Kwa Kile Kinachoonekana kuwa kuna Beef kati ya Diamond na Ali Kiba ya Kimuziki , Baada ya Ali Kiba Kuojiwa na Kusema Kuwa hata Kaa Aongee na Diamond..Diamond Ameandika Kwenye Insta Maneno Ambayo yanaonekana ni Jibu lake kwa Ali Kiba:
"Tatizo lako wewe unawaza kushindana na mimi ili nishuke... Wakati mwenzako nawaza kushindana na watu wa Mataifa Mengine ili nilete Sifa na Heshima nchini Kwetu"
We domo acha kujipaisha uwezi shindana na hao WA nje wakati lugha yenyewe ujui. Mziki Wako WA kiswahili tunauckiliza cc east Africa. Acha kujigamba ni upuuzi mtupu!
ReplyDeleteDomo sorry come again kwikwikwiiiiiiiii na kitorondo chako tungoma twakitoto.minapenda jitihadazako unajitahidisana nivizuri ilangoma nzuri kwako ni kesho tu hizo nyingine kawaida sana kwavdeo umejitahidi ilahazichezeki kama zawenzio.ndagushima ni bonge langoma nalinachezeka sasa.nyimbo zakitoto punguza hazichezeki kivile domo.kiba mumuache mnamchokonoa sikuzote yukokimya namkubali kiba hata akitoa nyimbo nauhakika ita hit manasiwakukurupuka.
Deletehawez kushindana kvp? Ally Kiba aseme ni msanii gani wa nje aliyefanya naye collabo ukitoa ile project ya R. Kelly. mimi ningekuwa Kiba ningefanya kazi iongee sio maneno tu , kama una uwezo zaidi ya diamond basi toa vitu watu waone usikalie historia oooh zamani hv hata diamond kajulikana juzi tu but kujituma siku zote kunalipa Kiba asikalie sifa za mitandaoni wkt mwenzake anapiga hela. nenda studio utoe kazi ya maana tukusifie
ReplyDeleteHuyo mtoto amezidi gubu. Nini kinachomfanya asifanye hits nyingine mpaka wa leo hii?? Kila siku ni maneno tu wakati mwenzake Domo anafanya kazi zinazoonekana. Ali Kiba jaribu kuerevuka acha mambo ya kijinga kama mwanamke. Au umekuwa Shogaaa tuambie.....
ReplyDeleteMswahili aach uswahil,,,kho kho kho,,,anashindana na WA nje au ndio kashindwa,,,hahahahahahah,,,ajifunze live performance maybe ndio aseme anashindana na WA nje,,MUFUS
ReplyDeletekiba fanya mambo bas tuone cyo maneno tu
ReplyDeletekiba nenda studio ufanye kazi tukucfie. gubu halisaidii
ReplyDeleteMpaka uje uwashinde wa sanii wa njeuna miaka 109 mbele yako, bado sana angalia hao wanaijeria wanaimba nyimbo zao kwa kingereza pamoja na acsent yao, sasa wewe nani utashindana nae kwa kiswahili?kuna mgana katoa wimbo I'm I wrong, Redio zote zinaupiga wimbo wake U.S.A wewe hata my number one ulio mshirikisha Davido haujawahi kupigwa, kila la heri na ujipange vema uwashinde hao ulio walenga kushindana nao.
ReplyDeletenyie mnaomponda dai kuwa hajui English, je, nyinyi mnaijua?kama vipi tuonyesheni jamani, ni bora yeye amejaribu, kusema kweli Diamond anajiamin sana, . hivi mnaweza niambia nani mwingine amejaribu japo robo tu kufanya kama alivyofanya yeye? kiukweli hata nyie mnaomsema, hebu jiulizen, why hamjulikani kama Dai, angalao tu kuongelewa mitandaoni kama yeye? huwa najiuliza sana, sijapata jibu. mimi naona hiyo ni kumkatisha tamaa, achene mambo ya kiingereza maana watanzania wengi tuna shida hiyo, isitoshe sio lugha ya taifa. ina maana kama anatokea mtu ana kipaji asijitokeze kisa kutokujua kiingereza?, angalieni jinsi alivyo na kipaji pamoja na kujiamini. nina hakika wewe unayemsema, huwezi hata kusimama mbele ya watu japo 5 ukatoa hotuba., hebu jichunguze, unaweza??? jiangalieni!!!
