Msanii na Producer anaetamba na Bolingo kwa sasa Bob Junior "Sharobaro" leo ameongelea ama kutoa ushauri kuhusu kutokuelewana kati ya wasanii wawili wa Bongo Fleva Ally Kiba na Diamond Platnumz, Amesema kuwa Ally Kiba ni Best Vocal na Best Artist in Bongo na Africa hivyo amemtaka Mdogo Mdogo ambae kwa jina la wimbo yani Diamond kumuheshimu Ally Kiba, Pia ameendelea kwa kumwambia Ndagushima kwa jina la wimbo yani Ommy Dimpoz kwamba ugomvi huo haumuhusu hivyo asitafute kiki kupitia Beef hiyo.
Nanukuu "BIFU SIO KITU KIZURI UNAJUA ALIKIBA NI BEST VOCAL ANAJUA AKIFANYA CHO KUJIINUA SO UKIMYA WAKE USIKUFANYE WW KUMTUKANA KIIVYO NA KUMSEMA VIBAYA ATA WW #NGAGUSHIMA HILI BIFU WW ALIKUHUSU ACHA KUTAFUTA KIK KUPITIA BIFU ZA WATU ALIKIBA UR THE BEST AND MY BEST ARTIST IN BONGO AND AFRIKA SO WW #mdogomDOGO
ALIKBA ITS UR BROTHER MUHESHIMU BHANA"
Uko sawa broo.
ReplyDeleteUna akili bob yaani hao wote wanatakiwa kumuheshimu kiba hasa huyo mwenye pichwa baya amesahau takataka yake ya nainai bila kiba ingesimama hivi amesahau
ReplyDeleteWewe nawe ni ktk wanafki walewale nani asojua kuwa na ww ni walewale wenye roho ya kwanini kwa diamond juzi tu umetoka kumsema,sasa kumwita mdogo mdogo ndio nn kwamaana hujui jina lake au?mbona kiba umemtaja kwa jina?mnafki ww possible hata kiba humpendi sema tu sababu ana bifu na diamond.mfyuuu kwenda ku le andunje ww una roho mbaya kama nn usotaka mwenzio apate.nilijua tu utaingilia ili umalize hasira yako kwa diamond.wabongo kwa wivu kila kitu mnaponda unataka uwe wewe,we waache watapatana wenyewe ww mnafki ndio utaharibu kabisa kwanza nani kakuomba ushauri kiherehere tu
ReplyDeletetupishe uko na ww maneno yanakutoka mpaka povu anae mwonea wivu diomond nani?
DeleteKwa kipindi Diomond alicho nacho mpaka aonewe wivu haya maisha tu ni kama foleni kila siku inasogea, utangara leo kesho ana ngara mwingine tatizo kujikwenza kwa wa sanii wa bongo.Fanya kazi endeleza maisha yako kujiona wewe ndio bora kuliko wengine haina maana.
ReplyDeleteumenena. big up!.
DeleteAlf admin weka gadget ya like maana kuna watu wanapost vitu vya ukwel na ni haki yao kupatiwa ma like mengimengi kama jamaa hapa Anonymous 5:49
DeleteBobo Junior ni shoga la kiana ww km nani uweze kusimama kama jaji kwa icho kistudio chako...mbona ww mziki unakushinda kila siku kukata viuno tuu km shori,kila mtu hapo anauwezo binafsi Ali kiba ana ladha yake ambayo huwezi kuipata kwa Diamondoplatnumz na pia hivyohivyo Diamondplatnumz ana ladha yake ambayo huwezi kuipata kwa Alikiba...
ReplyDeleteBOB Junior punguza USHOGA.
WEWE ANNOY 7.16 WACHA MATUSI NA HIO KI STUDIO CHA BOB JUNIOUR NDIO ILIMTOA DIAMOND NA MBAGALA WACHA KUONGE SHIT. its true wateva asema mtu kurekebishwa sio vibaya
ReplyDeletekwa hiyo huyo kiba ndio nani kwa mfano,haya mwenzenu huyo anajaza tuzo nyumbani,nyie endeleeni kupaka lipstic.
ReplyDeleteActions speaks than porojooo....watajibeba mwaka huu watakufa vinywa wazi kwa kukosa usingz kwa sababu ya Homa anayowapa Diamond...nakupa tano mdau!
DeleteWewe na wale wote akili moja hamna lolote
ReplyDeleteAli kiba 4real bob junior umesema sawa.mimi napenda kiba anaimba habani pua walahamezi maneno.kiba Toa navideo nzuri.hlf we handsome ujue bakihivyohivyo usiweke makorombwezo mengii.ustaarabu Wako nao ndio usiseme.halafu cmtu wamasifa basi ndiomana tunakupenda nakukufurahia.achana namademu wasanii tafuta kitu chaukweee.kimeendashule kinachojielewa kama wewe asiwe wa magazetini ndio mtamatch.
ReplyDeletenani akose usingize kwa sababu ya domo yooooooooooooo jamani wacheni kujipa jipa action ipi hio na kabebwa na daviodo mhhhhhhhhhhhhhhhhh kwani kiba kapata tuzo ngapi toka aanze mziki mhhhhhhhhhhhhh pelekeni ukumbavu mbele well spoken bob juniour
ReplyDeletelabda amkoseshe wema usingizi jamani kiba katoa nyimbo juzi tu maneno kibao mhhhhhhhhhhhhhhh mwacheni wana wa watu apumziki domo hana jipya kazi ku copy na ku paste
ReplyDeleteHata ulaya wanakopi cha msingi Ni kuwa unaboreshaje hicho ulichokopi, hata Mr Nice alivumaaa badae kimya akabaki sifa tu kama mkali wa Takeu, amepiga shoo nyingi kali nk, wakaja akina Kiba anatoa mimacho tu anasema nitatoka ooh Kuna ngoma kali Nice kimya hadi Leo, nadhani hapa Kiba kama Ni mkali usimjibu kitu huyo Dai wewe pigana na mashairi yeye mwenyewe atasalute, Ni ushauri tu mkiona vipi endeleeni kuwanufaisha Global
ReplyDeleteHivi haka ka ommy dimpz ninani? au ndo wale wauza mirungi......Ukwel itabaki wazi ya kwamba diamond apige kimya kwa Ali_Kiba, bongo kote Alikiba hana mpinzani na mkitaka kujua ukweli subiri achie Video zake mbili then ashushe kiti kingine ambae namini itawacha midomo wazi.....songs hiyo isha kuwa teari na kipande tu tunacho teari.....hvyo speriamo che questa volta Diamond va a cagare.
ReplyDeleteALLY KIBA YUPO JUU TUKUBALI SIO HUYO MWENYE NGUVU ZA GIZA KAMKUTA ALLY KIBA LAZIMA AWEKE HESHIMA HATA KAMA ANAPANDA NGAZI LAZIMA AWESHIMU ANAO WAPITA WAKATI ANAPANDA JUU YA NGAZI
Deleteukweli unajulikana na utaendelea kujulikana nani mkali, sababu kila mtu anaona hali halisi iliyopo sasa,huyo kiba tangu aanza kuimba hajawahi kupata tuzo saba kwa pamoja kama yeye ni mkali kweli,usiseme vitu ili mradi ujulikane umesema wakati ukweli upo wazi kama diamond ndio raisi wao bwana. mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
ReplyDeletebobo junior anatafuta kiki kashafuli uyoooo
ReplyDelete