STAA wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha ‘Baby Madaha’ amesema anaishi katika staili ya kivyake hivyo kamwe hawezi kuolewa kwa kufuata mkumbo kama ilivyo kwa wasanii wengine.
Akipiga stori na mwandishi wetu, Baby Madaha alikiri kuwa ana mchumba ambaye ni Joh Kairuki, anampenda sana ila katika suala la kufunga ndoa bado yupoyupo sana kwa sababu haolewi kwa kufuata mkumbo kwani amejifunza kupitia kwa walioolewa na kuachika.
“Nitaolewa nitakapokuwa tayari siyo kwa kufuata mkumbo vinginevyo bora nibakie hivihivi kwa sababu pesa kwangu ndiyo kila kitu, mambo mengine yanafuata,” alisema.
U need to shup up bitch tumekuchokaa unaongea pumbaa saa zote msonyooo
ReplyDeletewe nae atakuoa nani shwaini
ReplyDeleteKauze kuma kenya nani akuoe wewe hata huyo kairuki unayejitangazia eti mchumba wako anakukula tigo then tupa kule
ReplyDeleteMweeee
ReplyDeleteduuh! makubwa ! matusi Ya nini mazee
ReplyDeleteMajuto ni mjukuu; maneno haya yanaweza kugeuka kuwa mjuu wako!
ReplyDeleteKwanza nani ajitose kukuoa kwa tabia hiyo uliyonayo?badili tabia vinginevyo utasubiri sanaaaaaaaaaaa
ReplyDeleteSubiri tu,
ReplyDeletesio unasubiri sema ukweli jamaa wana kuchagija na kukuacha kw ujinga wako, jaga ukanye nyanoko
ReplyDeleteUjana una mwisho. Ni hapo utahitaji kuwa na familia then ukashindwa kufanya hivyo sababu muda umeshaenda. Pole sana kwa fikra potofu!
ReplyDelete