Dida Afunguka, Simu Ndio Chanzo Cha Kuachana na Ezden, 'Alinichapa Mikanda', Azungumzia Mpango wa Ndoa Nyingine

Dida Shaibu, mtangazaji wa kipindi cha Mitikisiko ya Pwani amefunguka Exclusively kupitia Sunrise ya 100.5 Times Fm  inayoongozwa na Fadhili Haule na kueleza chanzo cha ndoa yake  na Ezden ‘The Rocker’ Jumanne kuvunjika. Ndoa iliyodumu kwa muda wa mwaka mmoja tu.

Dida ameeleza kuwa mzizi wa tatizo lililopelekea ugomvi mkubwa kati yao ni simu ya mkononi ya mumewe huyo wa wazamani baada ya kutaka kuitumia kucheza game na kugundua kuwa imewekewa password kwa mara ya kwanza katika uhusiano wao.

 “Tatizo kubwa la ugomvi wangu na X-Husband, tatizo kubwa lilikuwa ni simu. Nakumbuka ilikuwa siku ya Jumatano tumetoka kazini. Tukawa tuko kawaida, unajua sisi huwa tunataniana sana. Kwa hiyo aliacha simu yake kitandani, unajua mimi huwa nacheza game kupitia simu yake. Kwa hiyo mimi nikachukua simu yake nikakuta ameweka password kitu ambacho sio cha kawaida. Kwa hiyo mimi ikabidi nimuulize…nikamuita, tulikuwa tunaitana ‘mshikaji wangu mshikaji wangu’. Kwa hiyo alikuwa yuko bafuni anaoga, kwa sababu nyumba ni self-contained, kwa hiyo nikawa namwambia ‘duh mshikaji wangu mbona umeweka password?’ yaani kama utani tu, akaniamba ‘aah we iache simu yangu’.” Dida ameiambia Sunrise ya Times Fm

Amesema Ezden alishikilia msimamo wake kutomuonesha password kitu ambacho kilimpa hisia na wasiwasi kuwa huenda jamaa anamsaliti (anamichepuko) ameficha kupitia simu hiyo na kuanza kuongeza nguvu ya kuomba apewe password ili aondoe wasiwawasi wake lakini hakufaulu zoezi hilo.

Ameiambia Sunrise ya 100.5 Times Fm kuwa kitu kilichomfanya afikirie kuwa ameonewa kwa kunyimwa password ni uhuru aliokuwa nao mumewe huyo wa zamani kupitia application za kidijitali.

Amesema Ezden alikuwa na uwezo wa kuona kila kinachofanyika kwenye simu ya Dida hata  kupata jumbe zinazoenda kwenye simu ya Dida kabla mwenyewe hajazipata

“Simu yangu anauwezo wa kushika akakaa nayo, simu yangu anaweza kushika akadownload vitu vya kuweza kufatilia Dida anaenda wapi, Dida anafanya nini. Messages zangu za WhatsApp alikuwa anaweza kupata yeye kabla yangu mimi. Na kingine kikubwa ni kwamba alikuwa anaweza kudownload maongezi ambayo naongea na watu. Lakini hajawahi kukuta maongezi mabaya na watu….Nikiwa Kawe simu yake inamuonesha kuwa Dida yuko Kawe.” Ameeleza.

Hata hivyo, ametaja kuwa wasiwasi wa mumewe huyo wa zamani na mabadiliko yake katika matumizi ya simu yalitokana na ujumbe ambao alikuwa ametumiwa na mwanaume ambaye kwake yeye ni mteja.

Lakini ujumbe huo haukueleweka vizuri kwa sababu kuna kitu anadhani kilimiss kwenye ujumbe huo kilichosababisha ieleweke tofauti (Kama mtu anaechepuka nae).

Ameeleza kuwa alipoendelea kuomba zaidi password na hali ya kutoelewana kuongezeka akajikuta akipigwa vibao na hapo mambo yakazidi kuwa mabaya kwenye uhusiano huo.

“Alinipiga kibao, sio kibao tu, Vibao vya uhakika….baada ya kupigwa mimi nilishikwa na hasira kwa sababu alinipiga na baadae akaona kibao hakitoshi. Akachukua mkanda, mkanda huu wenu wa suruali lakini ulikuwa mzito akawa ananichapa nao ‘kwa nini unataka kupishika vitu vyangu’.

Anasema kutokana na kipigo hicho aliumia kichwani na kuelekea hospitali, lakini aliporudi nyumbani alikuta mwenzake ameshachukua vitu vyote alivyokuwa anavimiliki (alivyoenda navyo).

Alipoulizwa nani alimuacha mwenzake:

“Sitaki kusema nani kamuacha mwenzake kwa sababu mimi ndiye niliomba divorce. Katika maisha ya mwanadamu wanasema mwanamke hauwezi kumuacha mwanaume ila mwanaume anaweza kumuacha mwanamke. Lakini mimi nahisi kama tumeachana.”

Katika hatua nyingine, Dida aliulizwa kuhusu mpango wake wa baadae katika uhusiano wake kama ana mpango wa kuolewa tena.  Alisema hana mpango huo kwa sasa.

“Kwa sasa sina mpango wowote wa kuhusiana na suala la ndoa. Yaani sina na sitegemei. Na kama kuna mtu anafikiria kwa sababu napata maombi mengi sana. Washindwe na walegee. Kwamba labda naweza kusema mwenyezi Mungu amenijalia kuwa nabahati hiyo…Sio kupendwa yaani tuseme, unajua binadamu anakupenda mwingine anakujaribu. Sasa hivi watanifuata wanaume wengi sana kila mmoja atakuja kwa sampuli anayoijua yeye. Huyu atajifanya yeye ndiye ana mahaba kuliko Yule. Mwingine anasema ‘atapigaje mwanaume?’ kumbe yeye ndiye mdundindaji kwelikweli kuliko hata yule.

“Sitaki kuja kujutia maisha yangu, sitaki kuja kujutia maamuzi yangu. Huwa nafanya kitu kwa kuangalia mbele zaidi. Mimi nina biashara zangu, nina maisha yangu. Namshukuru Mungu amenijalia mtoto mmoja. Kwa hiyo nahitaji mtoto wangu awe na maadili fulani hivi ambayo ya kusema kwamba huyu ni mama..nahitaji kumsomesha, nahitaji awe hivi. Lakini sitaki mwanangu asipate matatizo haya ambayo labda mama yake nimepitia. Lakini hii yote nasema ni ujasiri. Nasema Mwenyezi Mungu labda ananionesha njia.”
Source:Times FM

Post a Comment

24 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Inaelekea dada unatabia mbaya sana

    ReplyDelete
  2. dida huna uzuri wowote, alafu mpimage na ukimwi maana duh umezichezea sana mboo

    ReplyDelete
  3. huyo mume wa nne utakaye pata asikurupuke akakupime ngoma,na hiyo ndoa iatadumu wallahi wanaume washakuona wewe ndo una weakness watakufanyia visa ile wakutie shombo,utafute ndoa ya tano.

    ReplyDelete
  4. hapa unafikiri dida anaelezea kuhusu ndoa?anatutaarifu kwamba yeye na edzen wana simu za maana,mimi nimesomea psychologia.nyoooo,kila mtu anasimu za maana bibiwe.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Exactly. Anajaribu kutuonyesha yeye ni mtu standard wakati ukweli wa mambo ni mtu feki tu. Mswaziiiiiiiii sijapata kuona. Hako kasimu na ile Technology anayojaribu kuielezea hata havilingani. Yaani huyu demu ni shombo sijapata kuona. Sura yenyewe mbaya.......

      Delete
  5. Yan akiyamungu uyu mdau 1.57pm utasema ulikuwa kwenye ubongo Wang mana apo nnacho kiona in menu za kwenye cm sjui Kuset SMS zangu sjui whatssap sjui ananiona Niko WAP full kujipraud yan mdau idi nakualika kwangu umeniacha hohiiiiiiii!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwa kweli mdau tualikane hiyo Idi kwa sababu hata mimi ameniudhi. Hizo Apps za hizo Androids ni very common and simple. Sasa the way alivyoji pretend kuelezea is even if ni zinga la expert kumbe ni shombo tupu hana lolote. Sura limemvimbaaaaa kama sijui dubwasha gani......

      Delete
  6. Eti chanzo ni simu, mbona hukuzungumzia kuhusu Big Brother, pia hukusema kuhusu ulevi wako wa pombe mpaka unajitapikia. Umeumbuka safari hii, Ezden ametusaidia kuzijua tabia zako chafu!!

    ReplyDelete
  7. Hiyo sio bahati ya kuolewa na kuachwa, hiyo ni radhi ya mumeo wa kwanza "Mchopanga", utaishia kuchezewa na wanaume mpaka ukaombe "poo" kwa MCHOPS malaya mkubwa weeeeeee!

    ReplyDelete
  8. maisha ya mwanaye yatakuja kuwa kama yake.ushenzi mtupu.iyo kuma mpaka itachacha

    ReplyDelete
  9. Nimemsikiliza mpk mwisho wamaongezi yake muongo coz ukweli wote kauficha eti kuachana.kumetokana na cm hana lolo te Malaya tu

    ReplyDelete
  10. Kama hujaamua kutulia kwanini unataka kuolewa endelea kubadilisha mboo mpaka zikutoshe zikishakutosha ndio uolewe stupid unafikiri sifa kuolewa na kuachika?

    ReplyDelete
  11. huyu binti msenge

    ReplyDelete
  12. Pyuuuuuuuuuu Dida acha hizo ndoa tatu? Nadhani wewe ndio unawahonga wanaume,wakishakujua huna lolote ndipi wanatoka mdukiiiiiiiiii poye

    ReplyDelete
  13. Pelekeni utoko ninyi wote hapo juu! Mfyuuuu kujifanya watakatifu kumbe wote mna max wanaojaza yutong zaidi ya mbili!
    Eti hutaolewa, ninyi nani mumpangie kwa usafi gani mliokuwa nao? Leave Dida alone!

    ReplyDelete
  14. Wengi hapa ni minungayembe hata pete za kudanganyishiwa April fool hamjawahi pewa!
    Dida ana ndoa 3 ninyi mnasubiri mpaka makunyanzi kujifanya perfect! ptuuu

    ReplyDelete
  15. NILIKUWA NA KUONA WA MAANA DIDA ..KUMBE MPUUZI ''WEWE NA MANGE NI SAWA TU ...YANI UNAWEZAJE KUOLEWA NA MWANAUME KAMA YULE KIJANA WA WATU BADO MDOGO WEWE MKUBWA KUMZIDI ALAFU SIJUI UNA PESA KUMLIKO ALAFU UMDHARAU ? YANI MADHARAU YAKO NDIYO YALIYOKUSABABISHIA HIZO NDOA ZAKO KUVUNJIKA..Mwanaume huheshimiwa na kubembelezwa kama mtoto bibi ee'' alafu umesema UWONGO MTUPU '' Hivi huwezi kujiuliza ni KWANINI USICHEZE GAME KWENYE SIM YAKO HADI UKACHEZE KWENYE SIM YA MMEO NA HUKU USHAJISHAUWA MNA MASIM ZA MAANA''? Na huwa siku zote mnaambiwa MSIINGIE KWENYE SIM ZA WAUME ZENU '' HATA KAMA NI KUCHEPUKA ATACHEPUKA NA SIM AKIWA ANAIWACHA NYUMBANI KILA ANAPOTOKA UPO BIBI ? WANAWAKE MPO HAPO? MWANAUME KAMA AMEKUPENDA HADI KUKUOWA BASI UJUE UNA MAJUKUM YA KUTULIA KAMA MKE WAKE NA SIYO BADO KAMA KICHECHE'' Nimekusikiliza hadi mwisho alafu nikatamani nikuulize hayo maswali '' na je mbona big brothers hujawataja au wachakupiga chini maana hawakutaka kuharibiwa show yao ? na kingine JE NI MARA YA KWANZA Ezden kukupiga au kesha kupiga tena ? na je ulitoa malalamishi hayo kwa wasimamizi wa ndoa yenu pamoja na wazazi ? YANI NINA MASWALI MENGI SANA YA KUKUULIZA ''BUT NAKUONA MJINGA HATA KUJIBU HUTOWEZA'' WEWE ENDELEA KUTAFUTA VIJIJANA MAANA MALI UNAYO '' LAKINI UJUE USIWADHARAU NA SIM ZAO USIINGIE MLE KABISA''

    ReplyDelete
  16. pole zako dida huna lolote na kujielezea hata huwezi ,wacha kuwadaharu wanaume ndio maana ukaachika ndoa 3 '' alafu wasema sijui hamjaachana ''yani wewe hujaona mbuta nanga' Instagram yake''KAMCHUKUA in shiloles voice''mbuta nanga mama wa ulaya hebu kuja umchukue ezden tena mwafanana'ndukiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii''

    ReplyDelete
  17. mbuta nanga!!

    ReplyDelete
  18. Edzen Wa joketi.

    ReplyDelete
  19. Dida unatuzalilisha kwa kweli jirekebishe tulia maisha yasogee rusha roho taratibu tena nyuma utizame ushachafua fanya namna utakate hivyo sasa ipendezi

    ReplyDelete
  20. naona kweli ezden ni wa mbuta nanga'' na wewe mdau hapo juu umenichekesha kweli 'eti wana fanana'' ezden changamkia mtoto wa kichagga hutopata shida tena huyu ni wa uzunguni kwenyewe'ama kweli watu wana bahati zao 'mimi ningekuwa wewe ningepanda ngege bila sanduku ''kiruuu..

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad