Aunt Ezekiel:Sina Gundu na Wanaume Mimi, Watu Wanaongea tu Bila Kujua ukweli

GUNDU? Baada ya kudaiwa kuwa na gundu kufuatia kila mwanaume anayeishi naye kuandamwa na majanga, staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel Grayson ameibuka na kukanusha madai hayo akisema hayana ukweli.

Baada ya maneno hayo kutua katika dawati la Ijumaa Wikienda, wanahabari wetu walimsaka Aunt ili kumsikia anazungumziaje taarifa hizo ambapo alitiririka:
“Sina gundu na wanaume jamani, uzuri ni kwamba kila niliyeishi naye kulikuwa na sababu za msingi za kuachana. Siyo Jack Pemba wala Hartmann (Mbilinyi).

“Watu wanazungumza tu bila kujua ukweli, hata kwa Sunday Demonte (mumewe wa sasa), yupo vizuri na hajafungwa kama wanavyosema,” alisema Aunt. 
Miongoni mwa wanaume walioogelea katika penzi la Aunt kisha kumwagana kwa sababu tofuati ni pamoja na Mwilu Mwilola ‘Silvanus’, Hartman na Jack Pemba.

Quote of The Day:
“You can't depend on your eyes when your imagination is out of focus.” 

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Gundu unalo usijiami vitu vinaonekana unamikosi hufai kuwa mke unafaa kuwa mwanamke cheeefuuuu

    ReplyDelete
  2. we unafaa kuliwa na kipita ivi lkn sio mke ww!! myxxxxxxxxuuuiiiiiii

    ReplyDelete
  3. Gundu hunalu bibi ww utaishia kubeba mabegi ya wema naulivyo nenepeana akutake nani

    ReplyDelete
  4. Kwel Mwaya una gundu una nuksi na mkos na jin LA umalaya atareeeee!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad