Mume wa mcheza filamu za kibongo Jack Pantezel, Gadna Dibibi amesema kuwa mwezi mtukufu wa Ramadhani ni haki kwake kufanya jambo lolote kwa mke wake kwani wao ni wanandoa, hivyo hawawezi kujinyima haki yao ya msingi….
Dibibi amesema kuwa wamekuwa wakikutana na mkewe na kulimenya tunda tamu nyakati za usiku baada ya kufuturu lakini si mchana kama wengine wanavyofanya, kwani endapo watakuwa wanafanya mchana ni wazi kwamba watakuwa wanamkosea Mungu na mfungo wao utakuwa hauna maana…
“Hilo suala kwetu si jambo la kushtua sana kwa sababu tupo kwenye ndoa, ni lazima nipate haki yangu ya ndoa kama inavyotakiwa lakini si kufanya jambo hilo mchana, nitakuwa nakosea sana ingawa wapo wanaofanya hivyo kimakosa,”alisema Dibibi
ivi ww admn ni mpuuzi au umekosa habari za kuweka. sasa sisi inatuhusu nini huu upuuzi
ReplyDeleteKwa I yo? What's the point?
ReplyDeleteadmin pamoja na mume wa jack wote wa pumbavuuuu zenu.
ReplyDelete