Baba Kanumba Afunguka 'Mama Kanumba Tafadhali Acha Njaa'

BABA wa aliyekuwa msanii maarufu wa filamu Bongo, marehemu Steven Kanumba, Charles Kanumba ameibuka na kumtaka mama Kanumba, Flora Mtegoa kuacha tabia ya kuombaomba michango mbalimbali.

Akipiga stori na paparazi wetu, Baba Kanumba alisema anashangazwa na tabia ya mama Kanumba kuombaomba ambapo hivi karibuni alimuona mjini Shinyanga ambako alikuwa akiomba rambirambi kwenye kumbi za starehe.

“Namshangaa mama Kanumba ni njaa gani hiyo, naomba aache kudhalilisha ukoo wa Kanumba kwani anatumia jina hilo kuombaomba, anahangaika bila sababu za msingi wakati sisi tuko vizuri,” alisema Baba Kanumba.

Akijibu tuhuma hizo, mama Kanumba alisema kama ana malalamiko yoyote aende mahakamani maana yeye si mume wake. “Aache kunifuatafuata kwani mimi si mkewe na Shinyanga nilialikwa kwenye Miss Shinyanga siyo kwamba nilijiendea tu,” alisema.

Quote of The Day:
I hope everyone that is reading this is having a really good day. And if you are not, just know that in every new minute that passes you have an opportunity to change that.

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mama,Baba bado anakutaka.
    Nimependa,"kama ana malalamiko aende mahakamani"
    pouwaaaaaaaaaaaaaa!

    ReplyDelete
  2. mama, baba bado anakupenda msikilizane bas.baba hana lolote ila anataka mzigo2 huo. anataka mkumbushie enzi zenu. mpe mashine hiyo atakaaa kimya mwenyewe.

    ReplyDelete
  3. acheni kujidhalilisha kwenye mitandao wazee wangu kaeni chini muyamalize mabef yenu sio KUjidhalilisha kwenye mitandao" nyie wa2 wazima bwana. kama kanumba angekufa masikini hayo yote yangekuwepo? na wew mama ungekuwa unaalikwa kwenye mis shinyanga? achen mambo yenu hayo. kama kutombana mtombane sio maneno manenomaneno kila siku.

    ReplyDelete
  4. acheni kujidhalilisha kwenye mitandao wazee wangu kaeni chini muyamalize mabef yenu sio KUjidhalilisha kwenye mitandao" nyie wa2 wazima bwana. kama kanumba angekufa masikini hayo yote yangekuwepo? na wew mama ungekuwa unaalikwa kwenye mis shinyanga? achen mambo yenu hayo. kama kutombana mtombane sio maneno manenomaneno kila siku.

    ReplyDelete
  5. acheni kujidhalilisha kwenye mitandao wazee wangu kaeni chini muyamalize mabef yenu sio KUjidhalilisha kwenye mitandao" nyie wa2 wazima bwana. kama kanumba angekufa masikini hayo yote yangekuwepo? na wew mama ungekuwa unaalikwa kwenye mis shinyanga? achen mambo yenu hayo. kama kutombana mtombane sio maneno manenomaneno kila siku.

    ReplyDelete
  6. acheni kujidhalilisha kwenye mitandao wazee wangu kaeni chini muyamalize mabef yenu sio KUjidhalilisha kwenye mitandao" nyie wa2 wazima bwana. kama kanumba angekufa masikini hayo yote yangekuwepo? na wew mama ungekuwa unaalikwa kwenye mis shinyanga? achen mambo yenu hayo. kama kutombana mtombane sio maneno manenomaneno kila siku.

    ReplyDelete
  7. acheni kujidhalilisha kwenye mitandao wazee wangu kaeni chini muyamalize mabef yenu sio KUjidhalilisha kwenye mitandao" nyie wa2 wazima bwana. kama kanumba angekufa masikini hayo yote yangekuwepo? na wew mama ungekuwa unaalikwa kwenye mis shinyanga? achen mambo yenu hayo. kama kutombana mtombane sio maneno manenomaneno kila siku.

    ReplyDelete
  8. ila uyo mama kweli anatia aibu km kanumba kashakufa anahangaika na nn na alikuwa wapi kualikwa kwenye mamiss wkt kanumba yupo bana aibu bi mkubwa acha njaa kweli

    ReplyDelete
  9. anatafuta umaalufu wa uzeeni kampuni umeiuwa ya kanumba unahangaika mfyuuuu we mama

    ReplyDelete
  10. Mhaya na kesi

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad