Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba ametangaza nia yake ya kuwania urais akisema huu ni wakati wa kupisha fikra mpya kuongoza dola, licha ya chama hicho kuzuia kutangaza nia na kupiga kampeni kabla ya muda.
Makamba, mmoja wa makada wa CCM walioonywa na chama hicho baada ya kutuhumiwa kuanza kampeni mapema, alijipigia debe kuwa iwapo atapitishwa na chama hicho, ataelekeza nguvu kwenye vipaumbele vyake vinne ambavyo ni ajira, huduma za jamii, uchumi imara na utawala bora.
Mbunge huyo wa Bumbuli alisema hayo akiwa Uingereza anakohudhuria mkutano wa sekta ya mawasiliano baada ya kuhojiwa na Shirika la Utangazaji la Uingereza na baadaye kufafanua nia hiyo katika mahojiano na Mwananchi jana.
kama namuaminia vile ila kwa sasa hawezi kupata labda akimaliza muda wake mh lowasa ndio agombee
ReplyDeleteHawezikupata nizamu ya wakatoliki sasa
ReplyDeleteZamu yawakatoliki,cirahisi
ReplyDeletedu udini unatoka wapi?!
ReplyDeleteMakamba hata kwa dawa,hapati,analewa madaraka mapema.kwa ushauri ni mapema mno.amefanya nini akiwa naibu waziri?!bwege tu huyu bwana mdogo
kwa kura yangu kumpa makamba bado atasubiri sana labda 2020 hata hivyo watapatikana wengine, nimpe kura yangu kwa lipi hasa alilolifanya likaonekana kuwa yeye ni mtetezi wa wanyonge, amekurupuka bado sana
ReplyDeleteakapime Vvu.anadandia treni kwa mbele.
ReplyDeleteHivi wewe nana junior una shida gani kwani huna jema zaidi ya matusi we si mzima kajichungulie tena na ukapime kwanza kuna kitu kinakusumbua wewe
DeleteSafi sana unastahili.
ReplyDeleteMama yake ni raia wa wapi?
ReplyDelete