Chuo cha tiba IMTU Chafungiwa kwa Muda Usiojulikana Baada ya Kutoka Ovyo Miili ya Binadamu

Taarifa zilizopatikana ni kuwa sakata la ukiukwaji wa Maadili uliosababishwa na chuo cha Tiba ( IMTU) kutupa sehemu za miili ovyo imesababisha chuo hicho kufungwa kwa muda usiojulikana.

Imegundulika kuwa Chuo hicho kimekuwa na ukiukwaji mkubwa wa taratibu na sheria,imegundulika kuwa maabara zake hazijakamilika,hutoza ada kwa dola badala ya shilingi na mambo mengi kinyume na taratibu.

More News to follow!!....

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad