Breaking News:Majambazi Wavamia Basi la Mahabusu na Kuwashambulia Askari na Kutokomea

Breaking news: sasa hivi saa 8.15mchana.Kuna tukio hapa Tmj hospital. Majambazi wakikimbia kwa miguu wakitokea kwa Nyerere wamelishambulia basi la magereza lilobeba wafungwa na escort ya polisi kwa risasi kadhaa. Askari magereza na polisi wamejeruhiwa na majambazi yametokomea kusikojulikana. Mahabusu wanashangilia hapa na shughuli zote zimesimama hapa

Post a Comment

17 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mbuyu ulianza km mchicha! Tunakokwenda c kuzuri...

    ReplyDelete
  2. Tunakoelekea ss kubaya.1111

    ReplyDelete
  3. Tunakoelekea ss kubaya.1111

    ReplyDelete
  4. pumbavu zenu kenge2

    ReplyDelete
  5. Serilali ya ccm imeoza kila idara,bado kidogo majambazi yataingia ikulu.

    ReplyDelete
  6. ila serikalibya Chadema ndio haijaoza maana ina uwezo wa kumbadili jambazi kuwa muhasibu.

    ReplyDelete
  7. Eti bila aibu mnatuambia majambazi yamekimbia kwa miguu!!!
    Haituingii akilini hiyo

    ReplyDelete
  8. haya jamani.bado kwenda kwenye magereza kutorosha wafungwa, maana kama kuvamia vituo vya polisi tayari bado ikulu na jeshini

    ReplyDelete
  9. uko wapi mkwara wa magereza... mabunduki, ving'ora n.k

    ReplyDelete
  10. Nchi hii hata vile vitoto vya mbwa vinawatikisa polisi...walichokalia askari wetu ni rushwa tu. Shame on you mapolisi

    ReplyDelete
  11. na serikali inanya nini? kama nao si wahalifu pia. ama mungu atusaidie hii ni dalili mbaya sana kuwa amani nchini inakwenda polepole. uhalifu siku hizi ni mchana kweupeeee. na bado yanakuja imeshafikia police stan kuvamiwa nk....

    ReplyDelete
  12. afazali2 na ukiona hivyo ujue kuna m2humIwa wa ujambazi. hii ishu ya ujambazi kuna vigogo wakubwa xana wanahusika na mkanda mkubwa xana wa ujambazi hapa tz.

    ReplyDelete
  13. kweli kabisa

    ReplyDelete
  14. IGP MANGU hafai, hana jipya tangu ameingia. angejiuzulu tu. mamamaeee.

    ReplyDelete
  15. Huyo IGP anafanya nn? Na hao ndio askari anaowafukuzaga kazi.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad