Kupitia ukurasa wa mtandao mmoja wa kijamii leo hii, mwanadada mwigizaji Shamsa Ford amepost ujumbe huu kwa wale wadada wote wanopenda kutumia mikorogo kama njia ya kuwafanya waonekane warembo Zaidi. Hichi ndicho alichokisema.
“Leo nilikutana na mdada ambaye alikuwa ananiomba sana kukutana na mm.nilipokutana naye alikuwa amevaa hijabu kubwa sana yaani yalibaki macho tu.nikajua mfungo wa ramadhani.nilishangazwa sana baada tu ya kuketi akaanza kulia.baada ya kunitolea hijabu yake nilitamani kukimbia.Wasichana wenzangu na kina mama tujiamini na kile Mungu alichotuumba nacho..huyu dada alikuwa ananunua hii mikorogo inayotengenezwa na watu majumbani.matokeo yake amejichubua mpaka kabakisha ngozi ya mwisho.Na sababu kubwa iliyomfanya anitafute ni kunisihi kutochezea rangi yangu na kwasihi wanawake wanaojichubua waache coz madhara yake ni makubwa.na sasa hivi ana canser ya ngozi.Nilitamani kumpiga picture but alikataa.TUWENI MAkINI Dada zangu”
Quote of The Day:
Thousands of candles can be lighted from a single candle, and the life of the candle will not be shortened. Happiness never decreases by being shared.
Ukimkosoa mungu unafikiri malipo yake Ni nini?? Na bado! Wote wanaomkosoa mungu kwa njia yyte uwe mkorogo, yawe makalio ya kichina, wategemee kuona cha Moto hapa hapa duniani! Yuko wapi maiko Jackson!! Acheni dharau kwa mungu jamani mwisho utakuwa mbaya Sana!
ReplyDeletestori feki
ReplyDeleteStory original wewe ndio feki
ReplyDelete