Ndugu zangu katika hali ya mazoea ni nadra kusikia mwanaume akijisifia kuwa kamfikisha mwenzi wake bali wengi hujisifia wamefika kati ya mara 3 mpaka 5, wengine wanathubutu kusema wamefika mara8.
Niliwahi kusoma kitabu cha tendo la ndoa, tafiti za mtunzi wa kitabu kile zilionesha kuwa kati ya wanawake asilimia 100 ni 35 tu wanaofika kileleni na 75 hawafiki mpaka ukomo wa uhai wao. Hii inatokana na ukweli kwamba wanaume wengi hawajui jinsi ya kuwaandaa wenzi wao yaani kuanza na kumaliza, badala yake wanajijari wenyewe. Yaani mtu anakula hajui kama na mwenzake anahiji ashibe.
Je tunahitaji elimu juu ya jambo hili ili kutimiza wajibu wetu?
dats tru
ReplyDeleteUtafiti alifanya nani? ni mwanasayansi au mwandishi wa habaru tu, sample size ni nini?? sampling population ni ipi? ni siasa tu hamna sayansi hapo
ReplyDelete