Bomu Lingine Larushwa Hotelini Arusha na Kujeruhi Watu Kadhaa (Picha)
12
July 08, 2014
Bomu limerushwa na watu waliokuwa kwenye pikipiki nakujeruhi watu zaidi ya wanane waliokuwa wakipata chakula cha jioni katika mgahawa wa Vema.
Quote Of The Day:
We can't help everyone, but everyone can help someone.
imekaaa poa xana hiyo. duu! aisee kweli hao wana2mwa. haiwezekani warushe bom2 bila sababu yoyote haiwezekan.
ReplyDeleteal shababi wapo siku nyingi huko arusha
ReplyDeletepiga2 tena xana. 2naonewa xana tz. vigogo wanasaidia watoto zao2 wa2 wamechoka ni bora wauwe 2 kumaamaaae zao vigogo wote wanajali maslah yao wenyewe. yan nch hii ukiwa maskin huna ndugu serikalini! hata usome vp? hutapata kazi? inayoendana na vyet vyako. wanawaweka ndugu zao.
ReplyDeletepiga2 tena xana. 2naonewa xana tz. vigogo wanasaidia watoto zao2 wa2 wamechoka ni bora wauwe 2 kumaamaaae zao vigogo wote wanajali maslah yao wenyewe. yan nch hii ukiwa maskin huna ndugu serikalini! hata usome vp? hutapata kazi? inayoendana na vyet vyako. wanawaweka ndugu zao.
ReplyDeleteNamta koma mwaka hu bdo ikulu 2 na hao mafisad wengine.
ReplyDeleteMAfisad wote ni wa ccm hata chadema inayumba kuna mkono wa ccm katkt hapa. piga mabom xana mbwa2.
ReplyDeletembona mnaongea kama mmeukalia,sasa hao waliopigwa bomu nimawaziri wala rushwa?hebu nyamazeni na msome nikinanani walio jeruhiwa pumbavu wakubwa.
ReplyDeletesawasawa hao jamaa wanaropoka hawajui hata waliolipuliwa nikina nani wana kimbilia kucoment.
ReplyDeleteUjinga mtupu
ReplyDeleteWanawaumiza wasiyo na hatiya lakini iko siku na wao watalipuliwa
ReplyDeleteNimuhimu kufikiria zaidi kabla ujacomment mambo ya ajabu! Nyie Ni binadam gani mnaofurahia watu wapigwe mabomu na kufa?? Nahic nyie c watanzania, cc watanznia tunapenda Sana amani atujazoea mabomu jamani! Hayo mabomu ayachagui mfuasi WA ccm wala chadema, je watoto wetu tutawaficha wapi hali ikiwa kama mnavyotaka nyie msiofikiria!! Cc wanawake tunataka amani tuweze lea watoto wetu atuna pa kukimbilia. Mungu tulinde wamama wote na watoto wetu na wanaume wapenda amani tu! Mungu ibariki Tanzania.
ReplyDeleteAmeen
ReplyDelete