Ndugu zangu Watazania wenzangu ''kwanza Huu ni Mwezi mtukufu wa Ramadan kwa wale wenzetu Waislam '' napenda kuwatakieni Ramadan Njema''
Mimi hapa ninayo machache ''juu ya huu mualiko wa kukutana na Waziri wetu Mkuu Mh.Pinda'' Nadhani wengi wenu mnanifaham vizuri sana hasa kwangu Mimi kuipenda Nchi yangu na kujihusisha kwenye Mikutano au chochote kinachoihusu Nchi yangu au niseme Watanzania wenzangu''
Lakini Tangu Habari zangu kutangazwa wazi na gazeti moja maafuru kule Nyumbani Tanzania kuhusu Mimi kubakwa na Godbless Lema Mbunge wa Arusha '' Wengi wenu mlianza kunitenga ,kunidharau ,kutokunishirikisha kwenye Shughuli zenu za Watanzania na Vile vile kunizuia hata ninapokuja kama Watanzania wengine kuhudhuria mikutano yenu kama huu wa sasa hivi wakukutana na Waziri wetu Mkuu 'Ubalozini ''
Yani Wanaofanya kazi mle au niseme pia Viongozi hao Wanakuwa na chuki zao juu yangu na maisha yangu 'mbali na kilichotukutanisha pale na vile vile kazi yao waliyo pewa''
MNAMO MWEZI WA NANE MWAKA 2013
Waziri mkuu Mh.Pinda akiambatana na Mkewe walikuwepo hapa jijini London na kulikuwa na mkutano Ubalozini wa Watanzania waishio UK kukutana nae'' Mimi sikuwa na habari hizo '' Ila Dula langu kwa bahati nzuri lipo karibu na Ubalozi wa Tanzania UK House''
Na nilipomaliza kazi nikawa najiendea zangu kukutana na Rafiki yangu ambae nae alikuwa in Town '' Nikakuta watu wengi wengi wamesimama Nnje ya Ubalozini ''Ndipo nikapitia kuuliza kuna nini ? Yani huwa siyo kawaida kuona Watu wengi pale ''Mimi hupapita Kila siku'' Nikauliza na nikaambiwa ni Waziri wetu Mkuu yupo hapa leo '' Basi nikampigia Rafiki yangu sim nikamuambia anisubiri nataka na mimi nimuone Waziri wangu Mkuu labda anaweza kunisaidi matatizo yangu '' Basi nikaingia ndani na kukuta ndiyo wapo karibu kumaliza'' Nikakaa pale na kusikiliza vya mwisho mwisho ''Wakamaliza na kuanza kwenda kupiga Picha za Pamoja'' Lakini Kwa sababu nilichelewa basi nikaona isiwe Tabu wacha niongee na Mama Penda'' Nilipotaka kuongea na Mama Pinda nilianza kuburutwa naanza kuambiwa yani hata kupiga Picha ya pamoja sikubaliwi ? kwanini ? Hata sikuelezwa sababu hizo ''Lakini kwli Ninavyojikubali hasa pale Mtu ananinyima haki yangu ''walahii pale nilipawasha moto ''mliokuwepo I think mnakumbuka what happen on last time'' Hizo Picha hapo Chini mtaona Mimi na Waziri Mkuu na Mke wake kwenye Picha ya Pamoja ''ni baada ya kukataliwa kupiga Picha ya pamoja nikiwa nao kule ndani Ubalozini kama Wenzangu '' Basi nikajua Tatizo lao lilikuwa ni kunikataza nisiseme kwa Waziri kwamba nilibakwa na Godbless Lema'' Wajua nini ? I was