DeleteNimewapenda Sana wadau 1:44 na 3:57 nyie Ni wakweli, akuna sababu ya kumficha mtu ukweli, domo bado Sana asilewe sifa za kinafki. Kushindana na wanjee kunaitaji ujipange sana c nyimbo zako za vigodoro! Toa sifa jipange.
ReplyDeletehahahaha na english cz aende kwanza
ReplyDeleteYou need to attend one yourself .." english cz " ndio nini...
DeleteMtaishia kumbeza mwenzenu wakati yy hajali maneno yenu hayamzuii tembo kunywa maji go go go daimond huyo ali kiba nakujua kingereza yuko wapi mbona hasikiki?
ReplyDeletehahahe eti anashindania nje wapi ww na nyimbo yako mbya yakitolondo khaaa yan sijawai ona nyimbo mbaya km iyo yan mdundiko watakusifia hao ambao awajui mdundiko lkn sisi walugulu ktk iyo nyimbo akuna ubunifu apo labda sbb anaimba dimond
ReplyDeleteoya wadau so mishe kila mtu atajulikana ktokana na lugha yake,mnasema wAnaigeria wanatumia english mbona wanachanganya na local language lakini wanavuma hata davido mwnyw anachanganya kwhyo so kiingereza ndo kitampaisha diamond,mbona kuna watu wanasikiliza ngoma za ng'ambo lakini hawaelew chochote but mabiti makubwa nn people wanaruka juu nn kwhyo tubadilikeeee skelewu nn ka sio kinaigeria but watu wanaimba kila kona bila kuelew maan yake ,,,,,cku zote nabii hakubaliki kwao so BIG UP DIAMOND Kamua tuuuuuuu mi najua kuna chuki za watu wengine WANAOGOPA KUSHANGILIA HUKU VICHWA VYAO VINANESA.......hao hao unawakuta ktaa wanavisimu vyao wanasikiliza mdogomdogo na Bum Bum halaaaaaaaaa wasafi entertainment
ReplyDeleteMimi nakupendaga sana dai unapiga mzigo mpunga unaingia wao wanabaki na maneno wala hujali.wengi ni wivu tu hamna lolote kwani asipoongea na ww anakusaidia nn!usijali sie mashabiki wako tunakupenda na tunakuombea kheriiii inshaallah.SIKU ZOTE RIZIKI MWANZO WA CHUKI.wanaona gere haoooo umewafanya vibayaaa walitegemea wao kila cku eeh bila kufanya kazi.pumbavuuuu
ReplyDeleteSafiii mwez mtukufu matusi nayo yamepungua,
ReplyDeletedomo msenge tu ulimbukeni unamsumbua kiba yuko juu miaka mia
ReplyDeleteAlikiba Mgonjwa... IMBA TUKUSIKIE sio kutumia sauti yako mtoto wa kiume kuongea tuuu kuhusu kuimba wakati HUIMBI.....IMBA TUSIKIE... na sio zile nyimbo zako za UKUTI UKUTI, MABATA WADOGO DOGO, And all those childish songs...TUNGA NYIMBO IELEWEKE na uache kubana PUA As well...Kuimba nyimbo za kitoto mtu mzima wala HAIPENDEZI....
ReplyDeleteNi kazi sana kushindana na watoto wa kike hahaha,sasa washabiki weeengi wa domo ni watoto wa kike hahaha coz ili uwanase pendeza make sure daily vyombo vya habari vmekutaja jina daily na vihela kidoogo sana hapo utawanasa na dunia nzima itakujua upo coz wao ni wengi sana na kwa walio pita kdogo skuli wanajua kwann,kwa hayo mambo matatu ahh domo kaweza lakini sio gud music hilo lipo wazi ni publicity tu inayombeba domo..Cc c tunawajua tunawanasa tunawakamua na kuwamwaga na sishangai kwa watoto wa kiume inawezekana wana element za kike so wanazmka na diamond khvyo,wengne sio kwamba wanampenda domo ila wanapenda bubble gum music wa domo.
ReplyDelete