Stori: Gladness Mallya
MTIFUANO mzito umeibuka kati ya mastaa wa Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ na Baby Madaha baada ya kurushiana vijembe.
Awali katika gazeti la Amani toleo la wiki iliyopita, Baby Madaha alinukuliwa akisema kuwa Mwezi wa Ramadhani unambana kiuchumi, kwa vile kumbi nyingi za starehe zimefungwa, hivyo anakosa shoo.
Akizungumza na Risasi Mchanganyiko, Shilole alisema anamshangaa Madaha kwa kukosa hofu ya Mungu, huku akimchana kuwa, haweki akiba, anaishi maisha ya kutegemea shoo ndiyo maana anaulalamikia mwezi huu.
Madaha alivyoelezwa kuhusu maoni ya Shilole, alikuja juu na kutema cheche: “Shilole anatafuta kiki kupitia jina langu, kwanza si hadhi yangu. Siwezi kujibishana na msanii anayetegemea shoo za kwenye vigodoro, akatafute pa kutokea.”
Baby Madaha kiki wapiii Shish Baby ndio mpango mzima, umeambiwa ukweli acha ku ulalamikia mwezi mtukufu, jipange bibi ujue kuweka akiba.Vigodoro ndio mpango mzima uswazi wala hatukujui sie watu Wa uswazi vigodoro ndio vyetu.
ReplyDeleteSimwelewagi huyo Baby Madaha cjui anaimbaga vitu gani
ReplyDeleteHee, kumbe tuko wengi tusiomuelewa baby madaha.
Deletehakika simjui hata
anaimba nini.
huyo babu mahaba bado anaimba kumbe cjawahi ht ckia nyimbo zake huku kwetu mombasa tujauvyo anajiuzaga huko mtwapa
ReplyDeletekuma madaha.
ReplyDeleteBebi madaha nae Ni mwanamziki? Atumjui mikoAni, ILA huyo shilole tunamfaham Sana PIA c muigizaji. Shilole upo juu hata mikoani tunakupenda Sana.
ReplyDeleteduh baby madaha wangu, pole love u......
ReplyDeleteMbona umeshamjibu?ungekaa kimya au ukaipoteza kiaina mara baada ya kuulizwa
ReplyDeletena waandishi wa habari.UMEPEWA UKWELI,WEKA AKIBA.
mh hyo baby madaaa anapenda kupanic hyo cku nili comment ig ckuelewagi acha aporomoshe maji machafu
ReplyDeleteHivi huyu binti mbona anapenda sana masebene? mara amchokoze sukari ya warembo, leo kahamia kwa Shirori, sasa yeye muziki wake wa makapeti upo wapi apige basi ili amzidi huyu wa vigodoro, hizi ni dalili za kuanza kufulia na kuzeeka bila umaarufu hana wimbo wenye habari ya mjini kama wenzie walioimba MAJANGA, NIMEVURUGWA, NAKOMAA NA JIJI, KITORONDO, SITAKI DEMU, GHETO LANGU na KIMYA KIMYA. jamani hivi NI BARAKA AU LAANA kuitwa Madaha?
ReplyDeleteShilole baby uko juu
ReplyDeletemm naskia baby madah mwanamuziki magazetin na kwenye mtandao ila sijui hata wimbo mmoja alioutoa. shilole big up umempa ukweli anaishi maisha ya ndege so akiugua mwezi mmoja atakua fukara
ReplyDelete