this is it'' na mwambia wazi hapa hapa mbele zenu wote'' wakaanza kunivuta na kusema muda umekwisha'' Basi nikamshikilia waziri mkuu'' Kwa Heshima yako Baba yangu ''Mheshimiwa Waziri wangu naomba unisikilize ''Mimi nilibakwa na Godbless Lema 'Na hakuna Mtu anaetaka kunisikiliza na ndiyo sababu unaona wananikataza hata nisipige picha ya pamoja na wewe'' Yani unajua maana ya Kimnya'' Basi watu wote walikaa kimnya na kushangaa''Huku Waziri mkuu akinisikiliza na hakuenda tena Popote 'Yani wale waliokuwa wanamkimbiza kwamba Muda umekwisha''walitamani kujitia vitanzi'' Thats is Maana ya Kiongozi anae faa'' MHESHIMIWA WAZIRI PINDA'' MWINGINE HAKUNA'' YANI ALINISIKILIZA NA AKATOA AMRI KWAMBA'' KESI CHANGU ANAKIKABIDHI AMOS MSANJILA'' WA UBALOZINI ANISIKILIZE NA AMPE MAELEZO YOTE KUHUSU KESI CHANGU ''YEYE ATAKWENDA TANZANIA KUFUATILIA ZAIDI''
Basi Mheshimiwa akaondoka na Mkewe na wakaniachia Hope wakaniacha na furaha hata hiyo picha unaona tunacheka sana ni baada ya kumaliza kumuelezea kuhusu kwangu Mimi kubakwa na watu wote unaowaona Pichani hapo na wengine wenggi hawapo pichani walisikia kila kitu ''na Mariam Mungula nae ndipo akaja kuniambia Pole pale adharani like hajawahi kusikia na wao ni Watu wa CCM tena Viongozi ambao Godbless Lema anadai ndio walionituma mimi kwenye Mkutano wake wa Chadema in London mnamo mwezi wa nane mwaka 2012'' na ADHABU YAKE NI KUNI BAKA'' Ndiyo maana nasema hivi''
WATANZANIA WALIOKO UBALOZINI NA VIONOZI WOTE WA VYAMA VYOTE NI WANAFIKI NA UKIWA NA MATATIZO HAWAKUSAIDII NA HATA WAKIAMBIWA WAKUSAIDIE WATAITIKA NA VIONGOZI WETU WAKISHA RUDI TANZNAIA NI BASI ''UTAZUNGUSHWA MPAKA UTAMANI KUJITIA KITANZI'' ALAFU BILA AIBU VIONGOZI WANAPOKUJA WANA ANZA KUWAITA WATANZANIA WAISHIO UK ''LIKE WANAWAJUA '' YANI HAKUNA ANAE KUJUA KAMA WEWE NI MTANZANIA UNAE ISHI HAPA UK ''
KWA SHIDA AU HATA KWA RAHA''
UNAFANYA KABIASHARA CHAKO HUWEZI KUSIKIA HATA MTU AKINYANYUA HIYO SIM KAMA KIONGOZI NA MTANZANIA MWENYE KUTAKA MAENDELEO YA WATANZANIA WENZAKE ''KUKUPIGA SIM HATA KUKUPONGEZA'' AU BASI TUSEME WAFANYE MIKUTANO YA WATANZANIA WAISHI UK TUKUTANE KWA KUJUANA NA KAMA MTU ANA SHIDA TUJUE TUMSIKIZE NA TUTAMSAIDIA VIPI 'KWANINI MSIFANYE HIYO MIKUTANO YA KUWAJUA WATANZANIA WAISHIO UK NA SHIDA ZAO MBALI MBALI '' WENGINE TUNATAKA KUWASAIDIA NA WENZETU KULE NYUMBANI LAKINI TUNASHINDWA KWA UTARATIBU ULIOPO TANZANIA KWA BIDHAA ZINAZOTOKA UK '' NASEMA UK KWA SABABU Mimi MWENYEWE NATUMA BIDHAA KUTOKA UK KWENDA TANZANIA NA USHURU UTAKAO TOZWA BANDARINI NI NOMAA'''
KWANINI ZANZIBAR HAWANA MATATIZO NA BIDHAA ZINAZOTOKA UK ? YANI MIMI SASA NAANZA KUHAMIA ZANZIBAR '' IKIWA TUNA PATA HUDUMA ZISIZO NA RUSHWA SIONI KWANINI WATU TUSIANZE KUHAMIA ZANZIBAR ''SIYO BURE HATA HAWA VIONGOZI WETU HAWANA HABARI NA HIVI VITU NA NDIYO MAANA WANAPO KUJA HAPA UK 'KUKUTANA NA WATANZANIA WAKAWAIDA WAISHIO HAPA UK ''WATU TUNANYIMWA KUTOA DUKU DUKU ZETU'' NA NDIYO MAANA MIMI HAWATANIONA TENA KWENYE MIKUTANO YAO '' NA WALA HAWANISAIDII KWA CHOCHOTE NA HATA MIMI SIJAWAONA WAKIWASAIDIA WATANZANIA WENZAO KWA CHOCHOTE'' WE NEED KUJIPANGA UPYA ''KWA MIKUTANO YETU KABLA YA KUWASHIRIKISHA VIONGOZI WETU '' HII MNAFANYA KUJIFUNIKA ILI VIAONGOZI WETU WAJUE MNAFANYA KAZI ZENU VYEMA WAKATI HAMFANYI ''TENA WENGI WENU MMECHEPUKA HATARI NA KWENYE BLOG YA FLORA LYIMO MMEIFANYA OFISI ZENU'' KAMA HUJAIFANYA OFISI ''ULIZIPENDAJE PICHA ZANGU ZA CHUPI NA KUANZA KUNIULIZA NI SHILINGI NGAPI ? NAOMBA UNIJIBU AMOS MSANJILA'' NA PILI NAOMBA UNIJIBU TANGU MHESHIMIWA ALIPOKUPA KAZI YAKUNISIKILIZA KESI CHANGU NA GODBLESS LEMA ''UMEFANYA NINI MPAKA SASA HIVI ? NA NI KWANINI MIMI NIKUULIZE IKIWA UMESHASIKIA CHOCHOTE KUTOKA KWA WAZIRI ''ALAFU UNANIPIGA CHINI NA KUNIAMBIA NIANZA KUMTAFUTA MIMI MWENYEWE? SI WEWE ULIPEWA HIYO KAZI TENA LIVE WATU WAKIWA WANASIKIA ? SASA LEO UNATAKA NIJE TENA HAPO UBALOZINI NIANZE KUBURUTANA NA NYIE? SASA NAKUAMBIA SITAKUJA NA WAZIRI MKUU NITAMSUBIRIA APO MLANGONI ''MBUTA NANGA'' MNANISIKIA TU'' MIMI NAISHI KWA SASA HIVI NIKIWA NA HASIRA SANA ''NI VILE HAMJUI LAKINI SIKU ZIKILIPUKA ZA KICHAGGA 100% NDIO WALE MNAO NIITA CHIZI MTAONA UCHIZI WANGU'' JAMANI NI HAYO TU'' MIMI NA HASIRA ZANGU HAPA NA NA SEMA HIVI''
MSIENDE HUU UKUTANO NI WAKUFUNIKA BOVU''SASA WEWE KAMA NI TEAM FUNUA BOVU aka TEAM FLORA LYIMO MAENDELEO '' USIENDE'' WAACHE WAKAE NA WAZIRI MKUU WENYEWE WAMUELEZEE NI KWANINI WATANZANIA HAWAJAENDA? ?? I THINK HAPO WAZIRI MKUU MH.PINDA ATAPATA PICHA KAMILI '' HAWASIKILIZI WATANZANIA NA MATATIZO YAO '' WAKATI HAMPO MHESHIMIWA WAZIRI NA MHESHIMIWA RAIS WETU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA'' WE NEED YOUR HELP '' BAADHI YA VIONGOZI MNAOWATEUA NI MICHEPUKO ,WASHINDA MITANDAONI (BLOGS SEXY ) KAMA ZA FLORA LYIMO FASHION POLICE BLOG, NA WANAFIKI WAKUBWA''
NIMEMALIZA MWENYESHIDA ANIPIGIE SIM '07787471024 AU WHATSAPP +44 7787471024 EMAIL :flo1974@btinternet.com
PIA NAOMBA KUSEMA HIVII'' SAY NO TO RAPE NA UNYANYASAJI '' KWA WANAWAKE NA HATA WANAUME ''
FLORA LYIMO ''
Source:Flora Lyimo Blog
Quote of The Day:
I hope everyone that is reading this is having a really good day. And if you are not, just know that in every new minute that passes you have an opportunity to change that.
Haaa umebakwa or umembaka kaka yetu Lema ! Tafuta kiki ingine sisi waTz Wa Uk hatukupendi unakielele unataka usuper staa nenda TZ utapata sio hapa UK pole yako
ReplyDeleteyani huyu dada ni mburula plus ujinga, alibakiwa wapi na huyo lema? lema nae hivi ni wapi pa kumbaka huyu dada, yani nini kilichomfanya hata ashawishike kutembea na huyu dada ni majanga majanga plus shidaa
Deletewanaogopa labda atakuja wauzia michupi yako ha ha ha haha
ReplyDeletemmmmh!!!!! huyu nahisi nati za akili zimelegea angepatikana mtu azikaze lema alizining'iniza tu
ReplyDeletelema alibaka kweli mnakataa nn? au lema anawafira. nyie wadau hapo juu.mm nipo uk najuwa mchezo wote lema alivyomfanyia dada wa wa2. achen kuongea kamA mmekalia kipisi cha m2me. nyie mpo tz. halafu mnapigaa mnabisha v2 msivyo vijua.
ReplyDeleteAnonymous 12.12 nae anajua mchezo wote,unatetea nini,Alaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa pumba wewe
Deletehuyo ni flora lyimo anajikomentia,hajabakwa ni uzushi mtupu kutwaaa latembea uchi halafu useme umebakwa ?
Deletemchezo wote unaujua alibakiwa wapi? nijibuni wapi gest, ndani hadharani or what, anajitia aibu huyu dada simpendi, hivi anamume kweli huyu au mtoto nafikiri vyote hana ndo maana akili yake haina akili
Deletelema alibaka kweli mnakataa nn? au lema anawafira. nyie wadau hapo juu.mm nipo uk najuwa mchezo wote lema alivyomfanyia dada wa wa2. achen kuongea kamA mmekalia kipisi cha m2me. nyie mpo tz. halafu mnapigaa mnabisha v2 msivyo vijua.
ReplyDeleteli flora liongo kutwaaa linatega wanaume kwa kutembea nusu uchi halafu linasema limebakwa,ni kama li dogo la flora mbasha kutwa mipaja nje na vimini vyake halafu unasema umebakwa mbulula nyie
ReplyDeletekwa mnaokaa UK hivi flora lyimo zinamtosha kweli mi naona kama kidogo nati zake azijaa kaa sawa ana akili timamu kweli?
ReplyDeleteli chizi we tembelea blogu yake ndo utajua huyu dada akili zake aziko sawa,atakuwa na matatizo fulani kichwani.
ReplyDeleteblog yake inaitwaje naomba mnisaidie
ReplyDeleteinaitwa frorah lyimo fashion police mbuta nanga
ReplyDeleteasante,Ni kweli mbuta.
DeleteHahahahaha,mdau naamini wewe ni wa kwetu,nimecheka eti ni kweli mbuta,
DeleteHuyu dada sio mzima kabisa zime fyatuka. sasa una mwambia waziri mkuu ulibakwa ili afanyaje? kuna unit moja kichwani kwako hai operate vizuri
ReplyDelete