Johari na Chuchu Hans Watifuana, Johari Aitwa 'Old Fashion' Chuchu Adai yeye ni 'New Fashion'

MTIFUANO! Mastaa wawili wa sinema za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’ na Chuchu Hans wameendeleza ligi ya bifu lao baada Chuchu kujibu mapigo huku malejendari wengine wawili wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ na Khaleed Mohamed ‘TID Mnyama’ wakitifuana.


JOHARI, CHUCHU
Kwa muda mrefu Johari na Chuchu walidaiwa kuwa kwenye gogoro kubwa kisa kikisemekana ni penzi la mwigizaji Vincent Kigosi ‘Ray’.

CHUCHU AVUNJA UKIMYA
Safari hii Chuchu ambaye alikuwa kimya kwa muda mrefu, ameibuka na kujibu yale yote anayodai yalikuwa yakisemwa vibaya juu yake, mhusika mkuu akiwa ni Johari.
Moja ya tuhuma aliyodai kupachikwa na Johari ni ile ya kwamba amekuwa akitumia vifaa vya Kampuni ya RJ Productions inayomilikiwa na Ray na Johari.

CHUCHU ADAI KUFUATA PENZI
Akizungumza na gazeti hili katika mahojiano maalum juzi jijini Dar, Chuchu alifunguka kwamba huwa anakwenda RJ kufuata mapenzi na si kampuni kwani ana uwezo wa kuwa na kampuni kwa sababu vifaa anavyo na Ray alimkuta akiwa navyo.


JOHARI AITWA OLD FASHION
Chuchu ambaye kwa sasa anaonesha mahaba niue kwa Ray alisema kuwa anamshangaa Johari kusema kuwa anatumia vifaa vya RJ na wengine kusema ni mke mwenzake wakati Johari ni ‘old fashion’ kwani aliachwa na Ray kama wanawake wengine na yeye akaingia.

BOFYA HAPA KUMSIKIA CHUCHU LAIVU
“Mimi ndiyo ‘new fashion’, Johari atabaki kuwa ‘old fashion’ kwa Ray, sipendi kabisa watu waseme eti ni mke mwenzangu, mbona alishaachwa siku nyingi? Ukewenza unaingia vipi hapo jamani?” aliwaka Chuchu.

Chuchu aliendelea kutiririka kuwa kamwe hawezi kutumia vifaa vya RJ kwani vya kwake vinamuwezesha kufungua kampuni yake.

JOHARI ANASEMAJE?
Baada ya Chuchu kuwaka vya kutosha, kama ada ya Magazeti ya Global kutafuta mzani wa habari, Johari alitafutwa na kumwagiwa kile alichosema mwenzake ambapo aliomba aachwe kwanza kwani kwa wakati huo alikuwa kwenye kikao kizito akiomba kumpigia mwandishi baada ya kikao.
Baadaye alipopatikana alisema kwa kifupi; ‘No comment’ huku shosti wake wa karibu aliyeomba hifadhi ya jina lake akieleza kuwa, hali si nzuri kwani kuna msuguano mkali wa chini kwa chini.
GPL

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. tumechoka na ma beef ya kijinga

    ReplyDelete
  2. haha wewe ni old fashion unaunew gani na wewe mzee kushinda johari

    ReplyDelete
  3. hahahaaa!!!!!!! eti new fashion, una upya gani na ulishaolewa ndoa ikakushinda, mwache joharia we machukue tu huyo michubuo mwenzako maana wote mnapaka carolight hajulikani nani mwanaume na nani mwanamke

    ReplyDelete
  4. wote wasenge mnatafuta bifu za umaarufu.
    mwisho wa cku mnarudisha urafiki kama hao vichaa wenzenu wema na kajala. tulijua ndo hawatoongea tena kumbe usenge mtupu

    ReplyDelete
  5. haka kabinti nakoo!! kasura utazani paka amelamba mchuzi, sasa kana new gani mmh hii mishipa itatugombanisha mjini, mwachie mwenzio mpenzi wako we msichana lo! wazee wenzio huwaoni? mwache mwenzio walikua wamejitulilia wenyewe sijui hata umetokea wapi

    ReplyDelete
    Replies
    1. kaibuka utafiiria shetani,na litakuwa jini tu linang'ang'ania vitu...pumbavu!

      Delete
  6. Frank Mtao wapi wewe??

    ReplyDelete
  7. Mtenda akitendewa hujihisi kaonewaaa alivyompokonya mainda jee roho itakusugua sana tu malipo haphap kweli aliimba chokoraa kuachwa kuachwa maana anavyotapatapa jilie vyako chuchu mla mla leo bibi mla jana kala nini

    ReplyDelete
  8. Kwanza wanapendeza wasafiii sasa huyo bibi bomba ka katoka uwanja wa fisi kishajizeekea masikini hapo hata leba hajaiona uwoya hebu mfundishe bibi kuwa soap soap kidogo khaaa

    ReplyDelete
  9. We mburura nin?kati ya chuchu na johar nan bibi"huwez kumfananisha johar na chuchu!chuchu gumegume ujana wake cjui kala na nani!uzee anamalizia kwa rey!'eti new fashion??kwa lip mpaka ujiitee new!ww ndo old!

    ReplyDelete
  10. Hee jamani mwangalie bibi bomba alivyo mchafu ptuuuu ndio maana hata ray alikimbia mwee cheki mtt chuchu ndio maana hata ray anapost il means anaenjoy pole bibi bomba

    ReplyDelete
    Replies
    1. NYIE WOTE HUMU HAMNA MANA.......UZURI MKOROGO?HUYO CHURA MWENYEWE MNUKA MIKOJO TU

      Delete
  11. Laana ya Mac Donald hiyo bibiaga na bado utarusha vijembe sana tu unalo hilo

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad