EXCLUSIVE!! Irene Uwoya Afunguka Juu ya Tuhuma za Kufanya Fujo Nyumbani Kwa Mume wa Mtu!

NYOTA wa sinema za Kibongo, Irene Uwoya amefunguka juu ya tuhuma za kufanya fujo nyumbani kwa mume wa mtu zilizoripotiwa na mitandao mbalimbali ya habari nchini hivi karibuni.

Akizungumza exclusively nasi, Irene amesema kuwa haelewi hizo tuhuma zimetoka wapi na wala hajui aanzie wapi kuzijibu maana siyo yote yaliyoripotiwa ni kweli.

Tuhuma hizo zilidai kuwa, mwanadada huyo mrembo alienda kuleta timbwili nyumbani kwa mume wa mtu huyo baada ya kusikia kuwa jamaa huyoa ameamua kuoa na kumoiga chini Irene aliyekuwa akitoka naye kipindi cha nyuma.



 “Uwoya alitegemea angeolewa yeye, sasa kusikia jamaa kaoa mwanamke mwingine tena kwa siri, ilimfanya aishiwe nguvu,” Habari hizo ziliriripoti.

Habari zinazidi kudai kwamba, alichoamini Uwoya ni kwamba kitendo cha mwanaume huyo kuoa kingemfanya yeye aendelee kuwa ‘nyumba ndogo’ jambo ambalo hakupenda kulisikia hata kidogo.

Akifafanua tukio hilo Zaidi uwoya alisema.

“Ilitokea, lakini nilishaachana naye. Unajua ishu si kwamba angenioa mimi, ila kitendo alichokifanya hakikuwa cha uungwana,” alisema Uwoya.

Quote of the Day:
Believe in yourself! Have faith in your abilities! Without a humble but reasonable confidence in your own powers you cannot be successful or happy.

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mpenda hela ww na utatombwa ww na kila mtu hata mm mwenyewe naahidi kukutomba..mbwa ww

    ReplyDelete
  2. Sasa wewe hapo juu mwenzio kusema hivyo ndio umekuja juu na matusi ya bila sababu!duh kaazi kweli kweli una coment huku una stress za maisha!

    ReplyDelete
  3. Irene mchumba wako msami wapi tena?

    ReplyDelete
  4. Kweli oyu apo juu ana stress za kufa mtu make ukilinganisha matus alomwaga na mada yenyewe tofauti kabsaaaaa

    ReplyDelete
  5. my lovely cster/////////////////

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad