Bob Junior Akubali Kutumia Rangi za Kupaka Midomoni (Lipstick)

Kwenye picha mbalimbali za Bob Junior kwa wafatiliaji wamedai kuwa anapaka rangi ya mdomo [Lipstick] Soudy Brown kaongea na Bob Junior na amekubali kusema sababu kubwa ya yeye kupaka rangi hizo za mdomo, Bob Junior Amesema yeye hupaka ili midomo iweze kung'aaa na amesema kuwa hupaka lip shine, na amesema Lips zake ni tamu Balaaaa ...Kazi Kwenu Ladies

Quote of The Day:
Don't judge each day by the harvest you reap but by the seeds that you plant.

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. msenge tu huyo kwani mtu akipaka lipstick lips zinakuwa tamu au zinavutia..ce wanawake tunajua lipstick kazi yake nn na ukipaka unakuwaje msenge tu labda ukawatamanishe madume menzio

    ReplyDelete
  2. Niliona kwenye video yake mpya kapaka ila nikaguna guna nikauchuna! Hahaha

    ReplyDelete
  3. Dah! Umetisha!!!

    ReplyDelete
  4. Diomond mbona ana paka za wemaaaa nae msenge?acheni watu wajinafasiiiii

    ReplyDelete
  5. Celebs wote duniani maarufu na wasokuwa maarufu wanapaka hata watangazaji wa habari jee wote wasenge? Hata Kama msenge si ni wake mwenyewe. Kachapani kazi wacheni kuropokwa ya watu na yenu mumeyakalia.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad