. Mi mwanzo nilijuaga penny ndo kamuacha Naseeb kumbe yeye ndo kaachwa.Duuuu hasiraaaa,omba dua utarudiwa,maana nyie wadada Wa mujini kushare mboo Ni mpango mzimaaa

    ReplyDelete
  20. Wizi mtupu hapo ni fedha tu inabembelezwa , chezea hela wew!!

    ReplyDelete
  21. Wizi mtupu hapo ni fedha tu inabembelezwa , chezea hela wew!!

    ReplyDelete
  22. 4:45 cjui wa wapi?? Unaleta udini bongo hii 2014??? Kinembe cha mama yako!!! Wema unajua kula na kipofu.. mheshmiwa domo akiona atasema mke c ndo huyu.. apenda mama kumbe!!!!

    ReplyDelete
  23. Kiko wapi MAMA WEMA ulisema humkubali diamond kuingiya kwenye family sasa jee? Mbona mwanao huyo na mkwee bega kwa bega hujenda kuwakata na mapanga hehehehehehe

    ReplyDelete
  24. Namsifu Sana domo akuna kama mama ndio maana mambo yake yanasonga, anatambua thamani ya mama, hivi ww wema kwa nn usijifunze kutoka kwa domo? Mama wema anaponung'unika kila wakati juu yako Ni mbaya Sana ndio maana maisha yako c ya binti anayejitambua! Ucpende kumuumiza mama yako Ni hatari Sana kwa maisha yako. Mama Ni mungu WA pili.

    ReplyDelete
  25. Namsifu sana domo anajua thamani ya mama ndio maana mambo yake yanasonga, kwann WW wema usijifunze kupitia kwa domo? Usipende kumuona mama wema kila wakati ananung'unika juu yako hiyo Ni sumu inakuua taratibu, ndio maana maisha yako c ya binti anayejitambua! Uwezi kujifanya unampend na kumfurahisha mama domo wakati mama yako mzazi unamchukulia poa!! Utakuja juta na kumkumbuka mama yako na utakuwa umechelewa. Mama Ni mungu WA pili.

    ReplyDelete
  26. Hajuwi thamani ya mama ni nini mfahamisheni

    ReplyDelete
  27. Nani kama mama aaaah,nani kama mama aeeeh

    ReplyDelete
  28. Glory to God n blessing my mom

    ReplyDelete
  29. mcheza kigodoro analazimisha

    ReplyDelete
  30. mbona imekaa poa sanaa,, people mna hate sana jifunzeni ku appreciate fuck ya all.

    ReplyDelete
  31. Ndo bongo bwaana!! kusemwa sana then mafanikio xaana 2 wanaompinga wote walala hooooooooooooooi!! post ki2 ulichonacho uwakika aise to much meeen

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad