MSANII maarufu katika tasnia ya filamu Bongo, Sabrina Rupia ’Cathy’ amewataka wasanii wenzake kutofanya ustaa kwenye ndoa zao kwani ndiyo chanzo cha kuvunjika kwa ndoa nyingi.
Akipiga stori na paparazi wetu, Cathy alisema kabla ya kuolewa lazima uwe na utayari wa kuolewa na kujuana kwa undani zaidi na mwenzio kabla ya kufanya uamuzi pia usiweke neno kuachika katika ndoa kwa sababu tu unaweza kupata mwingine.
“Uvumilivu ndiyo nguzo muhimu katika ndoa, unapojifanya staa na kuishi maisha ya kistaa katika ndoa, mambo yanaharibika kabisa,” alisema Cathy huku akikataa kutoa mifano ya walioachika kwa kuendekeza ustaa katika ndoa akidai wanajijua.
Haswaaaaaaaaa!bora dada umesema ukweli,nimependa,nitakusemesha kesho kutwa nikupe soda au sijui utakuwa kikoba cha wapi maana mdada unajua kuzitafuta wewe!
ReplyDeleteAsante.
DeleteSafiiiiiiii,wasanii igeni mfano kwa huyu dada.
ReplyDeletewala si uonge ndoa si mchezo
ReplyDeleteNawewe utulie Na mumeo uache kutembea Na wavulana wadogo wadogo haraf ela za mumeo ndio unamuhudumia huyo dogo Na huwa mnakutana pub moja kijichi ambayo ukitaka chakula huwa kinatolewa kwa oda tofaut Na pub zingine kijichi,najua umrshaijua hiyo pub,jilekebishe tabia yako muheshim mumeo Na umuheshimu fanya umalaya wako mbali Na kijichi
ReplyDeletekumbe anaishi kijichi?kashaanza kusema hivyo sasa hivi ataachwa..ndo huwa ainaga hizo.
Deletemmmh watu mnajua siri za watu jamani
ReplyDeletemmhhh...mimi napita tuu......ila maneno yake kuntu
ReplyDeletebola angekaa kimya
ReplyDelete