Baby Madaha'Naomba Mwezi Mtukufu wa Ramadhani Uishe Maana sina Namna ya Kuingiza Fedha'

Na Rhoda Josiah

STAA wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha ‘Baby Madaha’ amesema kuwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani umembana kiuchumi kwani kumbi nyingi za starehe zimefungwa kwa hiyo anashindwa kupata pesa.

Akipiga stori mbili tatu baada ya kuvutiwa waya na mwandishi wa gazeti hili, Baby Madaha alisema kwa upande wake michongo yake mingi ya hela anaipata kupitia kumbi za starehe hivyo kwa sasa fedha haingii kabisa.

“Naomba Mwezi Mtukufu wa Ramadhani uishe maana mtonyo umekata halafu sina namna ya kuingiza fedha zaidi ya muziki hivyo hali si hali kwa sasa jamani,” alisema Baby.

Quote of The Day:

“The sky has never been the limit. We are our own limits. It’s then about breaking our personal limits and outgrowing ourselves to live our best lives.”

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. we vp mbona sikusomi au ndounauza kuma

    ReplyDelete
  2. Acha kulia lia pumbavu wewe. Jifunze kuweka akiba bank ili wakati wa matatizo iweze kukusaidia.

    ReplyDelete
  3. Akiba simpaka upate hela ya akiba mfano unafamilia unapata lakimbili utatumia ngapi uweke ngapi huyu jamaa anaonyesha mbahili wa hela nyinyi ndomnatombewa wake zenu huku ukijionyesha dr.huna mpango wowote cheeeeefuuuu!!!

    ReplyDelete
  4. anauza hyooooooooooooooooooooooooooooooooo

    ReplyDelete
  5. malaya utamjua tu. anajiuza ndiyo maana hataki ramadhani. kwa mziki gani aliyokuwa nao asilalamike Lady JD huyu changu akafie mbali

    ReplyDelete
  6. wapi nana????

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad