Flora Lymo Amnanga Wiliam Malecela Aka Lemutuz Kwa Kulazimisha Kupiga Picha na Mademu

LEMUTUMBAZ'' BILA HATA AIBU KAPOST HII PICHA YAKE YA PAMOJA NA SHILOLE KWENYE KILE KIBLOGNUKA CHAKE'' AIBUUUU'' SASA WEWE NA AKILI ZAKO TIMAMU UTAPOST VIPI PICHA KAMA HII? NA KUJIRINGISHIA YOU ARE LIVE''' AND SO ON AND ON? IKIWA WATU aka MABEBEZ WAKUJILAZIMISHIA PICHA ZA PAMOJA HAWATAKI ''WEWE KAJIDONDOSHE BAHARINI''MBUTA NANGA'' NI SHIDA!!YANI HAPA HII PICHA HAITAKIWI WALA NIIONGEZEE MANENO MAANA INASEMA WAZI KWAMBA SHILOLE HATAKI KUMSIKIA WALA KUMUONA NA TENA PICHA HII ALIDHANI KWAMBA ANGE DELETE MAANA KAFUNGA MACHO''LAKINI MLAZIMISHAJI YEYE BADO BILA AIBU KAIRUSHA LIVE MITANDAONI '' ILI MRADI AONEKANE NAE YUMO'' ACHIANGAZI BABU TAFUTA NAMNA YA KURUDI MAREKANI UKATUNZE MKEO NA WATOTO ''ULOWAKIMBIA KULE'' YANI NI LAANA TUPU LIJIBABU KUKIMBIA WATOTO WAKE ALOWAZAA''I WONDER WHO WILL EVER TAKE THAT SERIOUS RISK YAKUOLEWA AU HATA KUZAA NA WEWE JIBABU LAKUKIMBIA WATOTO WAKE'' HUKU HATA KAZI HALINA NA BADO LINAISHI KWA BABA '''KYINDO KYA KITE MCHO''
FLORA LYIMO FASHION POLICE BLOG

Quote of The Day:
Don't judge each day by the harvest you reap but by the seeds that you plant.

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nonsense.Hivi blogger umekosa stori za maana?ebu tuwekee stori za Wema Sepetu .

    ReplyDelete
  2. Wema Sepetu hongera kwa kumfundisha mumeo kiingereza nimemsikia BET award akitema Yai,hongera Domo.

    ReplyDelete
  3. Kindo kya kite mcho nimeipenda hii uyu mpuuzi kazid sana kupenda sifa na wanawake za watu safi sana mbuta nanga kwa kumchambua uyu hayawani

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad