Jokate Akana Katu Katu Kuwa Hajahusika Kuvunja Ndoa ya Dida

Jokate Amepangua Vikali Tetesi zinazozagaa Mitaani kuwa Amehusika katika Kuvunja Ndoa ya Mtangazaji wa Times FM Dida , Jokate Amesema Dida ni Mshikaji wake sana na Edzen Ambae ndio alikuwa mume wa Dida ni mfanyakazi Mwenzake na Wanaheshiana sana hivyo Hakuna Kitu Kama hicho yeye kuhusika katika kuvunjika kwa ndoa hiyo...

Jokate na Edzen Wanafanya Kazi TV1 na Wanatangaza pamoja kipindi cha "The One Show"

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kwani ulivyotembea na diomond wema hakuwa rafiki yako? acha maneno kitajulikana tu badae

    ReplyDelete
  2. Hahahaa ndio zake huyo silent killer

    ReplyDelete
  3. kuma mamaaae zenu wote mnaosema joket anahusika kuvunja ndoa ya dida.. dida mwenyewe malaya2 kaamua kutombwa na kila mwanaume. amechoka mboo moja!

    ReplyDelete
  4. huyu sillent burner

    ReplyDelete
  5. Edzen na joketi wanamatch

    ReplyDelete
  6. kwa kitu gani hasa,,bora hata dida kuliko jokate... kuma maji

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nana tunajua wewe ni team makorokochoooo kwakwakwaaaaaaaaaa hajavunja ndoa Yao ILA wanamatch na jokate kuliko huyo mtalaka wake.alikuwa mama

      Delete
  7. hehehe alivyokanaga kwa Diamond mwisho wa siku kikakjulikana. Sasa tuwaache walale wakiamka movie itaendelea

    ReplyDelete
  8. kusema ukweli mimi huyu demu namtamani sana, sijui tu jinsi ya kumpata, au kukutana nae.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad