Diamond Amzawadia Mama Yake Gari Siku ya Birthday Yake Jana (Video)

Ingawa hayupo Tanzania lakini hakungoja mpaka arudi ndipo akabidhi zawadi hii badala yake alichokifanya ni mara baada ya kukamilisha kila kitu kinachoihusu gari hii Diamond Platnumz aliwapatia mameneja wake kwa ajili ya kuiwasilisha kwa mama yake.
Ni Toyota Harrier Lexus New Model ambapo Babu Tale amesema imegaharimi milioni 38.1 ambapo milioni 35 imetumika kulinunulia gari hilo mpaka kuingia Tanzania na Milion 3.1 imetumika kulipamba na kuweka Music System pamoja na seat Cover.
Zawadi hii ameitoa Diamond kwa mama yake kama zawadi kwa ajili ya kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa kwa mama yake ambaye amesema ametimiza miaka 55, mama yake amesema hakutegemea zawadi hii na anamuombea mwanae kwa Mungu afanikiwe zaidi.

Mama Diamond Was Surprised When She Cerebrating Her Birthday…Wema Sepetu Gave Her
Car Keys

Post a Comment

36 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. nyooooo angempa airplane key!!! ndio ingekia surprise mama wa msanii mashuhuri hivyo anagari mpaka Jan dah!!! kawaida sana whats car??? gari ni nn??? bado!

    ReplyDelete
  2. Roho mbaya tu imekujaa.ww umewahi mpa nini mama yako.hata kitenge tu hujawahi mzawadia

    ReplyDelete
  3. sipati picha ndo atakuwa analiendesha au ataajiriwa deleva?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hana uwezo wa kuendesha wala kuajiri dereva. Ni Domo ndio atashughulikia kila kitu. Sana sana atapiga nalo picha na ku post kwenye Instagram....

      Delete
  4. Honger dai!watu wana roho mbaya eti gar nin?ww hujawah hata kumununulia mamako dala!shtuuu!kanitangazeeeeaa!song mbele dai ucwasikiliz wavimb macho!hawat kusem lakin kimoyon wanakukubal!big up dai

    ReplyDelete
  5. Wee Domo acha ujinga na ulimbukeni. Zawadi ya maana ambayo ungempatia Mama yako ni kumpiga Shule.Aende akafute ujinga. Kwa sababu tunachojua ni kuwa Mama yako hajaenda Shule. Pamoja na miaka yake 55 bado ana muda tosha wa kwenda kufuta ujinga. Sasa umempa hilo gari wakati kuendesha kwenyewe hajui. Hajui hata sheria za barabarani na hii ni kwa sababu hajaenda Shule. Bado hajachelewa sana mpeleke shule. Hapo atakushuru sana kama ni Mzazi wa maana na anayejali Elimu. Sana sana na hilo Gari ataishia kupiga nalo picha na ku post kwenye Instagram kama malimbukeni na watu wengine wasiokuwa na Elimu zao hufanya. Halafu ukae ukijua hayo Magari ya anasa katika Nchi hizo za Kimaskini ni gharama sana. Sijui mafuta, spare parts, mara gereji kwa fundi ni bora ungemnunulia trekta akalime. Kwa sababu na uhakika huyo Mama hana uwezo wa kulimudu hilo Gari. Ukiishachoka kuwakatia watu viuno kwenye majukwaa magari yote hayo yataishia juu ya mawe......

    ReplyDelete
    Replies
    1. ye mwenyewe shule hajaenda eti ampeleke mama yake

      Delete
  6. Naona Kicheche/Wema hakucheza mbali. Kama ilivyokuwa kawaida yake ya kujipendekeza. Na wasiwasi kama hakucheza kigodoro pale.....kwa sababu huyo Kicheche ni mcheza Kigodoro kwisha habari yake......

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mwezi wa ramadhani kigodoro kando kidogo.

      Delete
  7. Huyo Kicheche mcheza kigodoro mpaka anatia na huruma......

    ReplyDelete
  8. we apo juu una roho mbaya.kuna namna nyingi za kujifunza sio lazima ukalie madawati.kinacho kuuma wewe in nin? mbona mamako mwenyewe hajasoma?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe unamjua Mama yangu Mbweha wewe. Nani kakwambia Elimu inapatikana chini ya miti. Juha mkubwa weee

      Delete
    2. Achana nae wala usipiteze muda kujibu,WIVU.COM mtasaga chupa mwaka huuu

      Delete
  9. Lazima Domo aelewe hili. Kuingiza vitu vya anasa na gharama katika Nchi ya Kimaskini kama Tanzania ambayo Miundo Mbinu yake ni mibovu na feki ni upotevu wa pesa na rasilimali kwa ujumla. Ni bora hiyo pesa angeenda kimya kimya huko na kumfungulia akaunti amwekee hiyo pesa. Wakati huo huo anatafakari vitu gani vya muhimu vya kuifanyia. Labda kufungua bwawa la kufuga samaki. Ama hata kuwekeza kwenye Kilimo na Ufugaji. Hilo ndilo tatizo la kutokwenda Shule. Unaishia kuwa limbukeni fulani hivi. Mimi nadhani huyo Domo anaulimbukeni fulani katika Maisha yake ukichanganya na ushauri anaoupata kutoka kwa huyo Kicheche mcheza kigodoro ndio kabisaaaaa ulimbukeni mara million........

    ReplyDelete
    Replies
    1. Jamani binadamu tuna wivuuuuuuu ndio maana twazidi kuwa masikini,hongera dai Mungu akuzidishie tunza mama yako utabarikiwa

      Delete
  10. Hongera diamond,nimependa sana '' Nani kama Mama''
    Na baba unatakiwa umkumbuke hivyohivyo dogo.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hongera sawa haikatazwi. Lakini kwa trekta la kulima na kuinua uchumi wa Nchi.

      Delete
  11. By the way kama angempatia Mama yake hiyo zawadi kimya kimya angekosa nini. Hilo ndilo tatizo la kutangaza vitu vyako binafsi kwenye magazeti na mitandao. Ni Lazima Watu wakae chini ku discuss.

    ReplyDelete
  12. WATANZANIA WENGI MAKUMA ULITAKA AMUNUNULIE MAMA AKOO HAYO MABWAWA YA SAMAKI SI UMFUNGULIE MAMA AKOOOOOO YY KACHAGUA KUMPA MAMA YAKE GAR NA WW FUNGUA MASHAMBA MAMA AKO ALIME KM UNA PESA KUMANYOKO ZAKO WIVU UNAWASUMBUA KABISA HT AIBU HAMNAZOO YAONE MADUME MAZIMAA YAMEKALIA DIAMOND DIAMOND MOEN MAMA ZENU AWATOMBEE

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kimekuuuumaaaa mshenzi weeee...mpaka Unaishia kutukanatukana......leta hoja Mbweha mkubwa weeee

      Delete
  13. Dah wabongo bwana!!! Wivu tuu zawadi n zawadi tuu n kibongobongo hlo n bonge la zawadi

    ReplyDelete
  14. Wabongo roho mbaya mwacheni amjali mamaake nyie ndo wale msiojua thamani ya mama,unaanza kuleta mambo ya nchi maskini kawaambie viongozi wako mafisadi huyo diamond inamuhusu nini mwacheni maisha yenyewe mafupi,na we wa elimu unafikiri kila MTU alizaliwa kusoma tu,na umriwenyewe 55 maisha yenyewe kkufikisha Sabin Bahati unamsomea nani ssa muwe mnafikiria kwanza alaaaaaaa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Anonymous 2:04 PM Sio suala la roho mbaya. Ni sehemu ya ushauri tu. Na ni kweli sio lazima iwe Elimu pekee. Kuna mambo kama Kilimo na Ufugaji. Kwani pia ni sehemu ya kutanua wigo wa ajira kwa miongoni mwa mamillioni ya wa Tanzania wasiokuwa na kazi wala elimu. Ni lazima pia ukumbuke dhana elimu haina mwisho regardless of the age. Ni lazima waTanzania tujifunze kuwa optimistic. Tusije ishia kama Taifa la watu waliokata tamaa na maisha.

      Delete
  15. wabongo roho mbaya zinawauwa....nyie mnao msema chibu hamna lolote mkaka anaempenda mama ake ..mwacheni pimbi nyie...tena wema ndo mumkome kabisa kicheche lakini hamlishi hamvishi..pimbi nyie

    ReplyDelete
  16. Wapi K.....................?

    ReplyDelete
  17. Wivuuuuuuu mama dai aende darasani kutafuta nini mambwa nyie wivuuuuuu pelekeni wamama zenu darasani sio bi Sandra ,kwa shida gani aende shule?mbwa nyie wivu utawauaaaa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wanaona AIBU awatunzi wazazi wao ndo maana wanaandika USHUZI umu Bravooooo Naseeb,keep it up!!!!!!!!

      Delete
  18. WEWE NDIO MASKINI (SEMA MIMI MASKINI ) USISEME NCHI MASKINI WATU NDIO MASKINI NA WEWE JITAHIDI UFIKE HAPO SIO KUPONDA (1:03PM)

    ReplyDelete
    Replies
    1. Jamani acheni matusi na ubishi kila mtu afanye kile roho yake inamtuma mradi isiwe dhambi ama kuvunja sheria as longer as mfuko unamruhusu.

      Delete
    2. Anonymous 3:19 PM ni lazima ujue na ujifunze tathmini na maana ya Nchi maskini Duniani na wanaposema Nchi tajiri Duniani. Unaposema Wananchi ni maskini huo ni mjumlisho wa yote yaani Nchi na Wananchi wake. Kuna vigezo vingi tu vinavyodhibitisha umaskini wa Taifa la Tanzania pamoja na watu wake. Sasa wewe unapozungumzia unafuuu wa mtu mmoja mmoja katika mazingira ya aina hiyo sijui una maana gani. Tusijipe moyo sana kwa mambo yasiyokuwa na kichwa wala miguu. Ni lazima tuwe na dhana endelevu kama Taifa kwa ujumla na sio ushabiki wa mtu mmoja mmoja. Kama uko katika hilo kundi la watu wenye nafuu basi ni lazima mjielewe you're just minority, but majority of citizens are still in poverty.

      Delete
    3. We nawe hebu kahubir kanisani huko nchi maskini peke yk maskini

      Delete
  19. Safi ila ingekuwa safi zaidi kama na mama wema angekuwepo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Aaaaaaahhhhh Mama yake Kicheche atakuwepo kivipi?? Huyo alimshatupia laana huyo Domo long time ago. Na ninadhani kilochobakia saa hii pengine ataenda kumsomea na Albadili. We acha tu.

      Delete
  20. Kila mtu afanye kitu roho yake inapenda mradi avunji sheria wala hatendi dhambi after all Diamond moyo wake umechanua ya kwenu imechuchumaa na mastress.

    ReplyDelete
  21. Nana huko wapi leo?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad