DK. Willbroad Slaa "Sifikirii kuelekeza nguvu zangu kwenye kuwania urais 2015 wapo watu wengi wenyesifa ktk kundi la UKAWA.Kila kitu kitafanywa kwa wakati muafaka, kazi iliyopo mbele yangu ni kupigania umoja wetu wa UKAWA ili kuleta ushindani wa kweli katika uchaguzi 2015.
Akizungumzia hatua ya UKAWA kususia Bunge Maalumu la Katiba Dk. Slaa alisema umoja huo uko sahihi kwani umesimama upande wa wananchi, niaheshimu uamuzi wa Viongozi wangu Mh Freeman Mbowe Prof Ibrahim Lipumba na James Mbatia.
UKAWA imebeba maoni ya wananchi na suala la kutengeneza Katiba sio suala la rais, serikali wala chama chochote bali ni la wananchi.
Serikali ina viongozi vigeugeu kwa sababu ni wao ndio waliosaini rasimu ya Katiba mpya, lkn cha ajaabu wao ndio wanageuka na kutaka yajadiliwe mambo ambayo hayamo ndani ya rasimu ya Tume ya Jaji Joseph Warioba."
Mm nataka serikali moja tuu....
ReplyDeleteHongera sana doctor slaa Mungu akuzidishie hekima umewaonyesha mafisadi na waroho wa madaraka ya kuwa uko kwa ajiri ya kutumikia wananchi mwenyeenzi Mungu akuzidishie inshal amen!
ReplyDeletewakutumikia wananch uyo kchaa haipo iyo ata akgombea atapata kur kaskazn tu zon zngn hapat ata kwa daw mweh uyo
ReplyDeleteKacheze na wajukuu...au katumikie tena kanisani ..hatutaki tena kuongozwa na wazee na sisi vijana tunataka kushika dola..
ReplyDeleteMmeongozwa miaka 52 mpaka leo mmepata maendeleo gani zaidi ni mafisadi yanayotafuna nchi tu!watanzania wengi upeo wa kufikiri ni mdogo sana!na mtaendelea kutawaliwa na mafisadi mpaka mnye shenzi type!
ReplyDeleteHuyu baba sijui kwanini anapenda malumbano, Tena akibeba nchi huyu tutakua tunalindwa na UN maana ni zaidi ya boko h huyu, bora hâta asimame nyepesi kabwe au makomeo (magufuli) Kama akikubali kuwa chd
ReplyDelete