Tanzania’s music star, Omary Nyembo, popularly known as Ommy Dimpoz, has urged producers to invest in modern video production equipment as a way of promoting local music production. Besides the guaranteed income, it will also save artists from the hassles of going to other countries to record their music videos.
“Biashara ya video ishaingia ushindani, kwahiyo kuna haja ya kuwekeza kwenye vifaa. Mi nauhakika hapa mtu ana mavifaa kibao unaenda kushoot Lushoto huko noma, wazungu wenyewe watauliza umeshoot wapi. Tuna maeneo kibao Zanzibar wapi wapi wapi ya kushutia, sio kwamba hatuna maeneo, maeneo tunayo lakini hatujawa na vile vitu. Kwahiyo ndo maana hata mtu pia unafikiria ah sijui nishoot Zanzibar, lakini unawaza kumchukua labda GodFather au nani kumleta huku Tanzania ndio mziki.”He said.
This comes after growing criticisms over Ommy’s recent video directed by Nigeria’s Mr. Moe Musa, which was shot in the United Kingdom. He urges local investors to consider investing in music industry as it is a viable business:
“Wadau wanatusikia sie ndio wasanii wenyewe tunasema kwamba muziki unalipa mnaona sasa hivi vijana wenu wanapata shilingi mbili tatu, hizo shilingi mbili tatu mtagawana nao vipi kuliko kwenda kuwapa watu wengine huko nje ya nchi.”
There are other possible benefits from investing in the equipment, Ommy says.
“Halafu mtu utakapoleta vifaa hivyo nauhakika hautaishia kwenye video tu, kuna matangazo, utakodi utafanyaje…Watu lazima waelewe kitu kimoja kwamba hakuna mtu anaependa kujitia gharama kama kuna uwezo wa kuepuka gharama, sio ufahari mi nina vitu vingi vya kufanya sio kwamba nataka tu nikalipe dola elfu 30 kushoot video wakati nina uwezo wa kuokoa hiyo hela labda kulipa dola elfu 15 au elfu 10”.
E!News Kenya.
Biashara ya video imeishaingia ushindani gani wewe acha ulimbukeni. Music videos ni Technology ya long time ago imetumika na wanamuziki mbali mbali Duniani kufanya biashara yao. Sio kwamba ni jambo jipya kiviiileee. Nyie watu wa Bongo flava msituleteee ulimbukeni wenu. Msitake kuwadanganya watu kuhusu Music videos. Kama ni kitu kigeni sema ni kwako wewe Ommy Dimpoz na ushamba wako mbweha weeee.....
ReplyDeleteHalafu huo uhuni wa kutudanganya eti wana invest $30,000 kwenye hizo music videos zao ni uongo uliotukuka. Music videos za huyo Diamond na Ommy sijui Dimpoz ni very cheap. Hazifikii hiyo thamani wanayoitaja hapo. Hiyo ni namna tu ya kutafuta kick hawana lolote. Hizo music videos ni very very cheap tofauti na gharama wanayoitaja. By the way Nchi kama South Africa ambayo imekuwa institutionalised na mambo ya acting na pia ile environment ya ni clean and friendly kwa hizo music videos unakuta ni very cheap kufanya hiyo kazi pale. Music video budget tena kwa video ya maana haiwezi kuzidi $5000. Na ndio kwa maana ma artists wengi wa Nigeria wanakimbilia kufanya kazi zao kwenye hizo locations pale South Africa. Kwa hiyo nyie akina Dimpoz acheni uongo wa kuwatisha watu kwa kutaja hizo gharama kubwa namna hiyo. Huo ni ufedhuli. Hata Tanzania wakileta hivyo vifaa itakuwa kazi sana kupata kazi bora kulinganisha na South Africa kwa sababu ya locations za hovyo hovyo ambazo nyingi ni chafu, na pia sio safe environment na pia sio friendly. Na pia hakuna wale Producers wakali hata Kenya ina afadhali. Acha uongo wewe Dimpoz mbweha weee.....
ReplyDeletenenda shule ukafute ujinga. Halafu nashangaaa kama hizi ndio zile proposals unazozitoa kwa mheshimiwa Rais wa Nchi ya Tanzania na yeye anakubaliana na wewe. Hizo proposals ni pumba tupu zimejaa uongo na hazijafanyiwa research ya kutosha.