Baada ya mwezi mmoja hatimae michuano ya kombe la dunia imemalizika nchini Brazil ambapo mechi ya fainali iliwakutanisha Ujerumani vs Argentina jijini Rio de Janeiro kwenye uwanja wa Maracana.
Ushindi ni wa Ujerumani wa goli moja tu lililofungwa ndani ya dakika 30 za nyongeza baada ya full time kuwa 0-0 na mfungaji alikua Mario Gotze aliesababisha Ujerumani kuchukua ubingwa wake wa nne wa dunia.
Unaambiwa pia hii ni mara ya kwanza kwa timu kutoka Ulaya kuchukua ubingwa wa dunia kwenye ardhi ya Amerika ambapo pia kwenye sentensi nyingine, tuzo ya mchezaji bora wa mashindano imeenda kwa Lionel Messi, mfungaji bora James Rodriguez, kipa bora Manuel Neur na mwanasoka bora chipukizi wa mashindano amechukua Paul Pogba.
Quote of The Day:
“You can't depend on your eyes when your imagination is out of focus.”
Messi angekuwa na mtu kama LOUIS SUAREEEEZZZ pale, angechukua ubingwa, au hata Dimaria angecheza jana, mambo yangekuwa tofauti, yale majamaaa mengine pale mbele yalikuwa utumbo tu, we unakosaje goli la wazi kabisa wewe na kipa? halafu mapande mangapi kawatolea wenzake wakashindwa maliza, watu walifikiri ujerumani ingeshinda kirahisi lakini wapi, wao ndiyo walisikia mziki.
ReplyDeletemesi kuwa mchezaji bora sijapenda, toka lingi ianze sijaona alichokicheza, bora angepewa de maria au naimar
Deleteaahhhhhhhhh wasenge wale jamaaaaa yani wamemuumiza messi sana ndo mana hata hajatoa choz mana ni unafki........
ReplyDeleteMchezaji bora kwangu ni De Maria period,, hyu messi wanambeba tu hana jipya!!
ReplyDeletekuma la mamaaaako mdau 1:05 hapo juu. unaongea kama umekalia kipisi cha mboo! fuckn sure! u: ulitaka apewe c lonaldo? we unafirwa na manyigu nini?
ReplyDeletekuma la mamaaaako mdau 1:05 hapo juu. unaongea kama umekalia kipisi cha mboo! fuckn sure! u: ulitaka apewe c lonaldo? we unafirwa na manyigu nini?
ReplyDeleteRonaldo mawivu kibao, naona lilitamani hata liwepo pale wanjani siku ile kupata tuzo yoyote, jamaa linapenda misifa sana, na messi ndo angebeba kombe lingemwaga machozi kabisa, bwege lile.
ReplyDelete