CHADEMA Imepoteza Ushawishi Kwa Watanzania

Kadri siku zinavyosonga chadema nayo inasonga kuelekea kaburini. Ilianza kwa kasi kama nguvu ya soda, ikatingisha, ikavuma,ikapendwa sana, ghafla ikafifia, ikasinyaa ikayumba ikapoteza kabisa umaarufu, ikapoteza ushawishi. Watanzania hivi sasa ukiwauliza, ukiwasikiliza hawaisemi tena chadema kama ni chama kilichobeba matumaini ya unyonge wao, umaskini wao na shida zao. Wako puzzled. 

Utafiti nilioufanya hautoi njia kwa chadema kupenya tena kwenye mioyo ya watanzania na kuwa chama pendwa, kimekuwa kama ilivyokuwa CUF ambayo hivi sasa ni chama zee zee, kuu kuu.

===nashauri ccm itumie vyema mwanya huu kujiimarisha, kuziba hili gape.

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Poleni mafisadi kwani kwa upeo wenu mdogo wa kufikiri mnafikiri mmepona.Chadema itasimama nanyi mafisadi mtaondoka tu.

    ReplyDelete
  2. BADO MPO VIZURI CHM ILA HILI LA KUIMARISHA CHAMA MSIPOFANYIA KAZI BASI MMEKWISHA NDO SEHEMU ILIYOBAKI NA NGUMU SANA SIO KAMA MNAVYODHANI MAANA CUF WAMEKWAMA HAPA NDO SABABU WATU WANADHANI MNAZAMA KILA LA HERI!!!!

    ReplyDelete
  3. CHAGGA DEVELOPMENT ORGANISATION......Ubunge chimomuri Moshi vijijini.......diwani.....kibororoni.....haaaaaa kwishneyyyyyyyy

    ReplyDelete
  4. CDM kwisha kwa kweli hakuna jipya

    ReplyDelete
  5. wapo busy na mchakato wa katiba, subiri uishe utajua CDM nani

    ReplyDelete
  6. Ccm ndio wanavuma sasa hivi kwa viongozi wake kuiba mali za uma hivu mjiulize kwa miaka 52 mpaka sasa mnanini mlicho fanya?kazi yenu bi wizi tuu na kuwapumbaza watanzania ili muendelee kuiba tuu!na wewe Admib utuambie mafisadi wamekupa shilingi ngapi?!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad