Staa wa kike anayefanya vizuri katika tasnia ya muziki na filamu nchini, Baby Joseph ‘Baby Madaha’ amewatolea uvivu wasanii wenzake kwa kuifumua tasnia hiyo kuwa asilimia kubwa ya wasanii ni washirikina na wanalogana….
Msanii huyo amewashutumu baadhi ya wasanii Bongo kuwa hawawezi kufanya jambo lolote muhimu bila kufanya ushirikina na wengine hawapendi kuona wenzao wakitoka kimaisha…..
Madaha amefikia hatua ya kufumua ushu hiyo kwa madai kuwa hata kufilisika kwake ghafla kumetokea baada ya aliyekuwa mpenzi wake raia wa Kenya Joe Kairuki kupunguza nguvu ya kumsaidia kisanii na kwamba ilitokana na rafiki zake kumpiga juju….
“Wasanii wenzangu wameniloga.Walikuwa wanaona donge sana Joe alipokuwa akinisaidia.Kiukweli wameniporomosha kabisa.Nilienda kwa mtaalamu akanithibitishia hili.Hata hivyo nimepata mfadhili mwingine.Siwezi kumtaja wasije wakanipiga kipapai tena,” alifunguka staa huyo wa wimbo wa Summer Tyme.
Alisema ushirikina umeifanya tasnia ya sanaa kudumaa kwa kiasi kikubwa na kwamba imani hiyo imesababishwa na wsanii wasio na elimu….
“Wasanii wachawi wapo wengi tu.Yaani unamuona msichana mzuri au mvulana mtanashati msanii kumbe anakesha kwa waganga.
“Wengi wanasafiri sana kwenda mikoani kuloga wenzao.Sanaa imejaa uchuro mtupu. Kama si kuelemewa na ushirikina basi tungekuwa mbali sana.
“Ushirikina umesababisha pia fitina, majungu na visilani miongoni mwa wasanii. Hatupendani kwa sabab ya mioyo ya kichawi,” Alisema Baby Madaha
Quote of The Day:
Thousands of candles can be lighted from a single candle, and the life of the candle will not be shortened. Happiness never decreases by being shared.
Umeporomoka ww mwenyewe .jipange upya
ReplyDeletewe mwenyewe mshirikina, ulienda kwa mtaalamu kufanyanii kama si kuloga?
ReplyDeletejiangalie wewe na maneno yako
NYANI HAONI KUNDULE
ReplyDeleteahahahaaa wacha nicheke mim wewe mwenyewe mshirikina ulienda kwa mtaalam kufanya huo ushirikina badala ya kwenda kanisani au msikitin ukamuomba mungu akulinde na hao washirikina sasa na wewe tuambie umemloga nan na nani maana umekiri kuwa umeenda kwa mganga tuambie umemroga nan na wewe ahahahah aibu yako
ReplyDeleteNdio mana ulikuwa unataka kick kwa diamond?????? Pole Sana utashuka zaidi ya hapo, ooh daimond haniwez Mimi mkali mala ushuz kunuka kumbe ulijijua kuwa huna soko kwahiyo ukawa unataka uwe Na soko kwa style hiyo, pyeeee
ReplyDeleteKwani huyo naye mwanamziki au changu doa?mchawi mkubwa wewe kajiuze Buguruni maana Ohio huna soko,umeshindwa mziki una singizia uchawi.Malaya mbovu Kenya na Tanzania huna soko nenda Darfoo.
ReplyDeleteyani huyu madaha hana chochote anacho kifanya kazi kutafuta kick kila siku,ulogwe kwa lipi hasa?
ReplyDelete