Boko Haram waieleza BBC kuhusu hali na afya ya wasichana waliowateka

Mmoja wa wanajeshi wa Boko Haram ambaye hakutaka kujitambulisha jina alizungumza na BBC jana (July 8) na kueleza hali na afya ya wasichana zaidi ya 200 wanaoshikiliwa na kundi hilo, taarifa ambazo zilikuwa tofauti na zile za awali zilizokuwa zikitolewa na maafisa wa Nigeria.

Mtu huyo alisema kuwa wasichana hao wako katika hali salama na wana afya njema tofauti na ripoti alizozitoa Senator kuwa walikuwa wakibakwa wakichukuliwa video na wengine wakiuawa endapo wangekaidi.

Hata hivyo mtu huyo aliweka wazi msimamo wa kundi hilo kuwa watawaachia wasichana hao siku moja baada ya serikali ya Nigeria kuwaachia wafungwa wa kundi hilo wanaowashikilia.

Hivi ndivyo alivyoeleza:

“Kweli tunataka serikali ya Nigeria kuwaachia watu wetu. Kama kiongozi wetu Abubakar Shekau alivyoahidi kwenye vyombo vya habari, kama leo serikali itaawaachia watu wetu, kesho au siku inayofuata tunaahidi mtawaona wasichana wote. Tutaweza kuwaachia kesho ama siku inayofuata. Ninawaambia ukweli, wako katika hali nzuri wakisubiri kuachiliwa. Hawana tatizo. Baadhi wamebadili dini na kuwa waislam, wengine hawakubadili dini lakini hatukuwatofautisha, tunawatunza kwa usawa...”

Post a Comment

30 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nawachukia waislamu wote. muna roho mbaya.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Unafaa sana kuwa KIBARAKA na kundi la PROPAGANDA kwaninuna uwezo wakuangamiza wakristo ili wislam wauwawe au woye kwa pamoja kama unavyoona hao wanavyotumika.

      Delete
    2. Ww mwenyewe unachukiwa had na mungu hujijui tu

      Delete
    3. hajijui uyo mwana mpotevu ety " nawachukia waislamu wote muna roho mbayaa" nakuonea huruma sana, ila siku utakayokata roho ndo utaujua ukweli na ndipo majuta yatakapokujia wakaty it's too late.

      Delete
    4. unawachukia waislamu wote hivi katika familia yako hakuna hata muilslam mmoja, i fell sory 4 you and am proud 2 be a muslim

      Delete
  2. Kwani ww una roho nzuri.....unajuaje kwenye kundi hilo kama kuna wakristu.....

    ReplyDelete
  3. na ww una roho mbaya hivohivo kwa nini uwachukie waislam wote ambao hawajakukosea

    ReplyDelete
  4. je mashoga wa uk na waisrael wanaoua wapalestina? waisrael hawana nchi dunia hii. nahaki itasimama tu hata kwa ncha ya upanga

    ReplyDelete
    Replies
    1. kabisa kabisa, uko sawa sawiaa.

      Delete
  5. Wew pia unaroho mbaya kama makund yenu ya antiBALAKA (la afrika yakati laua waislam)na la LORD RESISTANCE ARM la uganda la joseph kony laua watu na kukataka viungo vya watu(cjui wanakula ama vp?)

    ReplyDelete
  6. Wew pia unaroho mbaya kama makund yenu ya antiBALAKA (la afrika yakati laua waislam)na la LORD RESISTANCE ARM la uganda la joseph kony laua watu na kukataka viungo vya watu(cjui wanakula ama vp?)

    ReplyDelete
  7. Wew pia unaroho mbaya kama makund yenu ya antiBALAKA (la afrika yakati laua waislam)na la LORD RESISTANCE ARM la uganda la joseph kony laua watu na kukataka viungo vya watu(cjui wanakula ama vp?)

    ReplyDelete
  8. Wew pia unaroho mbaya kama makund yenu ya antiBALAKA (la afrika yakati laua waislam)na la LORD RESISTANCE ARM la uganda la joseph kony laua watu na kukataka viungo vya watu(cjui wanakula ama vp?)

    ReplyDelete
  9. Chiku ni uchafu wa roho ni hasara kuwa nayo.

    ReplyDelete
  10. Waislam ni ndg zetu tena wengine tumeshare mama but napata taabu kujua hao boko ni uzao wa nani kwani wanaua watu wa dini zote

    ReplyDelete
  11. narudia tena, i hate u. ndo nin kuwashkilia watoto wa watu hawaendi shule. na kule somalia et mdada kaolewa na mkrsto anahukumiwa kifo. umewah kuckia mkrsto akiolewa na next anahukumiwa?

    ReplyDelete
  12. Hayo Maneno Ya kikafiri ndio yanayo tiaga hasira za waislam kwan Muislam gan anakupenda ww kafiri? Acha maneno ya kuzivuruga dini

    ReplyDelete
  13. Hayo Maneno Ya kikafiri ndio yanayo tiaga hasira za waislam kwan Muislam gan anakupenda ww kafiri? Acha maneno ya kuzivuruga dini

    ReplyDelete
  14. mimi nimeangalia hiyo picha kwa makini zaidi kama kweli ni boko haramu hao basi hayo mambo ya dini sijui uislam au ukristo hauhusiki hapo. hao jamaa ni ma freemanson naona alama zao mbili kulia na kushoto kwa hiyo picha. kama nakosea nikosolewe. jua freemanson ni wajanja sana kuchanganya akili za watu kufanya reality isigundulike mkiamini kuwa ni makundi ya kidini ila sio kweli meeeen

    ReplyDelete
  15. KAFIRI NI ASIYETAMBUA KUWEPO KWA MUNGU.
    ACHENI KUCHAFUANA INA MAANA WASIO WAISLAM WOTE WATACHOMWA?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Waislamu wote wanafuata sera na maadili ya viongozi wao...roho mbaya mliyonayo ni asili yenu toka mwanzo (sisi mtu akikupiga shavu moja mgeuzie na la pili na unamsamehe,nyie akikupiga piga na wewe mpaka afe) Dini gani hiyo ya kulazimishana ? dini mtu aingie kwa khiari yake ! Okokeni muepuke ghadhabu ya Mungu siku ya hukumu,Mungu wa Neema atawasamehe,Karibuni kwa Yesu.

      Delete
  16. haramu kwako halali kwa mwenzio, kila mmoja kafiri kwa mwenzie, cha msingi hapa ni kufuata maagizo ya Mwenyezi Mungu tu kutenda mema na kudumisha upendo, MUNGU TUNAOMBA UNYOOSHEE BOKO HARAMU MKONO WAKO warudishe wasichana majumbani kwao

    ReplyDelete
  17. To hell witj Mislims they are married to Satan.

    ReplyDelete
  18. muislm are the one who make the world un peace look at themself at iraq...syria.....
    yaan hawa ni shidaaaaaaaa ....haramu wao.....

    ReplyDelete
  19. safi sana israel lipua yote....palestina ni yenu si wamewachokoza fundisha adabu yambafu wao..mimi mwenyw ciwapend waliuwa ndugu yangu hapa kenya west gate...n mkondo mmoja eti wanapigiania mungu wao yupi huyo ako na nguvu gan?.....

    ReplyDelete
  20. Halafu walivyo na akili mby hawa waislam! Wanakubali kutumika na mataifa makubwa kuwa masoko ya kuuzia silaha,hii mijitu mimbulula sana cjui hii dini ya kishetani nani nani alieileta,mwanzilishi wake anapaswa kulaaniwa na wapenda amani wote,Mungu ainusuru dunia na majanga ya kiislam shiiit!

    ReplyDelete
  21. Alqaeda,Boko Haram,Alshabaab n.k vikundi vya kigaidi vya waislam hahahaaaa. Mdau hapo juu umenena kwel mambulula

    ReplyDelete
  22. Nyie mnaosema kuwa waislamu ndo wanaofanya hivyo mnaushaidi gani? Hao boko haramu, al shabab n.k ni vikundi vimekuundwa tu na havina uhusiano wowote ule na usilamu, kwasababu qur ani hivyo vitendo vyao inavipinga sasa ndo mjiulize hayo matendo yao wameyatoa wapi lakini uislamu sahihi hauruhusu mambo kama hayo.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad