Mambo bado magumu kwa ndoa ya Jay Z na Beyonce na tetesi za uchepukaji wa Jay Z zinazoripotiwa zinazidi kumfanya Beyonce awachukie warembo wote wanaomsogelea mumewe huyo anaedaiwa kuwa na kisu kikali mbele yao.
Kwa mujibu wa jarida la Star, chanzo kilicho katika tour yao ‘On The Run’ kimeeleza kuwa Beyonce aligeuka mbogo na kuwatimua kwa hasira warembo walioingia kwenye chumba cha Jay Z cha kubadilishia nguo backstage.
Chanzo hicho kimeeleza kuwa Beyonce alitumia maneno makali kwa kuwaita mende wanaotakiwa kuuawa na dawa ya kuua wadudu.
“Jay had all these women in his room, and Beyonce ordered everyone out. She called the women cockroaches and said they need to be fumigated. She gave death stares to every person as they filed out one by one.”
Inaelezwa kuwa Jay Z na Beyonce wanavyumba tofauti vya kubadilishia nguo baada ya show ingawa viko karibu (vinafuatana).
acha ufala admin umeweka kiwiliwili feki
ReplyDelete